chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. L

    JamiiForums Tanzania Baada ya Maandamano ya CHADEMA Kushindikana,Maria Sarungi Aanza Kutumika na kutumikishwa kupika Uzushi na uongo usio na Ushahidi Kuchafua watu.

    Ndugu zangu Watanzania, Ikumbukwe ya kuwa huyu Mama Maria Sarungi kazi yake kubwa ni kutumika,kutumikishwa , kutumiwa kwa njia zote chafu na mbaya kupika Majungu,umbea,uzushi,uongo,ufitini na uchonganishi.Maisha yake yanategemea atumikishwe kama mtumwa na watu wenye ajenda zao za siri kuchafua...
  2. JamiiForums Tanzania RC Chalamila avunja ukimya Matukio ya Utekaji, Mauaji ya Watu na Maandamano Dar es Salaam

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, akizungumza katika ziara yake Temeke ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi hapo jana Oktoba 1, amevunja ukimya kuhusu matukio ya utekwaji wa watu na maandamano yaliyofanyika na CHADEMA Septemba 23 katika jiji hilo...
  3. JamiiForums Tanzania Iringa: Polisi yakana madai ya kada wa CHADEMA, Vitus Nkuna kushambuliwa na wasiojulikana barabarani, yasema alisababisha ajali kutokana na ulevi

    Jeshi la Polisi mkoani Iringa limemkamata kada wa Chadema, Vitus Nkuna kwa kusababisha ajali mnamo Septemba 30, 2024. Kamanda wa Polisi, SACP Allan Bukumbi, ameeleza kuwa Nkuna alikuwa anaendesha gari akiwa na kiwango kikubwa cha ulevi, hali iliyosababisha kugonga gari la kampuni ya KINGS. Hata...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hii "Watake Wasitake" Inayosambaa kwa kasi Mitandaoni ni maandamano mengine ya kupinga utekaji na mauaji nchini?

    Wakuu, Hii poster inatembea kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo kurasa za CHADEMA, je ni maandalizi ya maandamano mengine baada ya yale ya mwanzo kuingia doa baada ya viongozi wao kukamatwa siku ya maandamano? Pia soma: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA na Umachiaveli

    Niccolò Machiavelli, mwanafalsafa wa karne ya 16, anafahamika kwa maoni yake kuhusu siasa na uongozi, yaliyoelezwa kwa kina katika kitabu chake maarufu, The Prince (Mfalme). Katika kazi yake hii, Machiavelli anashikilia kuwa Pamoja na mambo mengine anayetafuta madaraka lengo lake ni kuyashika...
  6. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Wamekata tamaa ya Siasa na kuna uwezekano wa kushindwa kushiriki Uchaguzi wa serikali za Mitaa kwa visingizio Dhaifu.

    Ndugu zangu Watanzania, Ni dhahiri na wazi kabisa kuwa kwa sasa CHADEMA imefika hatua imekata tamaa kabisa ya siasa hapa Nchini,imepoteza morali,hamasa,nguvu iliyokuwa nayo miaka Kadhaa iliyopita. Kwa sasa CHADEMA imepoteza na haina kabisa ushawishi kwa watanzania.haina mvuto wala nguvu ya...
  7. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA na vyama vingine chukueni mwelekeo huu haraka kabla ya uchaguzi, mtanishukuru baadaye!

    Nchi hii ni yetu sote. Kwa mantiki hiyo kila mmoja anao uhuru wa kutoa maoni bila kuingiliwa maadamu havunji sheria. Nazungumza na Chadema kama mwakilishi wa vyama vingine vya upinzani nchini Tanzania. Kila chama kinatamani kushinda uchaguzi na kuunda Serikali. Zitto Kabwe ametoa wazo la vyama...
  8. JamiiForums Tanzania LGE2024 Singida: Tundu Lissu aboresha Taarifa zake kwenye Daftari la Mpiga kura

    Kuwa wa kwanza Kufahamu kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, Amekuwa miongoni mwa Wanakijiji cha Mahambe huko Ikungi waliojitokeza Kuboresha Taarifa zao kwenye Daftari la mpiga kura.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa kata wa CHADEMA, ni sawasawa na kiongozi wa CCM wa ngazi ya kuanzia mkoa

    'Ukimchukua kiongozi wa kata wa CHADEMA, ni sawasawa na kiongozi wa CCM wa ngazi ya kuanzia mkoa au kidogo ni Taifa'' - Gavana Kaduma, Katibu wa CHADEMA kanda ya kusiniKwa urefu zaidi unaweza kuitazama kupitia YouTube channel yetu ya EastA
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri: CHADEMA iite miundombinu na vitega uchumi vyake majina ya makamanda wake waliouwawa wakikipigania chama

    Vitega uchumi kama majengo yaitwe majina ya makamanda mfano Ali kibao complex Alfons mawazo complex Ben saa nane memorial hall Tundu lisu road nk
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Bado hatujapata chama mbadala wa kuiongoza nchi hii

