chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Chama kacheza Simba,Berkane na Yanga ila hana medali ya CAF

    Jamaa ana gundu,alienda Berkane hakupata medali,akaenda Yanga timu yake ikaishia makundi ,soon Simba watavaa medali. Akihojiwa alisema ndoto yake ni kuvaa medali au kombe. Hana bahati ila ni mchezaji mzuri sana.
  2. JamiiForums Tanzania Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mkoa wa Ruvuma, kimeiomba serikali kuwaongezea walimu kikokotoo kutoka asilimia 40 mpaka asilimia 50

    Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mkoa wa Ruvuma, kimeiomba serikali kuwongezea walimu kikokotoo kutoka asilimia 40 wanayopokea sasa hadi kufikia asilimia 50 waliyokua wakiipokea awali ili iweze kuwapunguzia makali ya maisha na kuongeza ari na tija zaidi kwa walimu kufundisha wanafunzi...
  3. JamiiForums Tanzania CCM ni chama cha waoga wanaojifanya hawagopi

    Ukiwasikia wanavyojitapa hadharani utadhani ni chama kilichojaa watu mahiri na jasiri, lakini ni chama kilichojaa watu waoga kupindukia. Sheria wanazotunga nyingi zake ni kwa ajili ya kujihami na kuhami madaraka yao kiharamu. Hizi sarakasi zote za kutokuwa na Tume huru ya uchaguzi na...
  4. JamiiForums Tanzania Tamko la kataa ndoa dhidi ya chama cha CHAPUTA!.

    Awali ya yote natumai mu buheri wa afya.. Mimi kama katibu wa chama cha kataa ndoa, napenda kutoa rai ama ushauri juu ya chama cha CHAPUTA yani chama cha wapiga punyeto Tanzania!. Kwanza ieleweke hivi kwa watu wote chama chetu cha kataa ndoa si kwamba kukataa ndoa ndo kukosa mpenzi!, la...
  5. JamiiForums Tanzania Chama mkataba unaisha. Aongeza juhudi ya mazoezi

    Ni kawaida ya Chama mkataba unapokaribia kuisha huongeza sana juhudi ya mazoezi. Na hili jambo kwa kweli humbadilisha Chama na kumfanya mpambanaji sana uwanjani. Ila tena matches ngumu zikianza huanza kucheza kwa woga akiogopa kuumia maana umri nao si haba. Chama akutane na Dodoma Jiji...
  6. JamiiForums Tanzania Bandiko la mwisho la Taita Instagram lenye maudhui ya Chama

    Kwa vijana wa kileo: Licha ya kutumia nguvu nyingi juu ya kutafuta haki, nakushauri jitengeneze Kwanza kiuchumi ukifuatilia baadhi ya Maisha binafsi ya viongozi wenu utaona Kuna kitu hakipo sawa. NB: Najua wakereketwa mtatoa povu sana ila habari ndio Hyo. Kumbuka pia Taita amemaliza kujenga...
  7. JamiiForums Tanzania Chama gani kipo tayari kukupa mgombea sahihi 2025 ?

    Chama gani unadhani kipo tayari kutupa mgombea sahihi kwa nafasi ya urais 2025 ? A. ACT Wazalendo B. CHADEMA C. CCM
  8. JamiiForums Tanzania Watanzania Chukueni hatua wenyewe acheni kutegemea chama kuwakomboa

    Nawaambia Chukueni hatua Anzeni na watu mnaoishi nao mtaani Chukueni hatua za kimya kimya baada ya miezi 3 mbele wahuni wataelewa Kama Kuna biashara ya muhuni msinunie Acheni kupanda hayo mabasi ya mafisadi Kama ni mwalimu mtoto wa polisi muache afeli Kama ni doctor akija fyeka
  9. JamiiForums Tanzania Nimesikitika kusimamishwa barabarani nusu saa kisa Stephen Wasira anapita

    Tukio limetokea leo asubuhi Dodoma, tumesimamishwa na Polisi magari yote yakae pembeni nikadhani ni kiongozi mkubwa anapita kumbe ni Mzee Stephen Wasira
  10. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania zaidi ya 5500 live mtandaoni mda huu kufuatilia chama makini Tanzania (CHADEMA)

    Habarini za mchana wana jamvi.... CDM inaonekana kukonga mioyo ya watanzania wengi ambao wamechoka na ufedhuri na dhuruma ya CCM. Hii ni dalili njema kwamba kumekaribia kupambazuka, tuendelee kumwomba sana Mungu wetu wa haki. Simba wa nyika Tundu Lissu na Heche kila waungurumapo CCM inapagawa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shamira: Ni jukumu la UVCCM kuwalinda viongozi wetu wa Chama

