chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Unawezaje kutofautisha Mfumo na Utashi wa mtu?

    Mfumo ni muundo unaotumika kutofautisha, kutekeleza au kuonesha majukumu ya kikazi au majukumu, mfumo ni Mchakato wa Mda mrefu ambao huendesha taasisi fulani ni kwamba bila ya Mfumo hakuna Taasisi. Mtu hua ni mtumwa/zao/kiungo katika mfumo hivyo mfumo unamuhitaji mtu ili kujiendeleza kuwepo kwa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Sugu atofautishe kukamatwa na kutekwa, kwenye zuio la maandano ya BAVICHA alikamatwa sio kutekwa!

    Amesema Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi aka Sugu kuwa alitekwa na Polisi na kutelekezwa jijini DSM ambako siyo nyumbani kwake tena bila kutibiwa Pia soma...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia ampandisha cheo ACP Awadhi Juma Haji kuwa Kamishina wa Polisi Zanzibar

    Rais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar. Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili. Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!
  4. R

    JamiiForums Tanzania Lissu, kuondoka Msigwa is not an issue, the issue should be “Is CHADEMA crumbling due to his defection”?

    Issue ni Je kuondoka kwa Msigwa, Chadema imeteteleka? Is Chadema crubmling due Msigwas's cross over the floor/defecting to CCM? haya ndiyo maswali ya Msingi. Watu wa maana ni wengi lakini kuna mtu akiondoka mnatikisika. Msigwa alikuwa wa maana, sawa lakini umaana wake ni kwa kiwango cha kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Kuondoka kwa Msigwa CHADEMA ni pigo sana kwangu na tumepoteza mtu muhimu sana

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ametoa ya moyoni baada ya kuondoka kwa Mchugaji Peter Msigwa ndani ya chama hicho na kuelekea CCM akisema ni pigo sana kwake na CHADEMA. Amesema Msigwa alikuwa mtu muhimu sana na nguvu ndani ya CHADEMA" mfano tu ameishinda mara 2 nafasi ya Ubunge na...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Abdul (mtoto wa Rais Samia) alitaka tukutane kwenye hoteli moja Masaki anihonge, nikamwambia njoo kwangu

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akizungumza kwenye kipindi cha Medani za Siasa, Star TV, leo Agosti 17, 2024, amesema Mtoto wa Rais Samia aliyemtaja kwa jina la Abdul alitaka kumhonga pesa Novemba 2023. Tundu Lissu amesema Abdul hakutaja kiwango cha pesa, na alitaka aende usiku kwenye...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ni mzee Mwinyi pekee ambaye hakuwanyanyasa Wapinzani/ Wananchi kwa kutumia Mapolisi katika Utawala wake

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lisu amesema Chanzo Cha Marais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kutumia Mapolisi kuwanyanyasa Wapinzani wao alikuwa ni Mwalimu Nyerere. Lisu anasema ni Rais Mwinyi pekee ambaye hakuwanyanyasa Wapinzani au Wananchi kwa kutumia Mapolisi Source: Star tv My...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza Aibuka Sakata la CHADEMA na Polisi Mbeya

    ASKOFU AMEONGEA MAMBO MAZITO SANA, MSIKILIZE https://www.youtube.com/watch?v=GTiX8kpt13U POINTS TAKEN FROM THE CLIP: 1. Walitumwa au walijituma na hao wanaotamani kubaki na chama kimoja, naona Zanzibar wanaota kuwa na chama kimoja 2. Kuna Uchawa 3. Tubadilishe mind set 4. Wanaipa chadema...
  9. 4

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania wenzangu tujindikishe kwa wingi kupiga kura chadema itaenda waletea chuma

    Mungu wangu mwema siku zote , na amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake ,imekua Wakuu andiko langu litakua fupi sana. Uchaguzi wa 2025 kama ukifanyika (,zingatia kama ukifanyika ) ni uchaguzi kati wapenda nchi yao kwa maslahi mapana ya sasa na vizazi vyao vijavyo vs machawa...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kiona Mbali: Lissu anaihitaji CHADEMA, CHADEMA haimuhitaji Lissu

    Kama alivyosema Mwanafalsafa Prof. PLO LUMUMBA kwamba Mnenguaji mzuri lazima ajue ni wakati gani wa kushuka kwenye Jukwaa ("A good Dancer must know when to leave a stage") imekuwa tofauti kwa Mwanasiasa Tundu Lissu ndani ya CHADEMA. Akihojiwa na moja ya Chombo cha Habari hivi Karibuni, TUNDU...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Njia nyeupe kwa Ezekia Wenje makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa

    ikiwa hali ya kisiasa nchini na mipango mikakati kuelekea uchaguzi mkuu 2025 itakwenda kama ambavyo iko hivi sasa, basi ni dhahiri mgombea makamu Mwenyekiti Chadema taifa atabaki Ezekia Wenje pekee.. Je, ni ishara ya pumzi mpya, fikra mpya, mawazo mapya, harakati mpya na zama za hayati Chacha...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA ni Wakati wa Kwenda na Lissu. Msisite, nina sababu…

