chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Video: Baada ya Mahakama kusitisha shughuli za chama, Tundu Lissu atoa ujumbe mzito toka gerezani kuhusu NRNE, asema Aluta continua..!

    https://youtu.be/rVoMmXxnrwc?si=3yJq9L7mgZsH9xe8 Asema: 1. MSIOGOPE. Jaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa CCM. Aliwekwa ktk kesi hii kwa maslahi ya CCM. Huyu alikuwa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) chini ya uenyekiti wa Jecha Jecha iliyofuta matokeo ya ushindi wa CUF ya Maalim Shariff Hamadi...
  2. JamiiForums Tanzania Angalia jinsi Chauma "walivyosepa na kijiji" Tabora, umati ni maelfu kwa malaki, wasipuuzwe, wanakamata nafasi chama kikuu cha upinzani

    Inawezekana ni kweli kwamba chama hiki kina ma injinia wa siasa. Chama hiki kina ma-genius wa siasa. Wanajua wafanye nini saa ngapi, na wapi. Ni muda mfupi tu, lakini angalia walivyoifunika Tabora! Hawa jamaa wakiendelea hivi, kufikia October itakuwa habari nyingine! Kufikia 2027 watakuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Wenye chama waokoe chama chao au waache aende nacho shimoni

    Habari wakuu, Kiukweli kwa hali iliofikia mtaani chama kinakufa kwa kasi kweli lakini ukiangalia kwa undani raia wanamchukia yeye kuliko chama ila siku zinavonzidi kwenda na chama kinaanza kuchukiwa . Kuliko kuendelea kumlamba miguu mpaka wakaenda nae shimoni ni bora wafanye jambo mapema...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi ndivyo Mary Chatanda anavyowazuia wengine wasigombee ubunge Mkuranga akisema Ulega ni chaguo la chama

    Mary Chatanda ni mmoja wa wajumbe wa NEC Taifa ambaye miezi michache ijayo ataketi katika wale watu Watakaopitisha majina ya Wana CCM waliotia nia Majimboni kuomba nafasi ya Ubunge Kwa nafasi yake Jana amesema wazi kwa Mkuranga ni Abdallah Ulega na wengine hawastahili. Mbaya zaidi katika hilo...
  5. JamiiForums Tanzania Naibu Spika, Zungu: Marufuku kuvaa sare za Chama bungeni

    Katika kusimamia mavazi rasmi ya wabunge, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kanuni za Bunge imebaini kuwa baadhi ya wanaoingia maeneo ya Bunge huvaa sare zinazoashiria au kuzoeleka kuvaliwa na wafuasi au mashabiki wa vyama vya siasa kwa alama, nembo, maandishi ambavyo hutafsiriwa kwa jina, alama...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa chama na serikali,tujifunze kufuata maelekezo na maonyo!Tumechoka kuzika wanachama!!

    TANU na ASP zilikuwepo na Wana intelligence was vyama hivyo walikuwepo baadae CCM 1977 ikazaliwa na Wana intelligence walifanya KAZI yao! KAZI ya intelligence ni kuhakikisha wanakua pro active Kwa mstakabali ujao wa taifa!wao ndio walimshauri kikwete asimamie uandishi wa Rasimu ili baadae owe...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Watu waelewe kuwa propaganda za chama tawala ni namna ya kutafuta kisingizio kwamba wameshinda uchaguzi mkuu, hata wasiposhinda watatangazwa washindi

    Nadhani Watanzania wote waelewe modus operandi ya CCM. Moja, sio kwamba hawajui umuhimu na haja ya kufanya reforms katika taratibu za uchaguzi. Wanajua sana, na zaidi wanaelewa kwamba reforms, hata kama zikifanyika na upinzani ukashindwa kutwaa kiti cha raisi, zitatoa fursa ya kuwa na wabunge...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chama Cha mapinduzi CCM kitashinda Uchaguzi Mkuu 2025 Kwa kishindo

    Licha ya upinzani mkubwa wa sera na mipango mikubwa ya Chadema ni wazi CCM ni mshindi mpaka sasa Kwa sababu hawa Chadema wenye wafuasi wengi hawatashiriki uchaguzi. CCM Wana Hela za kutosha hawana tone Kwa tone, Wana vyombo vya ulinzi Wana watumishi wa Umma kama walimu ambao wao Kila kitu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa michango yazuka Chama cha Wafugaji Tanzania

    Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Wafugaji Tanzania (CCWT), Thomas Nkola maarufu kwa jina la Mkulima, amepinga vikali uamuzi wa chama hicho kuwatoza wafugaji Sh 15 milioni kutoka kila kanda kwa ajili ya maandalizi ya Kongamano la Wafugaji Tanzania linalotarajiwa kufanyika mwezi huu mjini...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stephen Wasira: Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakitaahirisha uchaguzi ng'o

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakitaahirisha uchaguzi ng'o kwa sababu kiliomba ridhaa ya kuongoza nchi kwa miaka mitano na kimeongoza vizuri kwa kuleta maendeleo chini ya serikali iliyoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan Hayo yameelezwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara...
  11. JamiiForums Tanzania Dr. Tulia anasema vijana wajitokeze kuyasema mazuri ya serikali; anasahau Baba ukishatoa kafara mtoto mmoja kisa utajiri mazuri yote hufutika.

