Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amewatoa hofu wananchi wa Dar es Salaam kuhusu upatikanaji wa huduma ya maji, akisema kuwa jitihada mbalimbali zinaendelea ili kuhakikisha huduma hiyo inaimarika.
Aidha, Aweso ameielekeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuanza mara...