chama cha mapinduzi

  1. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Chama cha Mapinduzi mkoa wa Mbeya chaandika barua kukemea ukiukwaji wa Kanuni na Maadili ya Uongozi ndani ya chama

  2. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Chama cha Mapinduzi kimetoa orodha ya majina 10 ya awali ya Wagombea, wamo Ole Sabaya, Makonda na Hersi Said

    Chama cha Mapinduzi kimetoa orodha ya majina 10 ya awali ya Wagombea, wamo Ole Sabaya, Tulia Ackson na Hersi Said
  3. JamiiForums Tanzania Katiba Nzuri Sana Huvunja Taifa Polepole: Hadithi ya Afrika Kusini, Onyo kwa Watanzania

    Kuna maradhi ya kimyakimya yanayoshambulia mataifa ya Kiafrika, si kwa mapanga wala risasi, bali kwa nyaraka nzuri zilizopambwa kwa wino wa kimataifa. Maradhi haya si mengine bali ni imani butu kwamba katiba nzuri, yenye maneno matamu ya haki na uhuru, ni tiba ya kila ugonjwa wa taifa. Afrika...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM Mungu hajalala, tukiendelea kuteua waovu anaweza angusha mtungi maji yote yakamwagika

    Amani iwe nanyi Wana Jukwaa , Nitaandika Kwa kifupi ili kila mmoja atoe mtazamo wake. Nchi yetu inaelekea kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais. Tumeshuhudia wafanyakazi wa Serikali ngazi mbalimbali wakiachia nafasi zao wakikimbilia kuomba kupendekezwa na Chama cha...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi ambavyo Nape na Byabato walivyo kidhalilisha Chama cha Mapinduzi Ccm kuwa wanashinda kwa kuiba kura , nitashangaa kama watarudi Bungeni!.

    Kamati kuu ya Ccm wakati wa kuchuja Majina tafuteni watu sahihi na wenye nidhamu . Mnakumbuka Mh Nape pamoja na Mh Byabato walivyojinasibu kuwa wao hata wakishindwa watangangazwa wameshinda. Kauli hii sio tu inaonesha wazi kuwa Tanzania ni nchi ambayo haina demokrasia . Na kuonesha kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 No Reforms, No Election imekuwa ikipigwa vita na CCM kwasababu inahamasisha ususiaji wa uchaguzi

    1. Inatilia shaka uhalali wa uchaguzi Kauli mbiu hii inaashiria kuwa mazingira ya uchaguzi siyo huru wala ya haki bila marekebisho ya kisiasa na kisheria. Hii ni changamoto kubwa kwa CCM ambayo ndiyo chama tawala na huhesabiwa kuwa mratibu mkuu wa mazingira ya kisiasa. 2. Inahamasisha...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Thomas Materi achukua fomu ya kuomba uteuzi kupitia CCM kugombea Udiwani Kata ya Terrat, Simanjiro

    Thomas Materi amejiunga rasmi na mchakato wa kugombea Udiwani Kata ya Terrat kwa kuchukua fomu ya kuomba uteuzi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
  8. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Geofrey Timoth achukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam kupitia CCM

    Wakuu Naona jimbo la Kawe watu wanalichangamkia sana. === Geofrey Timoth amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Timoth amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumapili Juni 29, 2025 na Katibu wa Vijana CCM Wilaya, Amos Richard. Jimbo hilo...
  9. JamiiForums Tanzania Leonard Mahenda Qwihaya a.k.a Manguzo açhukua fomu kugombea ubunge jimbo la Ilemela kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi.

