Serikali imeagiza kuondolewa kwa vikwazo vya umri katika utoaji wa kadi za Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) ili kuhakikisha watoto walio chini ya miaka 18 wanaweza pia kusajiliwa rasmi.
Agizo hilo lilitolewa na Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba mnamo Septemba 16, 2026, wakati wa kilele...
●Awasihi Watanzania kuchukua Vitambulisho vyao vya Uraia.
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali kupitia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) itaanza kuchukua hatua za kuwasajili na kuwatambua watoto walio chini ya umri wa miaka 18, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha mfumo wa...
Serikali imepanga kuanza usajili na utambulisho wa watu wenye umri chini ya miaka 18 kwa lengo la kuwapatia Jamii Namba. Hiki kimekuwa kilio cha muda mrefu sana.
Mpango huu utawezesha kila mtu kuwa na namba ya utambulisho wa kipekee kwa ajili ya kupata huduma mbalimbali za kijamii na kiuchumi...
Kama ujawahi kufika nchi za watu uwezi kufahamu.
Hapa kwetu tunekarabisha wasiojulikana ambao ni serikali.
Kwa nchi za wenzetu utekaji wa watoto ni mkubwa sana.Wengi uchukuliwa kwenda kuuzwa kutumikishwa kingono,uuzaji wa viungo na n.k.
Ukiangalia wenzetu walivyo makini na watoto wao sio...
Habari Jf. Kuna kesi ya mwanafunzi mwenye miaka 17 anayepaswa kujiunga na Chuo Kikuu mwaka huu. Nashindwa kusajili namba yake ya NAPA. Msaada tafadhali
Hivi ndizo habari za kustaajabisha za vyombo vya dola vya Mama Abduli.
Kuna watoto chini ya miaka 18, walemavu wasiosikia wala kusema, wameshtakiwa kwa uhaini.
Watoto hao, na walemavu, wakipatikana na hatia watakwenda kunyongwa.
Hapo ndipo, CCM, Mama Abduli, na genge lake, walipoifikisha nchi...
Inasemekana kuwa kuna kanuni mpya za kulipa fao la wategemezi ambazo zimeanza kutumika mwaka huu 2025.
Hapo awali mstaafu ambae alikuwa mtumishi akifariki ilikuwa warithi wanalipwa miezi 36 ya mafao ya marehemu .
Ila sasa kanuni zinabagua kwamba watalipwa warithi amaboa wana umri chini ya...
Wakuu,
Wananchi wameendelea kuorodhesha dosari mbalimbali kwenye zoezi la uandikishaji Uchaguzi Mkuu, ambako huku inaonekana wanafunzi wanabebwa kwa makundi kwenye kujiandikisha wakati baadhi wanakuwa hawajafikisha umri wa miaka 18!
Yaliyotokea kwenye zoezi la uandikishaji daftari la mkaazi...
Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) yameongezeka kwa kasi hapa nchini Tanzania, hasa miongoni mwa vijana. Ingawa vinywaji hivi vinatangazwa kama viongeza nguvu na msukumo wa mwili, tafiti zinaonyesha kuwa vinaweza kuwa na madhara makubwa kiafya...
Katika maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, chama cha CHADEMA kimebaini udanganyifu katika mchakato wa uandikishaji wa wapiga kura. Mawakala wa chama hicho wamegundua kuwa kuna wanafunzi ambao wamejiandikisha ili kupiga kura, ingawa hawajafikisha umri wa miaka 18. Wanafunzi hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.