chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA chagueni mwenyekiti mwingine, Makosa ya uhaini yamemkosesha Lissu sifa ya kuwa kiongozi

    Ibara ya 132(5)(c) inasema misingi ya maadili ya viongozi wa umma/chama/kikundi/taasisi inapiga marufuku mienendo au tabia inayomfanya kiongozi aonekane hana uaminifu, anapendelea, si muadilifu, mhaini au anahusika na kuchochea rushwa au vurugu. Kwa maana hiyo Tundulisu hafai kuendelea kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA Vs CCM Mitandaoni: Uchambuzi wa Kudorora kwa Ushawishi wa Chama Tawala mbele ya Nguvu ya Hoja Kidigitali

    Wakuu, Kufuatia mabadiliko makubwa ya kisiasa nchini, kuna mjadala mzito unaoendelea kuhusu "nani zaidi" kwenye makali ya hoja mitandaoni (X, JF, TikTok, na Instagram) kati ya CHADEMA na CCM. Ukweli uliopo ni kwamba CHADEMA inatawala mijadala kwa kasi na ushawishi mkubwa wa kisaikolojia, huku...
  3. JamiiForums Tanzania Sheikh Suleiman Takadir Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa TANU Alivyofukuzwa Chama 1958

    https://youtu.be/rpGbpuig5vA?si=a3xmFfS2jIqdX_gF
  4. E

    JamiiForums Tanzania Dk Nchimbi aingia kwenye historia ya vigogo waliotimuliwa CCM kisa kutofautiana na Rais, chama

    Siku mbili baada ya Dk Emmanuel Nchimbi kujiuzulu nafasi ya Makamu wa Rais, hatimaye CCM imemfukuza uanachama. Taarifa ya kufukuzwa kwa Dk Nchimbi ilitolewa saa 4:30 usiku wa Agosti 26, 2026 na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Asha-Rose Migioro katika ofisi ndogo za makao makuu Lumuumba Dar es...
  5. JamiiForums Tanzania Matendo ya viongozi ndio sura ya chama kwa wananchi

    Moja ya mistari inayonigusa sana katika biblia, nakunifanya nijitathmini mm mwenyewe ni mtu wa aina gani, ni Mathayo 7:20 "mtawatambua kwa matendo yao" Wanadamu tuna hulka ya kupenda kuonekana ni watu wema mbele za watu (reputation) wakati kwa kificho tunafanya mambo ambayo tunaona aibu...
  6. JamiiForums Tanzania Chama kipya cha ex-CCM kitaleta chachu kubwa kwenye siasa

    Hawa wana CCM wanaotolewa kwenye meza kuu wawe na ujasiri wa kuunda chama ambacho kitakuwa mbadala wa CCM. Iwe CCM B ya ukweli na wazi. Nchimbi Majaliwa Mpango January Mpina Dotto Biteko (Asipokuwa makamu wa Rais)
  7. JamiiForums Tanzania Tukiondoa Huu Ujinga wa Kudhaminiwa na Chama cha Siasa, 2030 Akisimama Kama Mgombea Huru, Hakuna Mtu Atashindana Naye. Rais Bora ni Kutoka CCM Pekee!

    Wanabodi Kwanza nitangulize kuomba radhi kwa kusema samahani kwa shurti la udhamini wa chama cha siasa kugombea uongozi wa umma,mimi kuuita ni ujinga!. Kiukweli kitu ambacho ni cha kijinga kweli kukiita ni ujinga,ni halali...
  8. JamiiForums Tanzania Kama wao tu ndani ya chama mtu akisema ukweli ana lazimishwa ajiuzulu ndio wawaletee katiba mpya?

    Ilianza na ndugai Now Emma.. Hiki chama hakitakuja kutoka kwa maneno na njia ya Amani.
  9. JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa CHADEMA kufukuza wachaga wote ndani ya chama chao, hawataweza kuendelea kuvumilia kudhalilishwa kwa Mbowe

    Wiki hii imeanza kwa wafuasia wa Lissu na Heche kumshambulia vikali mwasisi wa CHADEMA mheshimiwa Freeman Aikael Mbowe baada ya yeye kuhudhuria sherehe za uzinduzi wa bwawa la umeme la Nyerere. Kiukweli Mbowe kadhalilishwa sana kwa siku kadhaa. Ninampongeza kwa ukimya wake kuonyesha ukomavu wa...
  10. JamiiForums Tanzania Chadema msidanganyike kumpokea Yuda, huyo ametumwa kuja kukivuruga chama.

