chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna taarifa zinasambaa kuhusu kundi hili katia picha hii kwamba wakikutana na kuanzisha chama basi kitakuwa babkubwa

  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Kura za wajumbe wa CCM zimepalilia falsafa ya Oktoba tunatiki, Sasa tutatiki kwa Rais Samia, wabunge wa CCM na madiwani wa CCM. Then Day ended well

    Nianze kwa kumpongeza mwenyekiti wetu wa CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA Dr. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapa nguvu Wajumbe waamue viongozi wanaowataka kupitia kura. Hongera sana mwenyekiti wetu Samia kwa kuongoza chama chetu kwa akili kubwa na maono makubwa. Wajumbe wameshachagua wabunge na...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA, mkakati wa kisheria na kisiasa kwa ajili ya uchaguzi ujao 2025

    Kwa kuzingatia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (kama ilivyorekebishwa), haki za kisiasa na za kijamii zimewekwa wazi, ikiwa ni pamoja na uhuru wa vyama vya siasa kushiriki katika shughuli za kisiasa kwa mujibu wa Ibara ya 20(1) inayosema: “Kila mtu anao uhuru wa kuungana...
  4. JamiiForums Tanzania Sisi tusio na Chama kazi yetu ni kuhakikisha jikoni hakukosi kuni 😂.

    Sisi tusio na Chama kazi yetu ni kuhakikisha jikoni hakukosi kuni 😂.
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Humphrey Polepole aendelea kuibomoa CCM. Asema 'Huwezi kuridhiana na mwizi'

    Najua CCM ni wachafu ila sijawahi kujua kuwa kumbe ni wachafu kiasi hiki, huyu hapa Humphrey Polopole.... https://www.youtube.com/watch?v=_bT19_syqfY
  6. JamiiForums Tanzania Polepole: wahuni wamevamia chama na wanataka kujimilikisha nchi mwaka 1995 walishindwa 2005 wakajaribu na 2015 walijaribu mkapa akazuia:

    Aliyekuwa balozi nchini CUBA katika mtandao wake wa facebook amenena maneno mazito kwa nchi ya tanzania kwa kusema kwamba nimhimu sana kupigania chama na nchi kwa ujumla kwani kwa sasa wahuni wamevamia chama na wanatengeneza mkakati wa kujilimikisha nchi na ametaja mikakati hiyo ambayo...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nimefurahishwa sana na Uamuzi wa Chama changu cha Mapinduzi na Serikali yake Kutomjibu Humphrey Polepole

    Ndugu zangu Watanzania, Kiukweli CCM itabakia kuwa chama kiongozi Barani Afrika, itabakia kuwa chama chenye heshima na kuheshimika Barani Afrika na Duniani kwote kwa ujumla wake. CCM itabakia kuwa chama cha kuigwa Barani Afrika,itabakia kuwa chama kisichoyumbishwa wala kuyumba. Uimara...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Kilimanjaro: Mwenyekiti CCM Hai ampigia debe Saasisha Mafuwe huku akiwabeza wengine hawana uwezo

    Wananchi katika jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro wamemlalamikia mwenyekiti Wanguba Maganda kwa kuonesha mapenzi ya wazi kwa mgombea Saasisha Mafuwe huku akiwabena wengine hawana uwezo
  9. JamiiForums Tanzania Polepole asiendelee kupuuzwa na CCM, nati kichwani mwake zilishafyatuka, atimuliwa kwenye chama haraka

    Huyu Humphrey Polepole ambaye sasa ni mzee wa miaka 55 kuna kitu kwenye akili yake kichwani hakiko sawa. Hata mwonekano wako wa usoni (facial appearance) na mood yake ikilinganishwa na thinking logic capacity ya anayoyaongelea mtu yeyote mwenye werevu wa psychology, psychology and psychiatry...
  10. JamiiForums Tanzania Heche: CHADEMA ni Chama cha Ukombozi, huwezi kukizuia. Ukizuia kwa hujuma unakijengea umaarufu

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche amesema Kesi zinazo wakabili ni Kesi za Kisiasa baada ya kushindwa kudhiti hoja ya 'No Reforms No Election', "Alikamatwa Lissu wakasema ooh! Chama kita-'Paralysis', tukaendeleza Moto ule, sasa ndio wameibuka na hayo mambo. Zuia wasitambue Uongozi, kwamba...
  11. JamiiForums Tanzania Wakili Mashaka Ngole aibwaga ACT Wazalendo Mahakamani, akiwakilisha Chama cha Cuf katika kurudisha jengo la ofisi lililoporwa huko Kilwa.

