Inasikitisha sana kuona nchi inayofuata utawala wa kidemokrasia inakumbwa na mambo yasiyofuata sheria, taratibu, na kanuni kila inapofika wakati wa uchaguzi. Wagombea wengi kutoka vyama vya upinzani wameenguliwa kwa sababu zisizo za msingi, kama vile herufi moja kwenye jina kukosekana, fomu...