    Kuna wanaosema Mbowe ndo awe mgombea Kwakuwa Lissu aligombea wakati uliopita Ila wakumbuke Mbowe aligombea 2005. Hata hivyo Tundu Lissu bado relevance yake ipo na anao mvuto ambao ni wa kipekee kwa sasa. Ni mzuri sana kwenye kuvuta attention ya watu kumsikiliza anapokuwa anaongea na hugusa...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu athibitisha kuandika barua ya kugombea Urais, asema CCM wameweka fedha katika Akaunti yake, tatizo liko wapi?

    LISSU: NIMEANDIKA BARUA YA KUTIA NIA KUWANIA URAIS WA NCHI KUPITIA CHADEMA Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema ameshaandika barua ya kutia nia ya kuwania nafasi ya Mkamu wa Rais wa CHADEMA nafasi anayoishikilia kwa sasa pamoja na nia ya kuwania Urais wa Tanzania kupitia chama...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA mtashiriki uchaguzi kwa tume Ile Ile?

    1. Nitashangaa ikiwa CHADEMA itashiriki Kwenye uchaguzi Mkuu 2025 kwa tume Ile Ile wanayoipinga. 2. Mkishinda (kiti kimoja cha ubunge wa Jimbo) mnaanza drama tena. Miaka mitano inapita kwa maandamano. Ila Mwenyekiti Yule Yule. NB: Kwann msitafute shughuli nyingine?
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: CHADEMA tumekamatwa sana tangu enzi za Mkapa, hajawahi tokea kiongozi wa CCM kusema tuachiwe

    "....Viongozi na wanachama wa CHADEMA, tumekamatwa sana toka enzi za Mkapa, Kikwete na Magufuli na haikuwahi kutokea kiongozi wa CCM kusema hadharani tuachiwe mara zote walikuwa wanashindilia zaidi kwamba sheria ichukue mkondo wake.” Lissu akihojiwa Crown na Kikeke. Maoni yangu: Haya kina...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA ni chama gani kinakubalika na kuaminika zaidi kwa wananchi Tanzania kwa sasa?

    Tunapoelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji, ni chama gani kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA, unadhani kinaweza kuibuka kidedea kwenye mitaa na vijiji vingi zaidi ya kingine hiyo November 27.2024? Na je, hicho kinaweza kutumika kama kipimo cha kukubalika kwao kisiasa na wastani...
  17. JamiiForums Tanzania Geita: Upendo Peneza akaripiwa na viongozi adharani, ni baada ya kutamka Chadema badala ya CCM wakati akihutubia

    Huyu dada kama ilivyo msigwa,wako CCM kimaslahi ila kiroho na kimwili wako Chadema. Akihutubua mkutano wa adhara mbele ya katibu mkuu wa CCM Emanuel Nchimbi na katibu wa itikadi na uenezi Amos makala,,Upendo peneza alijinasibu kuwa yeye ni chadema baadae akafuta kauli. Baada ya mkutano kuisha...
  18. JamiiForums Tanzania Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania akutana na Joseph Mbilinyi ili kumpa pole kwa kipigo cha Polisi jijini Mbeya

    Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo, Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, amefika Mahali alipojihifadhi Bwana Joseph Mbilinyi, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa ili kumpa pole na kumjulia hali kutokana na kipigo cha kutisha alichopewa na Polisi walioelekezwa kufanya hivyo na Awadh Haji...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo siyo mchango. Tatizo ni maneno ya uchonganishi yaliyotangulizwa

    Mheshimiwa Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antipas Lissu naomba unisikilize Kwa makini! Hoja na kitendo cha Katibu Mwenezi na Msigwa kuendeshea harambee kukuchangia ni cha kinafiki. Mchango ambao kwanza umetolewa baada ya tukio la Mbeya, pia umetangulizwa Kwa maneno ya kumponda Mwenyekiti...
  20. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnaelewa maana ya " Operesheni"? Afande Awadh alikuwa kwenye Operesheni ya kuzuia mkusanyiko wa CHADEMA pale hakunaga kubembelezana

    Kwa bahati nzuri sana viongozi Wakuu wa CHADEMA Mbowe na Tundu Lissu wote wamepitia mafunzo mbalimbali ya Ulinzi na Usalama ikiwemo JKT Mnyika, Sugu, Lema, Heche ni wakusamehewa tu maana hata Mgambo hawajapita Jeshi likikuzuia kufanya jambo fulani halafu wewe ukang'ang'ania kulifanya maana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…