    CCM ina mbinu nyingi sana kwenye kuharibu upinzani thabiti. Miongoni mwa mbinu hizo ni pamoja na kuvurugana ndani kwao, maboss kwa maboss, kisha mmoja anakimbilia kwenda kujiunga na chama chenye nguvu. Tushituke, tusiukubali huu mtego. Yuda kama anataka siasa nje ya CCM aende kwenye branch za...
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuandamwa na mikosi ya kisiasa na kiuchumi isiyokoma ni ishara ya wazi kua huenda kuna laana ndani ya chama hicho cha siasa nchini

    Kwa mfano we cheki, mwenyekiti wake taifa kukutwa ana kesi ya kujibu tofauti na walivyotarajia kwa kujiiga kifua sana tu kwamba hakuna lolote n.k, na kwahivyo wameumbuka hadharani na hiyo maana yake mwenyekiti huyo ataendelea kusota korokoroni. Huenda mkosi huu unatokana na utamaduni wa kiburi...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA ijifunze kutoka Mataifa yaliyoendelea. Hakuna chama cha siasa kinafanya harakati kwa sasa

    Kutumia mbinu za miaka ya 40 na 50 katika era ya Science na Technology ni kukosa ubunifu.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Siku ya hukumu ya kunyongwa Kwa Lissu kama wataamua hivyo itampa umaarufu Dunia nzima na chama chake huku ikiwachawachafua na nchi yetu ikipata aibu

    Kwa hatua aliyofukia Lisu akiachiliwa au akinyongwa Bado credits zote zinarudi kwake na chama chake maana wamechagua haki na ukweli Lakini waswahili wanasema heri nusu shari kuliko Shari kamili au heri aibu kuliko fedheha Hamna haja ya kumtumia Lisu kama kete ya kulazimisha maridhiano...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kudumu ndani ya chama ni mambo ya CCM, ndio athari za kina JK. CHADEMA tujisahihishe, tubadili katiba yetu, tumnyopoe Mbowe Kamati Kuu.

    WE WANT A CLEAN BREAK WITH THE PAST Haya sasa, tumekwama naye maisha. Kwa aliyofanya jana huwezi kusema ignore the traitor. Huwezi kumu ignore. Ni kiongozi wa kudumu ndani ya chama kwa mujibu wa katiba. Na kwa sababu tumempa hadhi kubwa ya kiongozi wa maisha, kila atakalosema na kulifanya...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Wasira: CCM kama chama haiwezi kukutwa na hatia

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Mzee Stephen Wasira, akizungumza leo Agosti 19, 2026, katika mahojiano na UTV "CCM haiwezi kukutwa na hatia. Mtu mmoja mwana-CCM anaweza kukutwa, na hiyo sio CCM. CCM kama chama haiwezi kukutwa na hatia. Lakini mwana-CCM mmoja...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Dorothy Temu: ACT hatuna ushirikiano wowote na dola. Hatuna mahusiano na CCM

    Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Dorothy semu, ameweka wazi kuwa chama chake hakina ushirikiano, urafiki wala mahusiano ya na Dola wala Chama Cha Mapinduzi (CCM), bali ACT inalenga kutimiza wajibu wake wa kisiasa kwa mujibu wa Katiba na sheria za nchi. Akizungumza katika mahojiano...
  17. JamiiForums Tanzania Chama cha walimu Kilindi laana ya dua mbaya iwe juu yenu

    Habari za mchana. Malengo ya chama cha walimu ni kuwatetea na kupigania haki za walimu kwa mwajiri.Chama cha walimu Kilindi Tanga hamjali shida za walimu kabisa mnajali kulinda vyeo vyenu laana iwe juu yenu katika kila jambo katika maisha yenu.Ameen. Walimu wanakatwa pesa za likizo bila huruma...
  18. JamiiForums Tanzania Je Tanzania inahitaji Chama Dola au Dola Huru?

    Habari za wakati huu; Nachokoza mjadala kidogo ambao naamini kabisa ndio mjadala unaoendelea kwa sasa hapa nchini kwetu. Mara nyingi nimekuwa nikisikia tuhuma kwamba Chama Tawala CCM kimeungana na serikali sana na hivyo kinaitwa chama dola.Katika siasa tunapozungumzia Chama Dola tunazungumzia...
  19. JamiiForums Tanzania John Heche: CCM sio Chama cha siasa bali ni Dola iliyojivisha nguo za Kijani

    John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA amesema; “CCM sio Chama cha siasa bali ni Dola iliyojivisha nguo za Kijani, CHADEMA ndio Chama cha siasa kwakuwa huko field hatukutani na CCM bali vyombo vya Usalama” Video: Clouds Media Digital
  20. JamiiForums Tanzania Hivi hii Yanga itakua ni project ya chama cha mapinduzi ama?

    Kwa sajili hizi ambazo ziko nje ya uwezo wa kiuchumi wa timu husika.. Kutakuwa na namna chama cha CCM wanatumia yanga kama distraction kwa taifa ili mambo yao yaende smooth na vuguvugu la kisiasa liweze kudisolve kiaina. Haikawahi kutokea club hapa Tanzania ikafannya kufuru ya namna hii kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…