    NI JUKUMU LA UVCCM KUWALINDA VIONGOZI WETU WA CHAMA - SHAMIRA Mjumbe wa Baraza Kuu (UVCCM) Taifa Ndg Shamira Mshangama amesema vijana wa CCM wana jukumu la kulinda viongozi wanaotokana na Chama cha Mapinduzi kwa kuhakikisha wanaendelea kushika nafasi ambapo kama Mbunge au diwani alikuwa ni...
  12. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnawaaibisha wanachama na chama chenu

    Hivi inakuwaje leo wale walikuwa wanajiasibu kwa mbwembwe za kuleta upinzani, ndio wanaokiita G55. Wanatoka wapi?? Dhamira yao ni ipi?? Si uchaguzi uliisha? Ni aibu sana kupingana viongozi wa Chadema kwa maslahi ya matumbo yenu. Hata huko mtakapohamia G55 hamtakuwa na Audacity ya kuleta...
  13. JamiiForums Tanzania Mzee asiye na Chama na Mtumishi wa Mungu, aionya CCM , adai Mabadiliko ni Lazima !!

  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Muda uliobaki kabla ya uchaguzi mkuu unawatosha G55 kuanzisha chama chao kipya kushiriki uchaguzi?

    Kwa kuwa lengo la G55 ni kushiriki uchaguzi tu katika hali yoyote ile na mazingira yoyote kama ilivyo ACT, je muda unaruhusu wao kuanzisha chama kipya, kupata usajili na kuweza kusimamisha wagombea wao kushiriki uchaguzi?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Atatoka Chama tawala atawapitia G55 ataenda nao Hadi ACT je huyu ndiye au tumsubiri ajaye

    Wale wanaoamini katika falsafa za Mwalimu Nyerere wakumbuke maneno haya CCM itangushwa na wana CCM wenyewe No reform no election ni falsafa muhimu sana kwa wakati huu lakini Hawa wanaoihubiri kwa nguvu sana sio wanaoenda kunufaika nayo Aminini nawambieni yupo huyu mtu mwenye...
  16. JamiiForums Tanzania John Mrema: Kauli ya kuwa Kanuni za Maadili hazina tarehe ya kusaini, haina mashiko. Tume itachapa lini ikiwa kila Chama kitasaini siku inayotaka?

    John Mrema kutoka Kundi la G55 la ndani ya CHADEMAN amesema hawaoni muujiza wanaoambiwa na Viongozi wao kuwa utatokea kwa sababu tayari mchakato wa Uchaguzi umefika mbali. Na wanachokiona ni kwa ndoto zimekufa Amesema Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani 2024, Kifungu cha 4 kinasema...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA iliwahi kukisaliti chama gani cha siasa?

    Naona lawama Kila siku kuwa CHADEMA ikiungana na vyama vingine huwa inavisaliti. Jee CHADEMA ilishawahi kukisaliti chama gani kingine Cha siasa na hicho chama kilisalitwa katika jambo gani?
  18. JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi: Tukumbuke duniani kuna walioendelea kwa Chama kimoja, Vyama vingi na kwa udikteta wakizalendo

    Tusije tukajisahau kudhani umasikini utaisha kwa kuwa na katiba imara yenye kuleta uwasawa wa kidemokrasia. Hii ni hatua nzuri lakini sio lazima ilete Maendeleo kama watu wetu watakuwa na akili hizihizi. Kuna pengine hii ndio imeharibu kabisa kabisa. Kuna CHINA ilikuwa masikini kwa Chama...
  19. JamiiForums Tanzania Kauli Inayotolewa na Viongozi wa Chama na Serikali ya Kuwataka Viongozi wa Dini Wasichanye Dini na Siasa ni Kauli za Kishetani.

    Viongozi wa Chama na Serikali wakiendelea na kauli hizi za kishetani tutawaka wafanye yafuatayo:- 1. Waagize kwenye ibada kusiwepo na kuwaombea viongozi wa Serikali sababu ni kuchanganya DINI na SIASA. 2. Serikali wanapofanya mikutano, vikao, sherehe wasialike viongozi wa DINI kwa ajili ya...
  20. JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kugombea urais kupitia chama kimoja wapo Cha kisiasa na hii ndiyo agenda yangu kuu.

    -----Update------- Hoja zangu zimeshambuliwa na wananchi ambao Wanaona haiwezekani kwa kuwa serikali zingine zimeshindwa lakina ukweli ni kuwa sisi tutafanikisha Hili suala kwa kujua umhimu wa kuanzia fursa sawa kwa watoto wote wa Tanzania. ---------- Ndugu wananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…