Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
CHADEMA iko dhaifu kama ilivyo, na inaendelea kudhoofika, kumong'onyoka na kugawanyika vipande vipande kwa haraka sana, kwa sababu ya manguli hawa wawili waandamizi, kila moja anajigamba kwamba ndie mwenye nguvu zaidi ya mwingine, ama ndie mwenye sauti.
Haki ya nafasi au cheo fulani, ushawishi...
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), inakutana Jijini D'salaam tarehe 8-9 Agosti, 2024
Ikumbukwe kwamba Hiki ndio Chama kinachotoa dira ya Taifa na miongozo mbali mbali inayofuatwa na Wananchi.
Taarifa yao kwa Umma hii hapa
======
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe leo 05/08/2024 Amehudhuria ibada ya kuaga mwili wa Mama Theresia, ambaye ni Mama Mzazi wa Halima Mdee, aliyewahi kuwa mbunge wa Chadema kabla ya kuvuliwa uanachama kwa makosa ya Aibu ya Usaliti. Kwa sasa Halima Mdee hana chama ila ni Mbunge wa viti maalum...
Kanda zote za Chadema zimeshafanya chaguzi za Viongozi wake isipokuwa Kanda ya Kaskazini pekee
Mwenyekiti wa sasa wa Kanda ya Kaskazini ni mh God bless Lema lakini muda wake wa kikatiba umekwisha
Ni hilo tu 🐼
Pia soma
- Kuelekea 2025 - Godbless Lema ajitoa kwenye mbio za kugombea Uenyekiti...
Salaam wanajukwaa,
Kwa muda mrefu jukwaa letu la JF limekua ni sehemu adhimu ya kupashana habari nyeti... mijadala Murua ya kina yenye kuleta tija kwa nchi yetu pamoja na kuwa huru kujadili mambo mazito pasipo woga wala ajizi.
Kwa muda mrefu sana CCM ikianzia kipindi cha JK hadi kufikia kwa...
Agosti 5, 2024 - Mwanaharakati Deusdedith Soka, akizungumza kwa niaba ya vijana wa CHADEMA, ameeleza changamoto mbalimbali zinazowakabili vijana nchini Tanzania. Katika mkutano na waandishi wa habari, Soka ameonesha wasiwasi kuhusu ukosefu wa ajira kwa vijana, akisema kwamba licha ya vijana...
Uwanja wa Mkapa kwa muda mrefu Sana umekuwa ni kama jukwaa la CCM la kufanyia siasa zake wakati wa mechi za Mpira wa miguu.
Imekuwa ni kawaida Kwa Wana CCM kuingia uwanjani hapo na mabango ya chama Chao au hata wakati mwingine wakiwa wamevaa sare za chama Chao.
Hayo yote yakiendelea huku TFF...
CHADEMA wapo kuvunja vunja hoja, umoja na Malengo ya upinzani.
Wao ni kuponda, kukebei, na kutukana kila anayeshindwa kufanya jambo kama wao wanavyotaka au aliyekosea.
1. CHADEMA wao Wote walifurushwa bungeni kwa nguvu ya dola je nani aliwabeza hahaha.
2. Wabunge wenu Akina mdee mpaka leo...
Mwanasiasa yoyote aliyejenga jina lake Kisiasa akiwa Chama cha upinzani hawezi kung'aa akihamia CCM.
Mifano ni mingi akina Julius Mtatiro, Nassari, Lijualikali.
Ndio Sababu unawaona akina Dr Slaa, Zitto Kabwe,James Mbatia, Lwakatare nk wameamua kubakia Upinzani japo kwa namna moja au nyingine...
Tunaomba wahojiwe viongozi wa Chadema kwa haya yafuatayo.
1. Kwanini wanakumbatia wanachama wao ambao tabia na matendo yao ni kero kwa jamii mfano wa akina Mdude, Maria sarungi nk
2. Kwanini hawawakanyi wanachama wao pale wanapotukana viongozi waziwazi huku wakiwa na logo za CHADEMA kwenye...
Kama unaweza kujichotea mabil ya pesa na hakuna mtu wa kuhoji. Kwa nini usiwe mwenyekiti wa kudumu maisha?
Hata kama utatambua kuwa kupata hata madiwani na wabunge ni ngumu maaana wananchi walishapuuza chama unachokimiliki kama kuku wa kufuga wa mayai.
Unakuwa na kundi dogo kama la akina...
boniface mwabukusi
chadema
hongera
matokeo urais tls
mwabukusi ashinda urais tls
mwambukusi
tangayika law society
uchaguzi tls
uchaguzi wa rais tls
uchaguzi wa tls
Huu ushindi utarejesha imani kwa wananchi kuwa CHADEMA sio Saccos?
Kwamba Mwabukusi atasaidia kufuta upigaji wa Mbowe wa michango ya Wabunge na wanachama alizokwapua (Shahidi ni Msigwa)
Kwamba Lissu atashinda 2025?
Naona Shangwe kibao kwa makada CHADEMA kila kona ya Tanzania.
Soma=>...
UPDATES:
Kama ilivyotarajiwa na wengi, Adv. Boniface Mwabukusi akiwakilisha young lawyers maarufu kama GEN Z - CHADEMA ameshinda kwa kishindo kikuu na kuwa Rais wa TLS kwa miaka mitatu 2024 - 2026 kwa kuwapiga kipigo cha mbwa mwizi wazee wa mfumo corrupt yaani CCM ESTABLISHMENT
Juhudi kubwa...
Sasa imekuwa Kama desturi kwa viongozi wakuu wa CHADEMA kuchangisha watu pesa na kutokomea nazo kusiko julikana mpaka Sasa; Ni Kama Wanatembelea chama kufanya Mambo yao mfano;
1. Hela za join the chain hazijulikani zilipo hii ilikuwa chini ya mwenyekiti wa chadema Taifa.
2. Hela za Lissu nazo...
Sasa Ndio Chadema wamegundua uRais ni Taasisi tofauti kabisa na Nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Siasa kama alivyo mh Mbowe hapo Chadema HQ Mikocheni
Mpendwa Wetu Mh Rais Samia ameamua kumuenzi Shujaa Magufuli kwa kuipa Stesheni Kuu ya Treni ya SGR Jina la " Magufuli "
Hii ni Heshima kubwa...
Kwa Mbungi linaloendelea ndani ya CCM sijui kama hakutakua na kumalizana Juu kwa Juu inaonekana huku ambako ni makazi mapya ya Bwana Msigwa kunawaka moto kuliko Kule alikotoka bwana msigwa.
Hali ya kugawanyika ni kubwa mno na kwa kuangalia Upepo wao hawa jamaa wa kijani wanaweza hata kuanza...