chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Kuamini JK anamsaada kwenye taifa hili ni kujidanganya

    Ndivyo ilivyo JK mambo yake yanaenda wala hajali na ya wahuni wenzake nao mambo yao yanaenda hivyo wahuni wameshikamana na wamekuwa na nguvu na wakiachwa wakajijenga zaidi hali itakuwa mbaya zaidi kuja kuirudisha nchi kwenye mfumo wa kutawalika vizuri
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Mkutano Mkuu, Halmashauri Kuu na Kamati Kuu za chama ndizo zilizofanya maamuzi Samia kuwa Mgombea Urais

    Vyombo vya juu kabisa vya kichama ndivyo vilivyofanya maamuzi sahihi,ndani ya mikutano yake,na kura zikapigwa kizuri zaidi kura zote kwa asilimia 99.8 zikaafiki,na kumsimika,ya kwamba hawa ndiyo wagombea wetu, #Kushindana na uamuzi wa vyombo vyote hivyo vya kichama vilivyofanya maamuzi ndani ya...
  3. JamiiForums Tanzania Ni Siasa za kiwendawazimu karne hii kuruhusu Mgombea Uraisi kuwa Mkubwa kuliko Chama chake Cha Siasa

    GT Kwa sheria za Tanzania wagombea wote wanawajibika kwa vyama vyao sasa maCCM Wana utaratibu wa kumfanaya raisi ndiyo mwenyekiti wa Chama huu ni wendawazimu. Lazima Rais awajibike kwa chama chake. Lazima wawepo wakubwa wake wa kumwambia bila uoga hapa bwana umekosea na pengine kumtoa kwenye...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Polepole: Ripoti za CAG zinakwenda kwa watu, watu wanauliza mbona hatua hatuchukui? Na mbona chama kimekaa kimya?

    Humphery Polepole ameeleza kuwa ripoti za CAG zinaeleza vitu vibaya na zinakwenda kwa watu na watu wanauliza mbona hatua hazichukuliwi na chama kimekaa kimya? "Ningewachambulia hapa ripoti za mkaguzi na mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali namna zinasema manenomabaya. Hizi ripoti...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Polepole: Msingi wa chama chetu hakuna fomu moja

    Kama anakuja kwenye point....let us wait
  6. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche - Ukikubali masharti feki ya mahakama, utakuwa indirectly umekubali Chama kufutwa kimyakimya

    Salamu Ndugu Heche. Pole sana na majukumu yako, Kwa sasa mmewekwa katika mtego mkubwa, na mtego wenyewe ni kuwa mahakama imetumika kisiasa kuizuia CHADEMA kufanya siasa. Hili jambo usidhani ni dogo, ni kubwa. Baada ya Madhalimu kuona kuwa hawawezi kuidhibiti CHADEMA kwa kutesa, kununua, kufunga...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Mbowe Aibuka Dodoma Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya 2050

    Mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe aibukia kwenye Uzinduzi wa Dira ya Taifa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
  8. JamiiForums Tanzania Polepole, usisahau nchi au taifa lolote la Maana Msingi wake ni Mambo haya Makuu matatu; Chama chako kinavunja Msingi Mkuu wa taifa, hayo ni matokeo

    Mpo Salama! Taifa lolote la Maana, ndoto ya watu ni lile linalojengwa katika Misingi Mikuu miitatu; 1. Utawala Bora na Sheria (Good Governance and Rule of Law) Huu ni kama msingi wa nyumba. Bila utawala bora hakuna amani, hakuna haki, hakuna maendeleo. Sheria hutuliza, huongoza, na hutoa...
  9. JamiiForums Tanzania Chama kinachodiriki kushirikiana na Mataifa mengine ili kuharibu mstakabali wetu kifutwe

    Moja kwa moja kwenye mada Kila Mtanzania anajuafika kuwa amani yetu ni tunu kubwa na muhimu katika kuleta ustawi wa jamii. Inapotokea kuna kundi au chama cha siasa kinajaribu kushirikiana na kushinikiza nchi marafiki kuona Tanzania haifai basi kundi hilo au chama hicho inabidi kipigwe marufuku...
  10. JamiiForums Tanzania Niliwapa ushauri kwa chama kikongwe mgeufata msingefika hapa leo.