    Mjumbe wa halmashauri kuu Mnec Leonard Mahenda Qwihaya achukua fomu kugombea jimbo la Ilemela. Mama Mabula ajiandae kuachia jimbo.
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM yasitisha mikutano inayowahusisha wajumbe wa vikao vya wachujaji wagombea

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kusitisha mara moja mikutano, semina, ziara na makongamano yote yanayowahusisha wajumbe wa vikao vya uchujaji na uteuzi wa wagombea wa ubunge, uwakilishi na udiwani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, 2025. Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa CCM...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 SINGIDA: Ujio wa COVID-19 waigawa CCM vipande vipande. Baadhi ya makada wasema wasubiri 2030, hii 2025 ni ya wenyewe. Ona hii Video

    Mimi sitii neno lolote https://youtu.be/O7SGS4mwTvg?si=hRC-aL9ZSLlf_sub
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chama Cha mapinduzi CCM kitashinda Uchaguzi Mkuu 2025 Kwa kishindo

    Licha ya upinzani mkubwa wa sera na mipango mikubwa ya Chadema ni wazi CCM ni mshindi mpaka sasa Kwa sababu hawa Chadema wenye wafuasi wengi hawatashiriki uchaguzi. CCM Wana Hela za kutosha hawana tone Kwa tone, Wana vyombo vya ulinzi Wana watumishi wa Umma kama walimu ambao wao Kila kitu...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stephen Wasira: Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakitaahirisha uchaguzi ng'o

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakitaahirisha uchaguzi ng'o kwa sababu kiliomba ridhaa ya kuongoza nchi kwa miaka mitano na kimeongoza vizuri kwa kuleta maendeleo chini ya serikali iliyoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan Hayo yameelezwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara...
  14. JamiiForums Tanzania Dr. Tulia anasema vijana wajitokeze kuyasema mazuri ya serikali; anasahau Baba ukishatoa kafara mtoto mmoja kisa utajiri mazuri yote hufutika.

    Mpo salama! Ukishatafuta utajiri wa kafara, ukamtoa Mke au mtoto mmoja na watu wakajua na watoto waliobakia. Hata uwajengee watoto ghorofa, uwanunulie Range Rover, au ukawasomeshe Marekani. Kamwe hawatakutaja kama Baba Bora, wala hautasifiwa kwa lolote zuri. Hakuna Jambo kubwa kwenye maisha...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa sana tukaendelea na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa muda wote: nini kifanyike?

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kitambue kwamba kama kimeweza kuwamudu Watanzania kwa muda wote, basi ni juu yao sasa kuhakikisha kinatawala taifa imara lenye nguvu—na siyo taifa dhaifu. CCM iweke mazingira na sheria ambazo zitastawisha Tanzania na siyo kuididimiza. Itafika mahali hata cha kuiba...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi zingatieni haya

    Ni muda mzuri kuwasikilizisha wana CCM jambo hili..kwa kifupi kabisa, siasa za Tanzania zimechukua sura mpya ya UHASAMA mara tu Stephen Wassira alivyokuwa Makamu Mwenyekiti CCM Taifa, uhasama ulikuwepo lkn si kwa kiwango hiki kilichopo sasa.. 1. Maisha ya Wassira hayana fundisho lolote zuri...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akipokea taarifa na kisha kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Uwanja

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akipokea taarifa na kisha kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Musoma, mkoani Mara, leo Jumatano tarehe 23 Aprili 2025.
  18. JamiiForums Tanzania Chama Cha Mapinduzi (CCM) inawatakia Watanzania wote hususani waumini wa dini ya kikristo Ijumaa Kuu njema

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) inawatakia Watanzania wote hususani waumini wa dini ya kikristo Ijumaa Kuu njema. #𝙆𝙖𝙯𝙞𝙉𝙖𝙐𝙩𝙪𝙏𝙪𝙣𝙖𝙨𝙤𝙣𝙜𝙖𝙈𝙗𝙚𝙡𝙚
  19. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), ambaye ni Waziri Mkuu wa Tanzania, na Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mwansasu (Mb), Spika wa Bunge la Tanzania, pia Rais...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waitara: Vijana wanaotafuta ajira wajue ajira zinatengenezwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara amesema kwa vijana wanaotafuta ajira, ajira zinatengenezwa na Chama cha Mapinduzi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…