Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Morris Makoi, Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi Vijijini amefanya kile kilichowashinda wengi baada ya kufanikiwq kuisambaratisha ngome ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kuung'oa mbuyu ulioshindikana.
Makoi ambaye ni Diwani wa Kata ya Okaoni (CCM), amemng'oa kada...
Mwenezi wa CCM, Amos Makala akiongea na waandishi wa habari leo kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa amesema kuwa kwa upande wa CHADEMA kuna mgawanyiko mkubwa unaosababisha wasisomane. Ametaja kuwa mgawanyiko huo unahusisha pande mbili ambazo zinawaunga mkono kati ya Makamu Mwenyekiti bara...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Amos Makalla, ameeleza kupata ukakasi mkubwa kuhusu hatua ya kiongozi ambaye ni mwanasheria na anayejua haki na demokrasia, lakini anakataa kutumia haki yake ya kupiga kura. Hili limejitokeza baada ya Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, kutotimiza...
amos makalla
ccm
chadema
haki ya kupiga kura
kuelekea uchaguzi 2024
kujiandikisha kupiga kura
kupiga kura
serikali za mitaa
tundu lissu
viongozi waandamizi
vyama vya siasa
Wasalaam ndugu wana JF!
Nisikuchoshe, usinichoshe, tusichoshane. Twende kwenye mada yetu moja kwa moja
Kwa wale waumini wa dini karibu zote duniani yaani ukristo, uislam, Uyahudi, Wabuddha, Wahindu, Washinto na ata hizi dini za Mababu zetu zote zinaamini kwenye kutoa sadaka/Zakkah...
Viongozi na wafuasi wa CHADEMA wamekuwa wahanga wakubwa sana kwa manyanyaso na kila aina ya dhuluma.
Mara tu wanapofanyiwa hayo wamekuwa wakijitokeza kwenye Vyombo vya habari na kulalamikia vitendo hivyo.
Mimi nafikiri kwa sasa tutoke kwenye kulalamika na twende kwenye kuchukua hatua kali...
Kauli tata za viongozi wa CHADEMA zimeibua taharuki.
Kauli hizo zinaonesha hila za kisiasa na viashiria vya kuibua vurugu kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025.
Benson Kigaila, mmoja wa viongozi waandamizi kutoka chama hicho, ametoa matamshi yanayodai kwamba CHADEMA...
Kwakuwa wanatambua toka zoezi hili limeanza kulikuwa na dalili mbaya na nia ovu ya kuhujumu uchaguzi huu na kwasababu watakwenda kubandika takwimu hizi leo Oktoba 21, Viongozi CHADEMA Jimbo la Kibamba wakiwakilishwa na Ernest Mgawe, Mwenyekiti wa jimbo hilo, watoa takwimu za uandikishaji...
Yaelekea kuna habari mpya hapa baada ya Aisha Machano,yule mdada ambaye ni too serious ,kwamba yupo mtu mwingine ametekwa.https://x.com/mdudechadematz/status/1848059782189777138https://x.com/mdudechadematz/status/1848059782189777138
Mnamo tarehe 19 Novemba 2015, katibu mkuu mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na aliyekuwa mgombea urais, Dk. Willibrod Slaa, alitoa kauli kwamba “Chadema wanatekana,” akifichua siri nyingi kuhusu chama hicho.
Kauli ya Dk. Slaa inahusiana moja kwa moja na madai ya kutekwa kwa...
Kwa Dar es salaam Nina uhakika Vyama vya Upinzani havitapata Ushindi hata wa Mtaa mmoja
Ujiji ACT Wazalendo wataambulia Mitaa miwili Mitatu halikadhalika Mbeya na Arusha CHADEMA wataambulia Mitaa miwili Mitatu
Kwa sasa Sekretarieti ya CCM ina Watu wanaojua Siasa ni Sayansi na kwamba Nguvu ni...
Katika uchambuzi wa sababu zinazoweza kuzuia mafanikio ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuna hoja yenye nguvu kwamba CHADEMA imeiga kwa kiasi kikubwa mifumo ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ingawa CHADEMA kinajitambulisha kama chama cha upinzani, mifumo yake ya ndani ya kiutawala...
Ushauri wangu kwa Viongozi wa juu fanyeni juu chini mpeleke pesa ngazi za chini za chama za Mitaa na kata huko ndiko kuna kazi kubwa na zinahitaji pesa sana. Hizo nguvu za juu mzilete chini.
Mfano mawakala wanahitaji pesa wanahitaji chakula ili zoezi liwezekane vizuri. Kuna maeneo mawakala wa...
Inachosha kusikia drama kila baada ya siku mbili mtu katekwa tena kiongozi akiwa kwenye kwenye kutekeleza majukumu ya chama.
Ina maana ni mchana kweupe,
Swali mtu huyo alikuwa hana ulinzi? wakati ni kiongozi wa kitaifa wa chama, hayo majukumu alikuwa anatekeleza chumbani kwake kwa maana ya peke...
Mbilinge zinaendelea za kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa. Huku tukiendelea kusikia mambo yanayotokea kwenye vituo vya kujiandikisha.
Leo huko Katavi yalitokea ni haya
==================
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Katavi, Rhoda Kunchela, pamoja na...
Atimaye Jana terehe 18/10/2024 chadema Jimbo la KOROGWE wamepata viongozi baada ya uhaguzi wa kidemoxrasia kufanyika ambapo nafasi mbalimbali kugombaniwa ambapo nafasi ya mwenyekiti aligombaniwa na wagombea watatu ambazo ni kamanda John mapunda alikuwa anatetea nafasi yake Ezekiel mbwilo pamoja...
KATIKA kipindi ambacho CHADEMA imekuwa ikieneza propaganda potofu kuhusu hali ya demokrasia nchini Tanzania, ukweli umeonekana wazi kupitia matamshi ya Shirika la Changamoto za Milenia (MCC) la Marekani.
Viongozi wa juu wa CHADEMA, akiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu, wamekuwa wakiandika barua...
Vurugu kubwa zimetokea katika mtaa wa Engosengiu kata ya Sinoni kati ya msimamizi wa uandikishaji wa mtaa huo na wakala wa chadema na baadhi ya wananchi baada ya msimamizi huyo kutaka kumtorosha muandikishaji wa daftari bila ya kuonyesha idadi ya waliojiandikisha wakiwa na lengo la kwenda...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Mbeya kimewaasa wananchi kutosusia uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vitongoji na vijiji kwa kuwa kura zao ndizo zitakazoamua aina ya viongozi na mustakabali wa maisha yao kwa kipindi cha miaka mitano ijayo (2024-2029).
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa...