Cleopa David Msuya (4 January 1931 – 7 May 2025) was the Prime Minister of Tanzania from 7 November 1980 to 24 February 1983 and again from 7 December 1994 to 28 November 1995.
Mzee Kikwete akitoa neno katika msiba ya Hayati Mzee Cleopa Msuya, amesema Mzee Msuya hakuwahi kuitisha waandishi wa Habari na kuanza kuisema Serikali inafanya mambo ya ovyo (Walio msibani wameshangilia sana).
Naona hili jiwe karusha moja kwa moja kwa Mzee Jaji Warioba kwani amekuwa mwiba mkali...
Natumai nyote ni wazima wa afya.
Swala la kuwa Mzee Msuya ni waziri mkuu mstaafu halina utata kwakuwa karibia kila mtanzania anajua
kuwa nchi hii imewahi kuwa na mawaziri wakuu kadhaa ambao kwa sasa ni wastaafu.
Utata unakuja tunapoambiwa mzee Msuya vilevile ni makamu wa kwanza wa rais maana...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Watanzania kwenye maziko ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mzee Cleopa David Msuya yaliyofanyika nyumbani kwake kijijini Chomvu, Usangi Wilayani Mwanga Mkoani...
Rais Samia akishiriki kuaga mwili wa Hayati Cleopa Msuya Mei 11, 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa heshima za mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati...
Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan ataowangoza Watanzania katika tukio la kumuaga marehemu Waziri Mkuu na Makamu wa Rais mstaafu, Cleopa Msuya.
Hafla hiyo itakayoambatana na ibada maalumu, inatarajiwa kufanyika Mei 11, 2025 katika viwanja wa Karimjee kuanzia saa...
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amefika kuhani msiba wa aliyekuwa Makamu wa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri Mkuu Mstaafu, na ambaye pia aliwahi kuwa Waziri wa Fedha na Mipango (1973–1975) na Waziri wa Fedha na Uchumi (1986–1989), Hayati David...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.