chotara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. alphonce.NET

    Tunauza vifaranga wa kuku chotara

    Tunauza vifaranga wa kuku chotara aina ya sasso na kloila. Wanakua haraka, wavumilivu dhidi ya magojwa, wanafaa kwa nyama na mayai Wanapatikana kila Jumatatu, bei Sh 1,800 Umri siku 2 Tupo Lugela - Kahama. Tunasafirisha kwenda maeneo yote kanda ya ziwa Simu: 0767659145, 0787659145
  2. alphonce.NET

    Tunauza vifaranga wa kuku chotara

    TUNAUZA VIFARANGA WA KUKU CHOTARA AINA YA KROILA, BEI SH 1,500 WANAPATIKANA KILA WIKI UMRI: SIKU 2 CHANJO: MAREK'S TUPO KAHAMA, TUNASAMBAZA MAENEO YOTE KATIKA MIKOA YA KANDA YA ZIWA 0767659145 0620246040 0787659145
  3. I

    Kilo 1 ya Nyama ya kuku Chotara au Kienyeji Buchani ni bei gani?

    Naomba kwa wazoefu wa mikoa ya Dar, Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya mnipe uzoefu wenu. Wafugaji wengi wa kuku wanauza kuku kwa mazoea sana, mnunuzi anakuja anamshika anamtikisa kidogo hivi anakadiria uzito alafu mnaanza kubishana bei. Ila naona huu ni wizi wa hali ya juu. Naomba nipate uzoefu...
  4. hs billionaire

    Nahitaji vifaranga chotara 1000

    Habari wadau, nipo Singida nina uhitaji wa idadi hiyo ya vifaranga vya chotara hasa hasa sasso, wenye umri wa siku moja . Kwa wazalishaji na wauzaji nahitaji Na wasilisha. N.B 1. kipaumbele watapewa wa mkoa wa Singida na Dodoma 2.ukiwa nao kuanzia 300 pia itafaa
  5. Yoyo Zhou

    Mpunga chotara wa China wasaidia nchi za Afrika kuhakikisha usalama wa chakula

    Bw. Moussa Dabo kutoka Gambia alikuwa mwanafunzi wa Yuan Longping ambaye ni Mwanasayansi maarufu wa mpunga chotara nchini China, hivi karibuni alifika kwenye kaburi la Yuan kutoa heshima zake. Alipiga magoti na kuweka mfuko wa mpunga chotara kutoka nyumbani kwake mbele ya kaburi na kusema...
  6. Brayan_Jk

    Kuku Chotara🐔 Wanaojilisha na Kujigharamia wenyewe💰? Hivi ndo jinsi ya kuwafikisha Hali Hiyo Kwa Siku 84 au Chini

    ❌ Usianze Ufugaji Kabla Hujajua Kuku Wangapi Unafuga na Gharama Zake.Ukipuuzia Itakugharimu 💸Zaidi Kuliko Unavyofikiria Nakumbuka nilivyoanza niliweka lengo la kufuga kuku kwa miezi mitatu yaani siku 84( wiki 1 ni siku 7) ili wakifika umri huo na uzito wa angalau kg 3 niweze kuuza nipate faida...
  7. Mwizukulu mgikuru

    Mgahawa maarufu hapo Tabora maarufu kwa 'chotara" wahudumu awajali wateja

    Katika majukumu yangu ya kila siku leo nilipita Tabora mjini nikielekea mpanda Katavi katika hali ya kupata chochote kitu ikanibidi niulizie mgahawa ambao ninaweza kupata chakula kizuri, kulingana na uchumi wangu. Wenyeji wakanielekeza eneo lile Kuna mgahawa Al maarufu kwa "chotara" kwa nje ya...
  8. B

    Nauza Kuku chotara, ni Tetea kwa bei ya TSh 10,000 wapo 145

    Wakuu Kama muonavyo kwenye picha, hawa ni baadhi ya Kuku ambao nauza. Kuku wapo Dar es Salaam, Mbweni JKT kwa mawasiliano 0612630936 … bei n elfu kumi kamili ndo wana miezi mitatu na siku 24.
  9. B

    Nauza majogoo chotara

    Wakuu Nina vijogoo vya kuku chotara naviuza nipo maeneo ya mbweni jkt karibuni sanaaa kwa mawasiliano 0612630936 bei n 15000
  10. zoyler22

    Je, kwa mtaji wa mil 1.5 naweza kufuga kuku wa mayai, wa nyama na chotara kwa wakati mmoja?