    Rais Samia aliyasema hayo akifunga Kikao Maalum cha Baraza Kuu la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) jana Septemba 28, 2024. "… mabadiliko yote yanayotokea ni katika kukiimarisha chama chetu tukitambua kwamba bado hatujapata mbadala wa chama cha kuongoza nchi hii, bado hatujakipata...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA ikiiga movements za "Rock The Vote" organization, watashinda uchaguzi 2030 kwa kura mpya za Gen Z

    Katika tafiti ya shirika la Twaweza walio fanya miaka kadhaa nyuma,walisema kua wafuasi wengi wa chadema ni vijana wasomi kuanzia miaka 18-40,tofauti na CCM wengi ni wazee na watu wenye elimu ya chini, Ukiangalia Demographic ya Tanzania,idadi kubwa ya watanzania ni vijana wa miaka 15-35..bahati...
  13. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe aunganishe nguvu na vile vyama 13 vya siasa vilivyopinga maandamano haramu ya Chadema yaliyopigwa marufuku na Polisi

    Hii italeta pumzi mpya, changamoto mpya kwa ccm, mageuzi, na uelekeo mpya wa upinzani nchini. Hata hivyo, Hatua hiyo muhimu itategemea sana, utashi na utayari wa uongozi wa vyama hivyo vya kisiasa nchini, kuweka maslahi ya Taifa mbele, na kuweka kando tofauti zao za kisiasa, usaliti, ubinafsi...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Picha hii inatoa unabii wa siku zijazo za uongozi wa Tanzania ikionesha ni wapi watakapokuwa viongozi wakuu wa CHADEMA wakilinganishwa na wale wa CCM

    Hii picha ina takribani miaka 10 hivi na ni picha ya kinabii. Inaongea kimya kimya ni wapi viongozi wakuu wa CCM; Samia na Nchimbi watakapokuwa wakilinganishwa na viongozi wakuu wa CHADEMA Mbowe na Lissu.
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Haya ndiyo makosa ambayo BASATA wanamtuhumu Nay wa Mitego kutokana na wimbo wake wa "Nitasema"

    Wakuu, Ndio walikuwa wanajitapa na uhuru wa kutoa maoni kuongezeka. Kauli za kichochezi inatakiwa kutolewa maana. Huku ni kutufanya mabubu wazi wazi. ====== HATI YA MAKOSA KOSA LA KWANZA Kutoa wimbo kwa walaji bila kibali, kinyume na Kanuni ya 25(1) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge Tulia Ackson anashangaa kwanini hadi leo polisi bado inamshikilia Kada wa CHADEMA Kombo Mbwana

    Akiongea na Wasafi FM leo Spika wa bunge Mh. Tulia Ackson amesema anashangaa kwanini hadi leo hii polisi bado inamshikilia Kombo Mbwana kada wa CHADEMA. Mbwana alipotea tangu June 15 baada ya kutekwa nyumbani kwake na watu wasiojulikana huko Tanga, awali polisi ilikana kuwa naye baadae ikakiri...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi Jeshi la Polisi linatumia kisingizio Cha intelelejinsia kuminya haki ya kufanya siasa Kwa chama Cha CHADEMA?

    Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni haki ya msingi Kwa chama chochote Cha siasa kufanya maandamano ya amani Ili kufikisha ujumbe muhimu Kwa serikali inayotuongoza. Hata hivyo haki hiyo imekuwa ikiminywa na watawala Kwa kulitumia Jeshi la Polisi, Kwa kisingizio tu Cha...
  18. JamiiForums Tanzania Sababu za Boniface Jackob kunyimwa Dhamana zinazidisha hoja ya Wanaoidharau Mahakakama ya Tanzania, Inatumika kijinga sana!

    Tukirudi nyuma, ni kwamba baada ya kukamatwa kama Jambazi pale hadharani Sinza na kufikishwa mahakamani, Bonny alinyimwa dhamana kwa sababu za kichovu, ikiwemo ile ya eti Usalama wake uko hatarini Mahakama ikijua kwamba Bonny Yai juzi tu alirejesha fomu ya kuomba Uenyekiti wa Chadema kwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA wanaona Polisi hawakuwa na sababu za msingi kuzuia maandamano ya amani, kitu gani kinawazuia kuwafikisha Polisi Mahakamani?

    Polisi wanasema waliyazuia maandamano ya Chadema, yaliyotakiwa kuwa ya amani, kwa sababu walikuwa na habari za intelijensia kwamba Chadema walikuwa wamepanga kufanya vurugu. Sawa, kama ni kweli Polisi walikuwa na haki ya kuyazuia hayo maandamano. Lakini sasa, kwa kuwa maandamano ni haki ya...
  20. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kama wewe ni mtendaji kata na ni mfuasi wa CHADEMA hutopewa kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa

    Ndugu wanajamvi! Pokeeni salamu zangu Juzi nilikuwa mkoa wa.mwanza tena center kwenye kijiwe flani. Nikawa namsikia mtendaji mmoja anaongea na mtendaji mwenzake Kwamba wamepewa barua za usimamizi wa uchaguzi wa Serikali za mtaa. Mwenzake akasema yeye hajateuliwa kisimamia uchaguazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…