    Niliwaambia ili mfanikiwe mnabidi kufanya tathimini kuhusu bidhaa yenu iliyopo sokoni. Watalaamu wa biashara wanaelewa kuwa kuna bidhaa ambazo ni fast moving product na slow moving product. Hauwezi kuwa a good entrepreneur ukapeleka sokoni bidhaa mbili ambazo zote ni slow moving products...
  11. JamiiForums Tanzania Kwasasa CHADEMA inajionyesha waziwazi kuwa ni chama Cha mabeberu

    Toka wabadilishwe viongozi wa chadema ndo tumejua wazi wazi kuwa chadema ni mradi wa mabeberu, wanatekelea tamaduni za mabeberu, chadema ni Mapandikzi ya mabeberu Wamefikia hatua hata ya kumteua mzungu kuwa mshauri wakisheria wa chadema. Angalizo: Hatutaki mtuletee mambi machafu nchini
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mapito wanayopitia CHADEMA na Viongozi wake kama wangekuwa wanapitia CCM basi chama kingekuwa kilishakufa zamani

    Nakiangalia mapito wanayopitia CHADEMA na Viongozi wake kama ndiyo wangekuwa wanapitia CCM,basi chama kingekuwa kilishakufa zamani. Naamini ni mda wa kukipa madaraka chama cha Chadema kama kukomaa kimekomaa zaidi ya CCM ni vile tu serikali haitaki kuruhusu uchaguzi huru maana hata wanachama wa...
  13. JamiiForums Tanzania Ikiwa kuna wanaChadema damu walihama chama; Unawezaje kujihakikishia kwamba wote wanaoitwa mawakili wa Lissu, kwamba wana nia nzuri naye?

    Nimeona askari magereza wakinangwa pasipo sababu, kwamba wanazuia Lissu asipeane mikono wala kubadilishana nyaraka na mawakili wake. Watu wanatakiwa kuelewa kwamba Lussu is a red line; ndo mwanasiasa mwenye mvuto kwa sasa ndani ya Afrika Mashariki. Maana yake huyu mtu anatakiwa kulindwa. Hao...
  14. JamiiForums Tanzania Wana ccm ni muda wa kuamka kupambania chama hizi surprise za watu kupewa nafasi out of nowhere big no

    Hello wana Jamii, Niende kwenye Mada/ Kero. Nauliza maswali Kwa hawa viongozi wetu wa Chama hivi Wana- CCM mnawachukuliaje ? Kuna watu wanakula Upinzani wakiona hakuna Maisha wanakimbilia CCM na inaonekana wana bahati Sana kuliko Wana CCM wenyewe maana wakifika wanapewa vyeo na nafasi za...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania CCM tumetengeneza wakati hatari kwa chama chetu

    Tunajaribu kugombana na: 1.wasukuma kupitia kwa askofu Gwajima na Mpina .kabila hili ni hatari , umoja wao na kwa wingi wao.na sasa amekuja POLEPOLE tunaanza kumjibu kwa kejeli ? hapa tunakosea .afadhali kunyamazi kuliko kuongea . 2.Taasisi za dini kupitia Askofu GWAJIMA na KKAM ,na TEC ...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa haya yanayoendelea kati ya Serikali ya Chama tawala ,vyombo vya ulinzi,dola na mfumo kuna siri au tukio zito sana tulitarajie kabla ya Agosti 3.

    Wakuu natumai mnaendelea vyema.kwa wale wanaofuatilia matukio mbalimbali ya kisiasa na kijamii nchini mnakubaliana nami kwamba kuna mambo hayako sawa kabisa. Kuna matukio ya wazi mfano kutovunjwa kwa Bunge,mvutano wa Vyombo vya ulinzi na Taasisi za kidini(shambulio la kitima,kufungiwa kanisa la...
  17. JamiiForums Tanzania Naiona CCM imerudi kwa wenyewe chama, yale malaplap yaliohamia yakihisi yataendelea na vyeo ni kilio

    Hahaaa wajumberee sio watu wazuriii kabisaaa Nimechekaaaa sanasanaaa Hahahaaa KAZI iendeleee Wale mabwana waliohama vyama vyao wakakimbilia ccm wakahisi na dis tym watapata vyeoooo Naonaaaa Ki Chi Njioooooooooo Kimewakataaa bilaaa hurumaaa POLENI sanaaa tuungane kuinarishaaa chama...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM Mungu hajalala, tukiendelea kuteua waovu anaweza angusha mtungi maji yote yakamwagika

    Amani iwe nanyi Wana Jukwaa , Nitaandika Kwa kifupi ili kila mmoja atoe mtazamo wake. Nchi yetu inaelekea kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais. Tumeshuhudia wafanyakazi wa Serikali ngazi mbalimbali wakiachia nafasi zao wakikimbilia kuomba kupendekezwa na Chama cha...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde watia nia, kumbukeni chama kwanza mtu baadae

    Mliotia nia wote naona mmeanza choko choko kabla hata majina matatu hayajarudi, zingatien kaulimbiu yetu kuwa chama kwanza mtu baadae, Kama huwezi nendaaa, msitugawe na kutuharibia chama
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…