    Mpo salama! Ukishatafuta utajiri wa kafara, ukamtoa Mke au mtoto mmoja na watu wakajua na watoto waliobakia. Hata uwajengee watoto ghorofa, uwanunulie Range Rover, au ukawasomeshe Marekani. Kamwe hawatakutaja kama Baba Bora, wala hautasifiwa kwa lolote zuri. Hakuna Jambo kubwa kwenye maisha...
  12. JamiiForums Tanzania Nitapiga kura kuchagua chama pinzani sipo tayari kuendelea kuongozwa na mzanzibari.

    Mambo ya kupiga piga kura nilikuwa nimeshaachana nayo kitambo hivyo yeyote atakayeshinda sawa tu japo vyama pinzani nilikuwa sivipendi balaa. Kwa sasa nimeamua kupiga kura nafasi ya urais kumpa mpinzani ambaye atakuwa na ushindani ili kura yangu isipotee. Sipo tayari kuendelea kuongozwa na...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia achangia Milioni 150 na wafanyakazi ofisi yake wachangia milioni 100 Ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye Mahitaji Maalum Kanisa la KKKT

    Rais Samia akishiriki Harambee ya Kuchangia Ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye Mahitaji Maluum Kanisa la KKKT Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam, leo tarehe 5 Juni, 2025. =============================== RC Chalamila: "Nikupe pole Rais Samia. Tunaona kwenye mitandao wachache katika Taifa...
  14. JamiiForums Tanzania Yericko hama chama badala ya kuendelea kuwapinga wenzako ndani ya chama

    Ndugu Yericko wewe ni mwanasiasa makini ila kwa sasa hauko sawa. Kwanini unapambana na wenzako ndani ya chama badala ya kuhama kama kina Mrema? Huu unafiki ulio nao ni wa hali ya juu mno. Posts zako nyingi ni against your own party. Kwanini unakata tawi ulilokalia? Heche anakosea sana...
  15. JamiiForums Tanzania Viongozi wa TFF na Bodi ya Ligi Wanahujumu Chama na Serikali Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu 2025

    Wanachokifanya Chama cha soka nchini TFF na Bodi ya Ligi kuhusiana na mechi ya mkondo wa pili ya watani wa jadi Young Africans SC na Simba SC ni wazi wanatumika na baadhi ya wanasiasa kuhujumu uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Ikumbukwe vilabu hivi vikubwa vina wanachama na mashabiki ambao wale wenye...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kampuni ya Kukodisha Helikopta Kenya Yakataa Kuwahudumia Chama cha Chaumma

    Kampuni moja ya kukodisha helikopta nchini Kenya imekataa kutoa huduma kwa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) Hata sisi tutapata vya kwetu,l😍😍😍
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) wapo LIVE Jijini Mwanza muda huu Juni 3, 2025

    https://www.youtube.com/live/e-gAjW47RNY
  18. JamiiForums Tanzania CCM kufadhili kitabu cha mzee Songambele kuenzi historia ya nchi, chama na serikali

    CCM KUFADHILI KITABU CHA MZEE SONGAMBELE KUENZI HISTORIA YA NCHI, CHAMA NA SERIKALI - Balozi Nchimbi atoa neno, akimwakilisha Dkt. Samia msibani Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kitabu alichoandika Alhaj Mzee Mohamed Mustafa Songambele...
  19. JamiiForums Tanzania Sheikh Sule huwa anazungumzia mambo ya nchi kama kiongozi wa dini au kada wa chama?

    Huyu Sheikh mimi nilifikiri ni kiongozi wa dini tu, nimeshangaa kukutana na hii video!
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA ni Chama kidogo sana kinapaishwa na Viongozi wa Chama tawala kwa kutokujua.

    Chama Tawala kina mizizi mikubwa sana hapa Tanzania na hakuna njia ya kupambambana nacho ili kukiondoa,iwe kwa boksi la kura au hata nje ya boksi la kura but kwa bahati mbaya mno viongozi waandamizi pamoja na Makada wa Chama wamekuwa na Mawazo finyu juu ya upinzani kitu ambacho kinapekekea CDM...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…