Wanafunzi wa chuo cha VETA Geita kilichopo kata ya Buhalahala katika halmashauri ya manispaa ya Geita wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusogeza huduma ya masomo bure katika chuo hicho.
Wakizungumza na Storm FM baadhi ya wanafunzi wamepongeza hatua hiyo huku Mkuu wa chuo cha VETA Geita...
Chuo cha Veta Kilichopo Njiro Arusha, KOZI YA UDEREVA Ngazi ya (PSV NA VIP) Kimekuwa Kikituzungusha Kutopeleka Matokeo Yetu TRAFFIC.
Wanafunzi wa Intec No. 177 Na 178 Ambao tumesoma mnamo tarehe 24 January 2022, lakini hadi leo ni miaka 4 tukifika Police kwa ajili ya Ku Hakiki Lessen...
VETA (Vocational Education and Training Authority) ni taasisi ya serikali ya Tanzania inayotoa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na watu wazima. Imekuwa msaada mkubwa kwa wale wanaotafuta njia mbadala ya elimu ya kawaida ya darasani kwa lengo la kujiajiri au kuajiriwa kwa ujuzi wa vitendo.
2...
1. Asilimia kubwa ya wa Tanzania ( wa Bantu) Hawajui kupika. The only thing that they can cook better is hot water. Watanzania wanao we za kupika vizuri ni wasomali. Ndo maana kila siku huwa natoka Kinondoni naenda kula kariakoo pale Al-Uruba Hotel kwa wasomali.
Watanzania wachache sana ( wa...
Mi bado na kazia tu wasomi waende VETA.
Miaka ya nyuma ilikuwa kazi sana na wasomi UDSM ambao waliamini maarifa na taarifa zipo sehemu moja ambayo ni chuoni na vitabu vilivyomo hapo tu.
Hata hapa JF ukitafuta mijadala mingi kipindi JF inaanza utaona wakisema taarifa za internet ni uwongo.
Juzi Waziri Mkuu katoa kauli eti wahitimu wa degree waende VETA kujifunza ufundi ili wajiajiri. Kauli kama hizi ndizo zinathibitisha kwamba serikali yetu haijui kiini cha tatizo la ajira nchini. Badala ya kutengeneza mazingira mazuri ya ajira na biashara, wanataka vijana waende VETA kana kwamba...
Mimi ni degree holder, ila nimekuwa motivated kwenda veta ,kusoma hizo kozi tajwa hapo juu
Nataka chuo kilichopo Dar es salaam.
Sina background ya hayo mambo, Mimi ni muhasibu
Wanabodi,
https://youtu.be/OSGYViDqx8Yhttps://youtu.be/oqwZRhin8ek
https://youtu.be/EEMSp2L7MZk
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Leo.
Hii Makala yangu kuhusu Maadhimisho ya Miaka 30 ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA, kiukweli kabisa, VETA imefanya makubwa...
Habarini wanaJF, nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana na ameomba tumtafutie chuo bora cha VETA akasomee kozi ndefu ya umeme, ana pass ya C 2 na D 4 maana anapenda sana umeme so nilikuwa naomba kwa mwenye uzoefu anisaidie kimawazo ni chuo gani cha veta bora ARUSHA. Au hata sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.