Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
02 April 2024
https://m.youtube.com/watch?v=Eib1-kDDAlQ
Wahoji mantiki ya Profesa Kitila Mkumbo kuondoa fedha ktk mzunguko wa fedha ili kupunguza mfumuko wa bei, wakati bei ya bidhaa zinaongezeka kutokana na upungufu wa bidhaa siyo serikali inavyofikiri watu wanapesa nyingi mifukoni ndiyo...
Binafsi ningependa Paul Makonda apewe huu Mkoa wa Dar.
Ila kwa kuwa Mwenyekiti wetu wa Chama ameona kimkakati Paul Makonda akaivunjilie mbali Chadema na kuizika kabisa, tunaunga mkono uteuzi huu. Hata kama hakuna upinzani wowote nchini. Wapinzani wote wamepoteana. Siasa za rais SSH siyo za nchi...
Salaam, shalom,
Mheshimiwa Mnyika amewahi kuhojiwa na kusema kuwa, Mh Mbowe ndiye aliyeshauri RANGI nyekundu iongezwe katika RANGI za Bendera ya CHADEMA, kwamba RANGI nyekundu inaashiria Upendo.
Mara kadhaa, viongozi wa CHADEMA wamewahi kunukuliwa wakidai, RANGI nyekundu katika bendera Yao, ni...
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani.
Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara? Ni watu baki au ni watu wasio na haki ya kukaa Zanzibar? Maana hapo ni ubaguzi wa wazi, kupanda mbegu...
Tulielezwa Chadema ina wanachama takribani milioni nane (8) ila Idadi ya wapiga kura chaguzi za ndani Chadema haifiki hata watu mia moja (100+) ipo chini ya watu 60 yaani kila Mkoa zilipofanyika chaguzi kuchagua mwenyekiti kama hajapita bila kupingwa utakuta Mwenyekiti mkoa amechaguliwa kwa...
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe anayemaliza muda wake , Kamanda kabisa Rose Mayemba , ambaye ametajwa kuinyoosha ccm katika uongozi wake Mkoani humo , huku akiisambaza Chadema hadi kwenye maeneo ambayo awali yaliamini kwamba CCM ni dini , ameomba tena nafasi ya uenyekiti wa Chadema Mkoani...
25 March 2024
Muheza, Tanga
Bi Yosefa Komba wa CHADEMA jimbo la Muheza azungumza mazito ktk mkutano mkubwa
CHADEMA YAONGEA KUPITIA MKUTANO NA WANANCHI WA MUHEZA
Kamanda Yosefa Komba aitisha mkutano kuzungumza na wananchi wanaokabiliwa na changamoto nyingi ambazo hazifuatiliwi na mkurugezi...
Hakika nimeukumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu 2019 na 2020 jinsi Rais magyfuli, CCM tume ya uchaguzi na vyombo vya ulinzi na usalama vilivyo uvuruga uchaguzi ule mpaka wahusani wetu wa nje wakakata misaada na mikopo kutokana na uchaguzi kuwa wa vurugu na mateso makubwa kwa...
Kwa kifupi yamedoda, hayana mvuto na CHADEMA wamejifikishia ujumbe mkubwa wananchi hawadanganyiki. Yako wapi yale maandamano tuliyoaminishwa na kudanganywa eti yanatumika kufikisha ujumbe kwa wananchi kwa kufanyika miji tofauti.
Hivi, wanaona wananchi ni wajinga hawawezi kupata huo ujumbe...
Rais wa Chama cha Walimu Mstaafu ndg Gration Mukoba amechaguliwa kuwa mwenyejkiti wa chadema mkoa wa Kagera ambapo amepata kura za ndiyo 58 na 5 za hapana.
Msimaizi wa uchaguzi ni John Mrema na Wenje
unaweza kutazama utangazaji wa matokeo hapa chini katika matngazo ambayo ni live
Wanabodi
Kupitia kipindi changu kipya cha KMT, kinachorushwa hewani na kituo cha Television cha Channel Ten, kila siku za Jumapili saa 3:00 usiku na marudio siku za Jumatano Saa 9:30 alasiri, Katibu Mkuu wa Chadema, JJ. Mnyika, ameunguruma na amezungumza mengi.
Kwa wale ambao bundle sio...
Taarifa ya dharula ya Chadema iliyosambazwa mitandaoni inaeleza kwamba , Mwenyekiti wa Chama hicho amelazimika kukatisha ziara ya kichama ili kuwahi mazishi ya Bilionea mwenzake Sabodo
Sabodo aliyefariki Alfajiri ya kuamka leo atazikwa leo saa 4 usiku kwenye Makaburi ya Kisutu
INNALILLAH...
Ni miaka zaidi ya 20 Mbowe na wenzie wa Chadema wamekuwa wakipokea pesa za mishahara ya ubunge na posho za vikao.
Wakati Mbowe na wenzie wanatoka bungeni walikuwa wanapokea mil 13 na posho za vikao juu.
Leo Mbowe anashangaa wabunge wanapewa pesa nyingi wakati watumishi wa umma wanalipwa...
Niseme tu ukweli toka amefariki Rais Magufuli nchi imepoa kisiasa hakuna hoja kabisa.
Chadema chini ya Mbowe chama kimejifia kabisa. Hakuna sera wala mikakati ya kuwasaidia Watanzania nao wengi wao mamegeuka kama mafisadi ya nchi hii.
Wamewekeza kwenye biashara wanavuna Mbowe anaomba misamaha...
Kuna chaguzi ndogo zilizofanyika katika maeneo mbalimbali nchini, na Chadema waliamua kutoshiriki, ACT wao wakafanya maamuzi yao kama chama huru cha siasa kushiriki, ACT wamelalamika na kusema kuna ukiukwaji mkubwa wa taratibu za uchaguzi zimefanyiwa kwenye chaguzi hizo.
Maajabu ni kuwa...
Kama CHADEMA mmeamua kushiriki chaguzi zijazo, 2024/25, mjue for sure yale yale yaliyotokea 2020 yatatokea tena maana jana yametokea Ujiji Kigoma kwa ACT Wazalendo (ingawa ACT ni tawi la CCM ie (CCM vs ccm) kwa kukamata kura za wizi na polisi kuwakingia kifua CCM kwa kuwakamata viongozi wa...
Na. M. M. Mwanakijiji
Kwa wanaokumbuka na wale wasiokumbuka ni kuwa mimi ni mpinzani wa madai ya Katiba Mpya. Sijaona bado na sijashawishika kabisa kutambua mchakato wowote halali wa uandikaji wa Katiba Mpya. Nilitakaa na kupinga mchakato haramu ulioanzishwa na Rais Kikwete wa kuivunja Katiba...