The Chorus Paulinus or CHOPA is a choir in the Philippines. It is known for its a cappella-style blending of voices that creates a sound reflective of its high choral standards.
Karibuni mifugo plus
Tunauza chopa mashine ni mashine yakuchakata chakula cha mifugo mifugo yoye zipo kwenye ofa ofa baada ya lak 4 utalipia
Bei laki 380 mashine ziko chache sana maboss zangu
Piga sim chapu 0612323330
Chopa inayotumiwa na Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashimu Rungwe na viongozi wengine wa chama hicho, imeishiwa mafuta na kusababisha kiongozi huyo ashindwe kuhudhuria mkutano wa hadhara uliokuwa ufanyike Lindi Mjini.
Akizungumza leo, Julai 15, 2025, katika Viwanja vya Mpilipili, Lindi Mjini...
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimesema kipo tayari kushiriki uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu na kitasimamisha wagombea wa ubunge na udiwani
Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Taifa Salum Mwalimu mkoani Tanga kwenye mkutano wa...
Leo Jumamosi Julai12, 2025 Chama Cha ukombozi wa umma CHAUMMA kimeanza ziara zake mkoani Tanga kwa kutumia usafiri wa Helkopta maarufu kama 'Chopa', wakianzia Wilayani Korogwe na Jioni hii wakitarajiwa kuwa na Mikutano yake Tanga Mjini. Katika ziara hiyo Viongozi mbalimbali wa Kitaifa wanashiriki.
CHAUMMA walitangaza kuanza operation C4C wakiruka na Chopa.
Hatimaye wakaizindua pale Mwanza na mara ya mwisho nimewasikia wakiwa Mara.
Je hizo operation zinaendelea au wamerudi kwenye drawing board?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.