chaguo la mungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Padri Wigira: Wengine wanapata uongozi kwa Dhuluma, Rushwa, wewe uliyeingia kwa njia hizo sio chaguo la Mungu

    Kiongozi anatakiwa kuwa Chaguo la Mungu, Wengine wanapata uongozi kwa Dhuruma, Rushwa, wewe uliyeingia kwa njia hizo sio chaguo la Mungu, na Mungu anakukataa kama alivyomkataa sauli. Padre Denis Wigira ameyasema hayo katika Adhimisho la Misa ya Jioni Jumanne 20/1/2026 ikiwa sasa Kanisa lipo...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Pamoja na unyang'anyi wote viongozi wa dini zenu watajazana kumsimika, mtaambiwa chaguo la Mungu

    Wale wenye dini zenu mtaashuhudia viongozi wenu wa dini au wengine mnawaita wa kiroho watakavyojazana kwenye uapisho wake kumuombea na kuwaaminisha kwamba yeye ni chaguo au mpango wa mango pamoja na yote tuliyoshuhudia kwa macho yetu na tuliyopitia kama nchi huku Ulimwengu mzima nao ukishuhudia...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Wadau Unabii sahihi ni kuwa Samia ni chaguo la Mungu na ataongoza Tanzania salama kabisa hadi 2030 Unabii tofauti ni Shiriki

    Huo ndiyo Unabii sahihi wa kiroho na lazima ukamilike
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Halikuwa chaguo la Mungu wala utabiri, bali kusudi la CCM 2015 kuchanganyikiwa na kusimamisha Makamu wa Rais na Rais sababu hizi hapa

    Wenye kuelewa ndio mtaweza kuelewa hili jambo. Mnakumbuka ndani ya chama cha CCM kulikuwa na upinzani mkali sana na kila mwenye nguvu alitaka kusimamisha mtu wake anayeweza kumfanya remote. Jambo lilotokea CCM kuweka makamo wa raisi mwanamke baada ya kuona kuna mgombea mwanamke raisi kupitia...
  5. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Prophet Denis: Tundu Lissu ni chaguo la Mungu, akiwa Rais atalifanyia makubwa Taifa la Tanzania

    Msikilize mwenyewe hapa chini.... https://youtu.be/Isx1OohuSwE?si=yDdIPiWbPnwjTXpg
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Donald Trump anatangaza Vita Rasmi dhidi ya LGBTQI+

    Ndugu zangu, Sauti ya Kimamlaka anayotumia Donald Trump, ni lazima ukubaliane namimi kua, Mungu aliyanusuru Maisha yake Kwa Kazi maalumu. Jamaa hata hajaapishwa, lakini tayari kaanza Kazi mara Moja. Wale mashoga na mnaounga mkono Ushoga, na shughuli zoooooote za upuuzi wa aina hiyo ikiwemo...
  7. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Marekani 2024: Donald Trump ndiye chaguo la Mungu

    Kama wapinzani wake wangekuwa wanamwamini Mungu, wangeachana na mpango wao wa hila wa kutafuta kumkwamisha Trump kushinda kiti cha Urais mwezi Novemba mwaka huu, 2024. Hawatafanikiwa katika hilo asilani! Kwa mujibu wa "Wachungaji" mbalimbali wenye kipawa cha kuuona ulimwengu wa roho, Donald...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ni chaguo la Mungu

    RAIS SAMIA SULUHU NI CHAGUO LA MUNGU. NB: Kama utaumia kwa andiko hili, pole ni advance. Ndio, Rais Samia Suluuh ni chaguo la Mungu. Mungu huwa akikuchagua hutumii nguvu kwenye kufanikisha mambo yako, waumini wa dini zote watakubaliana na mimi kwenye hili, watu wa Mungu kuna namna Mungu...
Back
Top Bottom