chatanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ngara: Marry Chatanda aingizwa mkenge, adanganywa kuhusu CHADEMA

    Mwenyekiti wa UWT inayodaiwa kuwa ni Jumuiya ya Wanawake ya CCM , Marry Chatanda ameingizwa Mkenge huko Ngara , baada ya kukusanyiwa watu wa soko la Ngara na kuelezwa kwamba ni Wanachama wa Chadema walioacha chama chake chao na kuhamia ccm. Katika Utapeli huo Chatanda amekabidhiwa Vitambaa...
  2. Chatanda afurahishwa na Utekelezaji wa Miradi Wilayani Geita

    Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Chatanda amefurahishwa na Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika wilaya ya Geita chini ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Geita Ndg.Zahara Michuzi kwa kujenga Kituo cha Afya Nyankumbu kwa kutumia fedha za ndani. Akizungumza leo katika Ukaguzi wa Kituo...
  3. M

    Pamoja na Mary Chatanda kumpigia debe Kalemani ili arudi bungeni wananchi wa Chato wameapa kutomchagua tena. Hawamtaki Kalemani

    Nimepigiwa simu na mdau. Kuwa huyu mama alikuwepo Chato jana. Mbaya zaidi anasindikizwa na msafara ya polisi kana kwamba ni kiongozi wa serikali. Baada ya Kalemani kumzawadia zawadi ya ng'ombe na mafuta ya Alizeti huyu mama na kiswahili chake cha Tanga akaanza kumpigia debe Kalemani. Kuwa...
  4. Chatanda afurahishwa na Utekelezaji wa Ilani ya CCM Wilayani Chato

    Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amefurahishwa na Utekelezaji wa Ilani ya CCM wilayani Chato Mkoani Geita alipotembelea Miradi mbalimbali ya Maendeleo katika wilaya hiyo . Akizungumza leo katika Mradi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato Mwenyekiti Chatanda...
  5. Chatanda awapongeza DC & DED Nyang'hwale kwa Usimamizi wa Miradi

    Mwenyekiti wa wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amefurahishwa na Ushirikiano wa Mkuu wa wilaya na Mkurugenzi wa Wilaya ya Nyang'hwale kwa usimamizi mzuri wa Miradi ambayo Serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imeweza kuleta fedha mbalimbali za Miradi ya Maendeleo. Akizungumza...
  6. Mwenyekiti UWT Taifa, Mary Chatanda afurahishwa na kikundi cha Wanawake wanaofuga Ng'ombe

    MWENYEKITI UWT TAIFA NDUGU CHATANDA AFURAHISHWA NA UTEKELEZAJI WA KIKUNDI CHA WANAWAKE WANAOFUGA NG'OMBE WILAYANI MKALAMA Mwenyekiti wa UWT Taifa ndugu Mary Pius Chatanda amefurahishwa na utekelezaji wa mradi wa kikundi Cha wanawake Tunza kilichopo Mkalama Mkoani Singida ambacho kimenufaika na...
  7. Mary Chatanda - Wapuuzeni Wanaoichafua CCM Juu ya Suala la Bandari

    NDUGU MARY CHATANDA - PUUZENI WAPINZANI WANAOICHAFUA CCM JUU SUALA LA BANDARI Mwenyekit wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa Ndugu Mary Chatanda na Makamu Mwenyekiti wa UWT Ndugu Zainab Shomari wakiambatana na Kamati ya Utekelezaji wamewasili Wilayani Namtumbo na Tunduru Mkoa...
  8. Mary Chatanda: Freeman Mbowe amekosa shukrani kwa Rais Samia pamoja na kumtoa gerezani. Huenda ameathirika kisaikolojia

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Taifa Mary Chatanda amemshukia vikali Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe kwa kile alichokieleza kuwa amekosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alimtoa gerezani alikokaa kwa muda...
  9. B

    Rais Samia kuongoza kilele cha miaka miwili ya awamu ya 6 asubuhi hii

    RAIS SAMIA KUONGOZA KILELE CHA MIAKA MIWILI YA AWAMU YA 6- LEO SAA 4 ASUBUHI HII. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumapili Machi 19, 2023 atakuwa mgeni rasmi kwenye kilele cha miaka miwili ya Uongozi wa Awamu ya 6 unaoongozwa na yeye mwenyewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…