chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Chukulia Chadema ingechukua nchi 2015. Alafu hii G55 na Covid19 ndio IPO kwenye safu ya viongozi

    Habari za jumapili! Hawa wanaoitwa Njaa55 tukirudi nyuma kidogo kama mwaka 2015 wote wangekuwa sehemu ya Safu ya viongozi wa taifa hili. Hawa COVID-19 ambao yadaiwa wameingia bungeni kimagumashi nao ndio wangekuwa viongozi wa nchi yeti. Wanaitwa Wasaliti. Wanaitwa Njaa55 Kali kama ya mtoto...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi Mnadhani CCM iliingia madarakani kwa kusonyana na kusuta a Kama wafanyavyo CHADEMA?

    Kila siku wakiamka ni mwendo wa kunyosheana vidole... Huyu kanunuliwa, yule katumwa, huyu mamruki, Yale namna GANI huyu namna Ile. Hivi watu emwa hii Tanzania wanadhani kuchukua nchi ni lelemama Sana ??? WanaCHADEMA wanaodhani upinzani unaposhinda pale Kenya, south, Zambia na nchi zingine...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA ikitoboa hata nusu ya malengo yake ambayo hayapo bayana hadi sasa mimi binafsi nitahamia Congo

    Juzi tarehe 7. Nikienda kujiandikisha kupiga kura ..... Ile nyomi nimejikuta pale Hadi nakauliza kwa sauti, nikasema "" wazee ivi uchaguzi si tumesema haupo mwaka huu ??? Mbna mmekuja kwa hasira Sana kujiandikisha Sasa ?? Bas wadau wakanijib kuwa ni CHADEMA Ndiyo haitashiriki Ila sisi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 "Anayejiita CHADEMA asiyeamini kwenye "no reforms no elections" huyo si mwenzetu!" Miluzi mingi ya nini?

    Haipo haja ya kumung'unya maneno wandugu, wala kuendelea kulea pimbi. Imesikika miluzi mingi mara oooh: Mbowe apewe heshima yake anayostahili!! Mara oooh: Pre GE2025 - DSM - Ujumbe wa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani Boniface Jacob kwa G-55 na Wanachadema Kwani nani ana taabu na mwamba, Boni...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kikao cha watia nia CHADEMA Ikungi-Singida chavunjika, vurugu zarindima

    Kikao cha watia nia CHADEMA kimevunjika baada ya mmoja wao kunaswa akirekodi kwa siri. Vurugu zikaibuka, wajumbe wakarushiana viti na kushambuliana, hali iliyosababisha damu kumwagika. Taarifa zisizo rasmi zinadai kuwa mtu mmoja amepoteza maisha. Ikungi singida.
  6. JamiiForums Tanzania Je, maradhi ya kisiasa yanayoikabili CHADEMA kwasasa yanafanana na yale yaliyo idhoofisha na kuidumaza

    Ukitathimini kwa kina kuhusu hali ya kisiasa inayopitia na kuikumba chadema kwa sasa, utagundua kuna aina ya maradhi ya kisiasa inagua na kwa hivyo, kuna uwezekano mkubwa sana ikadhoofika mno hatimae kudumaa kama ilivyokua baadhi ya vyama vya siasa nchini vilivyowahi kua na nguvu sana humu...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ogopa Teknolojia na Mungu! Sasa ni rasmi G55 wametumwa kuifumuafumua CHADEMA mpaka isambaratike

    Wakuu, Kama Ruge alivyosema aogopa sana Teknolojia na Mungu vinginevyo utaumbuka pabaya. Kwenye press yao akina Mrema tukaowana wachawi, Mungu na Teknolojia ikawavua watu nguo:KEKWlaugh::KEKWlaugh::KEKLaugh:. Kwenye hiko kipande hapo Salum Mwalim akathibitishia umma kuwa wao ni mpango maalum...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Emma Kimambo: Lema amesababishia maumivu watu wengi, amehusika kufukuza wanachama wenzetu

    Aliyekuwa Mweka Hazina wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini Emma Kimambo amemshukia Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Godbless Lema akidai kuwa amesababisha maumivu ya kisiasa kwa watu wengi wa Arusha na Kanda ya Kaskazini kwa ujumla wake, hatua iliyopelekea baadhi...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Ndo kusema hawa wanaohama CHADEMA wenyewe hawataki kabisa kusikia kitu kinaitwa "uchaguzi huru, wa haki na kuheshimu kura?" Au kuna kitu nyuma yake?