    Nilikua nataka kufaham km mil 1.5 inaweza ikatosha km mtaji wa kuanza kufuga broiler na chotara mana mi ndo kwnz nataka nianze hii biashara. Na je na kama haitoshi ni kiasi gani kinahitajika kiongezeke ili niweze kuanza kufuga
  11. K

    Nahitaji mtu/mfugaji wa kondo chotara

    Wanajenzi na shida na kondo chotara nipo Arusha
  12. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kwa Sasa kupata vifaranga chotara aina Kroiler na Sasso F1 ni kazi sana

    JF salaam 🙏 Bila shaka Kwa wafugaji wa kuku aina hizo mbili mtakubaliana na Mimi kuwa Tangu mwaka Jana katikati kumekuwa na uhaba sana wa vifaranga vya sasso na kroiler Sijajua changamoto ni Nini hasa. Mwaka Jana nilidhani huenda umeme ulichangia kuwa na uzalishaji hafifu au usio kidhi...
  13. MwanawaMUNGU41

    Kuku wa kienyeji na chotara

    Kwa mahitaji ya kuku wa kufuga na kula,kienyeji na chotara nitafute,ukihitaji vifaranga na mayai ya kutotolesha tafadhali usisite kunitafuta,karibuni sana wakuu.
  14. T

    SOMO: NAMNA BORA YA CHANJO ZA KUKU CHOTARA

    1. Baada ya kuanguliwa , Chanjo ya Marek's na Dawa HVT, Namna: sindano 2. Siku ya 2 hadi 6 KINGA ya Pullorum, Dawa: Trimazine 30% plus Vitamin, Namna: Maji 3. Siku ya 7, Chanjo ya Mdondo/Kideri (Newcastle), Dawa: Newcastle vaccine [LASOTA] Namna: Maji 4. Siku ya 14, Chanjo ya Gumboro, Dawa...
  15. F

    Incubator bei laki 2 au unipe mitetea 25 chotara na kienyeji

    Incubator Bei laki 2 au unipe mitetea 25 chotara na kienyeji location Tanga Haina changamoto yoyote 0621264212 Inachukua mayai 180
  16. L

    Wachina waenzi na kuendeleza moyo wa “Baba wa Mpunga Chotara” wa kuwanufaisha watu wote duniani kwa chakula

    Kilimo ni uti wa mgongo wa maisha na pia ni sehemu muhimu sana hasa katika jamii yetu ya kisasa, ambapo kinaathiri chakula tunachokula, ardhi tunayoishi, na mambo mengine mengi ya jamii yetu. Mamilioni ya watu wanaweza kujikwamua na umaskini duniani endapo watawekeza kwenye sekta ya kilimo...
  17. Lycaon pictus

    Je, watu chotara ndiyo watu bora kabisa duniani?

    Habarini, Kisayansi inasemwa kuwa kadri kiumbe kinavyokuwa na mchanganyiko mwingi wa vinasaba ndani yake, ndivyo ubora wake na chance yake ya kusurvive inavyokuwa kubwa. Ndiyo sababu kubwa ya kukataza ndugu kuoana, ni ili ule mchanganyiko upatikane. Zamani familia za kifalme walikuwa wanoana...
  18. D

    Natamani Sana kuanza ufugaji wa kuku kibiashara lakini bado sijaamua nifuge aina gani ya kuku kati ya broiler na chotara

    Lengo langu ni kuanza na kuku 1000 lakini bado sijapata taarifa kamili za mradi wenyewe ninaotaka kuuanza mabanda ninayo kuna Mtaalam aliyakagua akayapitisha kuwa yanafaa. Taarifa ninazoomba mnisaidie kushea ni tofauti ya ulaji wa broiler na Chotara, mtaji kiasi gani Kwa broiler au Chotara na...
  19. I

    Nikipeleka kuku chotara kijijini nitapata matokeo mazuri?

    Wakuu hivi kwa mazingira ya kijijini ambapo kipato cha wengi ni cha chini, kuku wa chotara wataweza kuboresha maisha ya mwanakijiji? Na kama sio hao, je ni kuku wa aina gani ni chaguo bora zaidi?
  20. Titia

    Naomba ushauri, nataka kufuga kuku chotara kidogo kwa ajili ya kuongeza mzunguko wa hela

    Habari wana jamii, Naomba mnishauri, mimi ni mfanyakazi serikalini. Muda mrefu nafikiria biashara ya kufanya lakini nashindwa. Sasa hivi nimeamua kuanza kufuga kuku chotara. Nataka kununua kuku chotara vifaranga mia moja. Nivitunze na kuvilisha vzr, lengo nataka muda ukifika 40 niviuze halafu 60...
Back
Top Bottom