chuo kikuu kampala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwalimu wa Chuo Kikuu cha Kampala (KIUT) aamuru Wanafunzi wapige magoti wakati anafundisha

    Wanafunzi wa Kampala kwenye upande wa Afya tunanyanyasika na lectures wa Kigeni, haswa sisi Wanafunzi wa maabara. Tunasimamiwa na raia wa Nigeria, hana msaada wowote zaidi ya kutunyanyasa na ametufanya wanafunzi kitega uchumi wake, Mwanafunzi akichelewa ku-submit research idarani anatakiwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo Kikuu cha Kampala chini Tanzania kinawadhulumu wafanyakazi wake

    Chuo kikuu cha Kampala nchini Tanzania (KIUT) kimekuwa na utaratibu au mazoea ya kukwepa kulipa Wafanyakazi walioacha kazi au kuondoka chuoni hapo mishahara ambayo hayakulipwa kipindi walipokuwa wakifanya kazi chuoni, hata hivyo Wafanyakazi wanaoendelea na kazi wengi bado wanadai mishahara...
Back
Top Bottom