chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Lema: Kumchagua Lissu kuliondoa dhana CHADEMA kuwa chama cha wachaga

    "Sisi wachaga ama watu Kilimanjaro na watu wa Kaskazini tunapaswa kuwa makini sana kwa muda mrefu sana watu wa Kaskazini wameonekana kama watu wanaojitenga na hata chama chetu wakati kinakuwa kilipigwa vita ni chama cha wachaga" "Mimi wakati naingia kwenye kampeni za kumsaidia Lissu...
  2. JamiiForums Tanzania Magwajima wakichujwa na kuenguliwa CCM ndio itakuwa chama kinachofaa kwa Watanzania?

    Watu wengi wanajiuliza sana juu ya hili agizo kuwa Magwajima wasipktishwe kugombea ubunge na udiwani. Swali la msingi , Magwajima wasipokuwepo CCM ndio itawafaa watanzania? Magwajima ndio walipaswa kupitishwa ili kuisimamia na kuhoji masuala ya msingi kwa manufaa ya nchi yetu. Chama...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge akiwa bungeni akikinzana na chama chake kwa kuwa mkweli wakimfukuza hapati pensheni yake?

    Wana jukwaa, hivi mbunge akiwa bungeni akikinzana na chama chake kwa kuwa mkweli wakimfukuza hapati pensheni yake? Maana naona wakiwa bungeni hawasemi ukweli unao wagusa wananchi wake kulingana na maisha ya wananchi wao bali wanakaa kimya, wakikosoa na wakishambuliwa wanakubali kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Hii kusema Chama kitaanza kutekeleza Mchakato Wa Katiba Mpya wakiingia Madarakani 2025-2030 ni uongo, kila muhula wanakuja na Uongo huu.. shituka wewe

    Swala la katiba Mpya lilianza kupigiwa kelele na kupamba moto toka enzi za Kikwete akaingia magufuli naye akasema yupo kwenye mchakato wa kukamilisha, Mzee Magufuli alahudumu miaka yake 5 akaaga Dunia, jambo hilo halikukamilika, badae akaingia Samia kwa Tiketi ya Magufuli akapalilia pale pale...
  5. JamiiForums Tanzania Chama cha darasa la 7 sio rahisi wajibu hoja ?

    Mmejionea wenyewe kiranja wao alichoongea Leo . Tatizo ni Elimu , chama cha darasa la Saba.
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA kinaomba Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kukijumuisha Chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu wa kihistoa Oktoba 2025 sasa?

    Chadema wameungundua nini sasa hata kiwatume viongozi wa dini na jumuiya ya kimataifa kuwaomba tume huru ya Taifa ya uchaguzi kuijumuisha chadema kwenye mchakato wa uchaguzi uliosalia kwa maana ya kwamba chadema nayo iwepo kwenye karatasi ya kupigia kura, hali ya kua chama hicho hakina sifa na...
  7. JamiiForums Tanzania Kituko Mkutano Mkuu CCM: Wajumbe wamshangilia Mjumbe Chama Kikuu Urusi aliyesifia Utekelezaji wa Miradi ambayo kwa 90% imefadhiliwa na Marekani na EU

    Leo ndo nimeamini CCM kumejaa wajinga wengi na wasiojielewa. Ambao hawajui hata mambo ya nchi yao. Akitoa salamu za Chama Kikuu cha Urusi, Mjumbe aliyewakilisha chama hicho pamoja na kuziponda nchi za Magharibi kama kawaida yao, alisifia miradi mbalimbali ambayo imekuwa ikifanyika nchini...
  8. D

    JamiiForums Tanzania I love ccm Sana ila they are walking blindly. thinking they are too big fail. it's not good

    I will be short kuna theory inasema " NOTHING IS TO BIG TO FAIL" ONCE ukifikilia uko mkubwa uwezi anguka unakuwa umelegea. thinking chochote kinaweza kwenda and others are innovating to take you down permanently. so to stay in power you have to innovate and improve every single day...
  9. JamiiForums Tanzania Kamati Kuu 3/6 Niwakumbushe Kusimamia MAAMUZI YA CHAMA , Haitotokea Msajili Kukifuta CHADEMA Hana Uwezo huo

    Mimi nawahakikishia Hajatokea MTU yoyote Tanzania awe Rais au Nani, HAJATOKEA ,HAYUPO NA HAKUNA AMBAYE ATAFUTA CHAMA CHA CHADEMA, HAYUPOOOO !!. Hata awe ni Chawa wa namna gan, hata awe na Ulinzi wa aina gan, hata MCHINA AWE KAAHIDI KITU GAN , HAYUPO na hakuna yoyote mwenye ubavu hata Uthubutu...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Ruzuku ya CHADEMA ni Wanachama siyo pesa ya Msajili

    Sio mara ya kwanza kwa Chadema kunyimwa ruzuku, ilishawahi kujiendesha pasipo ruzuku ya serikali kwa zaidi ya miaka 3 bila kuyumba. Chama ni wanachama, kama wanafikiri Chadema itayumba kwa kukosa ruzuku wanajisumbua wao waendelee na project yao ya utekaji. Chama kinaweza kupokea ruzuku kubwa...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Ukikosoa chama chako utanyang’anywa kadi na kuitwa majina mabaya yote, CCM iwe imara inahitaji upinzani imara