    Chadema chini ya Lisu wanatete maskini na kura zao kuheshimiwa pindi wanapopiga kura na mshindi aliyeshinda ndo atangazwe tofauti na sasa ambapo kura huwa zunapinduliwa aliyeshindwa na anatangazwa mshindi mfano Nape, gwajima, majaliwa nk walitangazwa bila kushinda Kwahiyo hao wanaohama wanataka...
  10. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kumtafuta Mdude kwenye nyumba za Polisi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kitamtafuta kada wake, Mdude Mpaluka Nyagali aliyetoweka tangu usiku wa kuamkia Mei 2, 2025 mkoani Mbeya. Chadema pia wamempa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Camillus Wambura saa 72 kuzungumza na Taifa kuhusu matukio ya utekaji na watu...
  11. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini makundi mbalimbali ya kijamii hawana habari na chadema

    Sote ni mashahidi kwamba makundi mballimbali ya kizalendo nchini yanaibuka na kuunga mkono azma na dhamira njema ya Dr Samia Suluhu Hassan kugombea uraisi wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuendelea kuongoza nchi yetu kwa weledi zaidi. Ni lini sasa, makundi...
  12. JamiiForums Tanzania Fuatilia tamko la Chadema kuhusiana sakata la kutoweka kwa Mdude.

    https://www.youtube.com/live/VgfrnQzSB6Q?si=PkShkHRTujMxAade
  13. JamiiForums Tanzania Uongozi mpya wa CHADEMA utawadanganya vipi wananchi kwamba bado haijafa hali ya kua ni wazi haina sifa wala vigezo vya kisheria kushiriki chaguzi?

    Ni wazi wanachadema wengi mno watajiengua Chadema na kujiunga na vyama vingine vya kisiasa nchini kwakua Chadema haina tena sifa za kua chama cha siasa kinachoweza kuvutia wanachama zaidi, kwani kimejikita zaidi kuomba kuchangiwa pesa za matumizi ya viongozi na kujiondoa kabisa kwenye michakato...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Spika Dkt. Tulia: Huwezi kusema mtu katekwa kama hukuona

    Majibu fikirishi kutoka kwa Mh Tulia Ackson kuhusiana na kupotea kwa Mh Mdude Nyangal, mwanachama wa CHADEMA Spika na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Tulia Ackson akifafanua hoja ya Bunge kutotoa maelekezo kuhusu uwepo wa matukio ya Watu kudaiwa kutekwa na wengine kupotea Nchini, amesema hiyo...
  15. JamiiForums Tanzania Kuwa mwana CHADEMA, siyo ndoa, kila mmoja anahaki, utashi na maamuzi binafsi!

    Tunashuhudia baadhi ya viongozi wa Chadema wameanza kuhaha Huku na kule, wengine kumpigia simu mwenyekiti mstaafu kumuuliza, uelekeo wake kisiasa, huku ajenda kuu ya Chama kwa sasa ikiamia katika kujitetea na kukaza moyo, ya kwamba waliwaita kwenye vikao bagamoyo lakini walijibiwa ngoja tumzike...
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA siyo ya kubezwa ni Chama kikubwa na kikongwe sana Tanzania, Kilizaliwa Mwaka 1993 wakati huo CCM ikiwa na Miaka 17 tu

    GT. Kuna watu.wanakichukulia hiki chama masihara hao watu mi nawaita ni vipofu na hakuna wajualo. Hata huko CCM hawalali wanaposikia No Reform No election wanaijua nguvu ya Chadema. Mkakati wa CCM kinunua wapinzani utabuma mwaka huu, hii ni kutokana na Chadema kuendelea kuwa imara pamoja na...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: Waliojivua unachama wa CHADEMA, tuliwaita ila wakasema tuwaache wapumzike

    "Uongozi mpya ulipoingia kabla ya kuanza tukasema tujifungie Bagamoyo na tuliamua kabla viongozi wapya hatujaanza tukae kwanza na viongozi waliokuwepo madarakani wa kitaifa, na kabla ya viongozi waliokuwa madarakani wa kitaifa, Mwenyekiti aliyekuwepo, Makamu wenyeviti waliokuwepo kabla ya hatua...
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA, ukomavu wa kisiasa ni pamoja na kuyakubali mazuri ya CCM

    Moja ya hoja ambayo hivi karibuni CHADEMA wamekuwa wakiitumia kama kete muhimu kujitofautisha na CCM ni uwazi waliokuwanao nao katika uchaguzi mkuu wao. Uwazi wa kiwango kile hata mm ningelipenda kuuona kwenye chaguzi zote za nchi yetu. Ni imani yangu, kwamba kama chaguzi zetu zingekuwa na uwazi...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Salum Mwalimu: Milango ya Maridhiano na CHADEMA ipo wazi

    Aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zanzibar Salum Mwalimu amesema milango ya maridhiano na uongozi wa chama chake hicho cha zamani iko wazi endapo utakuwa na utayari. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 No Reforms No Election yaingia Chato Mkoani Geita, Wananchi Wakesha kuisubiri

    Hii ndio Taarifa ya Dharula iliyotufikia hivi Punde, kwamba baada ya Matangazo kutolewa kwamba Chadema itakuwa na Mafundisho kwa Raia kuhusu Neema ya No Reforms No Election hapo Chato, Raia Wamelipuka kwa shangwe. Wengi wameahidi kukesha kusubiri Mtanange wa Chadema.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…