    THE CIVIC UNITED FRONT(CUF- Chama Cha Wananchi-Cuf CUF- Chama Cha Wananchi imepata ushindi kwenye Kesi iliyofunguliwa na ACT- Wazalendo ya kudai Ofisi ya CUF Wilaya ya Kilwa kwamba ni mali yao waliyopewa na Seleman Bungara (BWEGE). Mahakama jana Julai 30,2025 imetupilia madai hayo (Madai Na...
  12. JamiiForums Tanzania Wassira: Kifupi cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo sio CDM

    Akizungumza katika Kipindi cha Mizani, TBC, mzee Stephen Wasira amesema kuhusu suala la watu wengi kuenguliwa kwa kushindwa kujaza fomu amesema wengi walikuwa wanatumia majina ambayo hayajasajiliwa. Wasira amesema, Chama Cha Mapinduzi wamesajili jina hilo na kifupi chake ambacho ni CCM. Lakini...
  13. JamiiForums Tanzania Kuvunja katiba za chama na nchi kwa kuvuruga utaratibu au kuiba kura ni uhaini na ukuwa unajaribu kuzuia uchaguzi

    Kuzuia uchaguzi ni pamoja na kuiba kura, kutoa rushwa na kuvunja mchakato wa kupatikana wagombea ndani ya chama na kuvunja katiba ya chama. Kuzuia uchaguzi sio kusema unataka mabadiliko au maboresho ya kiuchaguzi bali ni kile kitendo cha wizi, rushwa na uvunjifu wa katiba ya nchi na chama...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua CPA Charles Mhando Njama Kaimu Meneja Mkuu wa Barrick Tanzania, kuwa mmoja wa wagombea wa nafasi ya Ubunge Korogwe

    Jina: Charles Mhando Njama Cheo: Kaimu Meneja Mkuu – Barrick Tanzania Utaaluma: CPA (NBAA), MBA – Mzumbe University Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo: Korogwe Mjini Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua rasmi CPA Charles Mhando Njama, Kaimu Meneja Mkuu wa Barrick Tanzania, kuwa mmoja wa...
  15. JamiiForums Tanzania Viongozi CHADEMA kutoka chama A kwenda chama B si dhambi. Karibuni CHAUMMA!

    Zipo tetesi kutoka kwenye chanzo makini zinazosema viongozi wengi CHADEMA wapo njia panda, na wengi wanamuogopa mwenyekiti wao, kwa kuonekana wamemsaliti Chanzo chetu kinaendelea kudodosa viongozi wengi mpaka wa ngazi za juu wanania thabiti ya kuingia CHAUMMA, lakini kauli na morali zao zao...
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya kuachana rasmi na Yanga SC sasa Mchezaji Clatous Chota Chama huenda Akili zake nzuri zikawa zimemrejea kwa kusema huu Ukweli

    Kiungo nyota wa kimataifa kutoka Zambia, Clatous Chama, amesema kuwa klabu ya Simba SC inapendwa na kuheshimiwa zaidi nchini kwao Zambia ikilinganishwa na Yanga SC. : Chama ambaye ameachana na Yanga, amesema kuwa staili ya mpira ya klabu ya Simba, historia yake barani Afrika, pamoja na uwepo...
  17. JamiiForums Tanzania Mama Samia kwa nini unataka kuharibu taswira ya Chama kitachokuwepo vizazi na vizazi kwa ajili ya Mitano tena?

    CCM ITAKUWEPO MIAKA MINGI IJAYO TAMAA ZA MUDA MFUPI ZISIHARIBU TASWIRA YA CCM kuna hatari CCM ikakosa Heshima na nguvu iliyonayo kwa tamaa za muda mfupi za viongozi waliopewa dhamana wakashindwa kuheshimu desturi na utaratibu ndani ya Chama cha Mapinduzi Ccm inataka kudhoofishwa kwa makusudi...
  18. JamiiForums Tanzania Aucho, Mkude, na Chama kuelekea kuiaga Yanga Je, wanastahili kucheza timu gani kwenye ligi ya NBC?

    Klabu ya Yanga SC iko mbioni kuingia kwenye ukurasa mpya wa kikosi chake baada ya taarifa kuibuka kuwa baadhi ya nyota wake wakongwe na mahiri kama Khalid Aucho, Jonas Mkude, na Clatous Chama huenda wakaondoka mwisho wa msimu huu. Kwa mujibu wa ripoti kutoka vyanzo vya ndani ya klabu pamoja na...
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri: Samia asipogombea CCM itapata hasara kubwa haijawahi kutokea tangu kiundwe

    Chama cha mapinduzi (CCM) kitapata hasara kubwa sana kama Samia hatagombea Urais kwa sababu zifuatazo; 1. CCM imewekeza kwenye matangazo nchi zima kwa takribani miaka minne sasa kumtangaza Samia. Bill Boards kila kona ya nchi zimejaa. Barabara zimejaa matangazo ya Samia. Huu ni uwekezaji mkubwa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Nimejiuzulu ili kuonesha kutofurahishwa na mwenendo wa serikali pamoja na chama

    Humphrey Polepole akifanyiwa mahojiano na Aloyce Nyanda ameeleza kuwa kujiuzulu kwake ni kama njia ya kupinga ama kuonesha kwake kutoridhishwa na mwenendo wa serikali na chama.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…