    Wakuu Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD). Askofu wa dayosisi ya Karagwe. SOMENI BILA SHIDA na SOMENI KWA FURAHA. Niliishasema na ninarudia tena. Someni Bila Shida na Someni kwa Furaha: WAPINZANI ACHENI KUIONEA CCM na CCM IACHE KUJIONEA. 1. Taifa hili bila CCM imara...
  12. M

    JamiiForums Tanzania WanaCCM tusiwe wajinga. Mambo ya chama yaishie kwenye miambali ya chama, kuyaleta bungeni kujadiliwa ni aibu kubwa

    Kichwa cha mada chajitosheleza. Hii inaleta picha kuwa hatuna cha kujadili juu ya nchi...vikao vya chama kwa sehemu zake ziko kujadili haya. Ifike kipindi hata km tutakuwa wote ni Ccm ndani ya Bunge ni marufuku kuleta mada za chama. Hii inatujengea picha mbaya. Hatuwezi maliza mambo yetu ndani...
  13. JamiiForums Tanzania Prof. Balozi Benson Bana (PhD) anafaa kwenye Chama Cha Mapinduzi

    Mheshimiwa Profesa Mbobezi wa Sayansi ya Siasa Duniani na Balozi (Mstaafu) Benson Bana (PhD) anafaa kwa Nafasi za juu katika Chama. Tafadhali, Mkutano Mkuu mfikirieni ikiwapendeza, mpeni kazi akasaidiane na Mzee wetu Stephen Masatu Wassira a.k.a Tyson wakaimarishe chama nchi nzima.
  14. JamiiForums Tanzania Makali ya chama cha ubwabwa: leo wanaliamsha dude

    Leo ndio siku ambayo kwa mujibu wa ratiba zao wataingia rasmi mitaani kujitambulisha zaidi na kumwaga sera zao Ratiba ya ufunguzi itaanzia Mwanza.. Haijajulikana kiwanja gani Makali yake yataonekana Leo kutokana na nyomi ya mwitikio wa wana mwanza... Na amin I watakuwa wamejiandaa vema sana...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Shibuda ajibu madai ya kuwa alinunua chama cha Siasa kama Member wa JF alivyosema

    Baada ya andiko la Mwanachama wa JamiiForums.com lililokuwa na kichwa cha Habari ~ John Shibuda alinunua chama cha Siasa cha Oscer Kambona kisha akakiuza Unguja kwa Wapemba, kwenye Siasa lolote linawezekana Mbowe siyo wa kwanza! Shibuda mwenyewe Amejibu kuhusu andiko hilo kwa kuandika haya...
  16. JamiiForums Tanzania Mkopo wa bilioni 2.85 chama cha walimu ziliafikiwa chini ya rais Leah Ulaya, walimu tumeshtuka, box la kura litaamua

    Ndugu wanachama, walimu wenzetu na mashabiki wa kweli wa maendeleo ya CWT, Wakati mwingine kimya si busara! Sasa tusikie na sisi tusikike. Ni muhimu kusema ukweli huu bila kupepesa maneno. Kwa muda mrefu tumekuwa tukishuhudia matumbo yasiyoshiba yakizusha kelele zisizo na msingi dhidi ya uongozi...
  17. JamiiForums Tanzania Sugu, jimbo la Mbeya Mjini liko wazi, jiunge na chama kikuu cha upinzani CHAUMMA usepe na kijiji

    Kwa sasa Sugu njia nyeupe Mbeya Mjini. Ni yeye tu aachane na siasa za darasani (academic politics) aende saiti
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Msimamo wa Chama chetu ni kusimama na msimamo wa wananchi na kutokufanya siasa za ulaghai

    Wakuu Mapema asubuhi leo Mei 23, 2025 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche anaongoza kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho kujadili mambo mbalimbali moja ya ajenda zilizoainishwa kujadiliwa na kikao hicho ni pamoja na 1. Hali ya Kisiasa Nchini 2. Operesheni ya 'No Reform No Election' (Bila...
  19. M

    JamiiForums Tanzania CCM Yawazuia Wanachama Wake Kuvaa Sare za Chama Katika Mkutano wa Katibu Mwenezi,Amos Makala.

    Simiyu – Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewaelekeza wanachama wake kutovaa sare za chama katika mkutano wa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa chama hicho, Amos Makala, unaotarajiwa kufanyika leo mjini Bariadi. Taarifa ya chama hicho iliyosambazwa kwa wanachama imeeleza kuwa walioalikwa...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA, chama cha watanzania wote, wapenda haki na maendeleo kuanza shughuli 30/5

    Haya ndugu watanzania chama lenu, chama la nguvu, CHAUMMA, Kitazunguka nchi nzima kwa siku 16,kwa kutumia chopper maalumu, watanzania wote wakubwa na wadogo, wazee kwa vijana, wanawake kwa wanaume mnakaribishwa sana mukuje mupate sera, za chama chenu, kipenzi cha roho zenu, Sera zilizoandaliwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…