El Diablo is a name shared by several fictional characters published by DC Comics: Lazarus Lane, Rafael Sandoval, Chato Santana.
The Chato Santana version of El Diablo appeared in the 2016 Suicide Squad film set in the DC Extended Universe.
Inasadikiwa aliibiwa ng'ombe zake huko Muleba. Akaenda kwenye mmoja ya minada ya kuuza ng'ombe na akaziona baadhi ya ng'ombe zake.
Ilikuwa siku kama chache kipindi cha sikukuu ya Iddi.
Alipoziona ng'ombe zake pale mnadani akaanza kufyatua risasi juu ili kuwatawanya wananchi. Risasi...
Miongoni mwa waliohudhuria Misa Takatifu ya kumbukizi ya miaka mitano ya kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, John Pombe Magufuli, ni Wilfred Mwango, aliyewahi kuwa mlinzi wake binafsi.
KUMBUKIZI | Magufuli: Siku moja mtanikumbuka, na mimi najua mtanikumbuka kwa MAZURI si kwa MABAYA
Picha hii...
Kila akitajwa Majaliwa umati wa wananchi unainuka na kumshangilia kwa nguvu sana.
Hii inamjibu Mwigulu aliyesema yeye hajali kupigiwa makofi wala kupendwa kwani keshapendwa na mkewe.
Nadhani atakuwa mwanasiasa wa kwanza duniani kuamini kuwa kupendwa na mke kunatosha pekee.
Hili la leo ni somo...
TAKUKURU GEITA YAWAFIKISHA MAHAKAMANI WABUNGE NA MADIWANI MAJIMBO YA CHATO KASKAZINI NA CHATO KUSINI
Ndugu Wanahabari,
Kati ya tarehe 28.11.2025 na tarehe 30.11.2025 TAKUKURU (M) Geita ilipokea taarifa za uwepo wa vitendo vilivyoshukiwa kuwa ni vya rushwa vilivyofanywa na Mhe. Cornel Lucas...
Bila ubishi Kapembe anachukua kiti cha uenyekiti.
Manunga alitumia pesa tu ambazo zilimpa uenyekiti bila ridhaa ya madiwani.
Leo ametimuliwa. Hata uchaguzi ukirudiwa sasa hivi Kapembe anashinda.
Halmashauri ya Wilaya ya Chato imetoa mitumbwi miwili kwa ajili ya Kisiwa cha Iyozu ambayo itatumika zaidi katika kuwasafirisha Wanafunzi bure wakati wa kwenda Shule na kurejea nyumbani.
Diwani wa Kata ya Muungano, Charles Kapembe amesema mbali na kupelekwa mitumbwi hiyo, suluhisho la kudumu ni...
Mimi roho ina niuma sana jinsi ukipita chato unaona kabisa alafu NIT wanataka wakajirundike Airport ya dar na hapo hapo wawe na chuo kikubwa.
kwa nini msichukue hapo.😔
Kura zilipogwa kwa uwazi na Diwani Kapembe kushinda kwa aslimia 70.
Manunga alishawachosha watu wa Chato. Anatuhuma nyingi sana ikiwemo ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi.
Kapembe ameahinda kwa kura nyingi. Kwa nini Manunga anapigiwa debe ?
Siku hizi Rais Samia anaenda Ikulu ya Chamwino iliyopi Dodoma mara moja kama kupokea wageni na kurudi zake siku hiyohiyo Ikulu ndogo Tunguu iliyopo Zanzibar.
Zamani sio sana tulikuwa na Ikulu ndogo ya Chato, bwana yule angeweza kukaa kule hata zaidi ya mwezi na hata nyakati fulani alimuapisha...
Leo nilikuwa na mtu mmoja tuliongea mambo mengi kuhusu nchi yetu kuwa na kundi kubwa la CCM wajinga ndio wanaotawala.
Nimeona NIT na serikali kuweka mabilioni ya pesa NIT maswala ya anga.
Udogo wa kile chuo ,kwa nini wasiopeleke Kiwe chato hapo maana kiwanja kilishindikana kuwa na safari na...
Nimefika hapa chato nikaona kagest chakavu kameandikwa Magufuli lodge, yaani nmeingia ndani naambiwa ni kakwake, ka enzi akiwa mwalimu. Nikauliza huduma ya kulala naambiwa Kako kwa Ajili ya shoo time ila kana kunguni wa kutosha
Nashauri familia kaboeni jaman kanachafua Jina lake na kwa huduma...
Hali ni mbaya sana. Hakuna mafuta kabisa ya kuendeshea vyombo vya moto.
Nina hela mfukoni lakini magari hayana mafuta.
Wateja wangu wa Kangala waliniambia nikahemee Ambiace Buseresere.
Lakini hakuna usafiri.
Polepole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.
Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa...
Vijana tafuteni hela,money can buy anything
Pascal Lutandula muhitimu wa darasa la saba B shule ya msingi Igando wilaya ya Chato,ameongoza kura za naoni kwa kuwaacha mbali wagombea wasomi akina Katwake na wenzake
Huyu ni mfanyabiashara wa madini ya dhahabu,ana hela kama njugu
Mpaka muda huu...
Ndoshi, alena kishimbhe, alena thuja
Kila kona wamefurahi kuanzia stendi ya zamani mpaka vijijini huko Bukamila Ilemela na kwingine kote.
Alipokuwa katibu wizara ya Fedha alidharau sana watu
Colnell Magembe huenda akawa Mbunge wa Chato.
Source: Phone caller
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.