Akiwa anazungumza kwenye kipindi cha Malumbano ya Hoja cha ITV Mwenyekiti wa Asasi ya Wanafunzi ya Siasa UDSM Antony Severine alisema:
"Kama vyama vinaunganishwa na vijana kupitia ilani, ni dhahiri vijana ndio wanaoathirika na ilani za vyama hii imenikumba hata mimi, ambapo unaambiwa ili utoboe...
Wahitimu wa Udsm wa ba. In History and Political science wana disqualify kuapply public administration and HRM Japokuwa walizisomea darasa moja na lecture mmoja pamoja na wanafunzi wa political science and public administration ambao ndyo wako more favored.
Kwa hiyo kama ni ngumu kuajiriwa...
Mi bado na kazia tu wasomi waende VETA.
Miaka ya nyuma ilikuwa kazi sana na wasomi UDSM ambao waliamini maarifa na taarifa zipo sehemu moja ambayo ni chuoni na vitabu vilivyomo hapo tu.
Hata hapa JF ukitafuta mijadala mingi kipindi JF inaanza utaona wakisema taarifa za internet ni uwongo.
Pamoja na demand ndogo ya taifa letu kupokea wanafunzi wa nchi za nje lakini katika hao, sehemu kubwa wananyooka moja kwa moja Udsm, Ni kwamba hawaoni vyuo vingine ?
Byuo vingine ni nadra sana na ukiwakuta labda ni wa Burundi, Msumbiji, n.k.
Nikianza kushusha hapa Alumni waliomaliza UDSM list...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.