chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. K

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mkurugenzi wa Wilaya ya Serengeti, Dkt. Maulid Madeni: Wagombea wa CHADEMA walioenguliwa hawakujiandikisha kupiga kura

    Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na mambo ya nje hapo jana, kudai kuwa baadhi ya wagombea wa Chama hicho kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wameenguliwa bila sababu za Msingi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi huo. Moja ya eneo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni Kama Sikio la Kufa

    CHADEMA ni Kama Sikio la Kufa Msemo maarufu wa wahenga usemao Mfamaji haachi kutapatapa, unaakisi hali halisi ya Chama Cha Maendeleo na Demokrasia kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na hata uchaguzi mkuu wa 2025. Ninashangaa kauli za viongozi wa CHADEMA kulalamikia kuenguliwa kwa wagombea...
  3. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kazi za serikali za mitaa ni kazi za kujitolea chadema waambiwe ukweli kiwa kama huna kazi huwezi pata

    Unaambiwa kigezo kikuu cha kazi za serkali za mitaa ni kujitolea kama huna kazi isiombe utakuwa huna vigezo wao ndio wakiomba walikataliwa ukosa vigezo wanaanza kulia lia tu. Chama kisichofuata hata ishu ndogo kama hizi kitaweza kweli kusimamia mambo ya maana ya siri na nyeti kitaifa na...
  4. JamiiForums Tanzania LGE2024 Chadema hamkujiandaa na uchaguzi, acheni kulalamika!

    Tangu mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulipoanza, sijaona viongozi wa CHADEMA wakieleza mkakati wa kushiriki na kushinda uchaguzi huo. Badala yake, wamejikita kwenye malalamiko dhidi ya CCM na serikali. Hakuna hata mchakato wa wazi uliotumika kuwapata wagombea ndani ya chama. Walikaa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA tumejikaanga wenyewe wagombea wetu kuenguliwa katika Kinyanganyilo cha serikali za Mitaa

    CHADEMA tumejikaanga wenyewe wagombea wetu kuenguliwa katika Kinyanganyilo cha serikali za Mitaa Na Amosi Kagilwa, Kanda ya Pwani. Vilio na kwiki vimetawala leo kila kona ya nchi kutoka kwa viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo( CHADEMA) na wagombea wao kwa Kuenguliwa katika...
  6. JamiiForums Tanzania Chadema itikadi yenu ni nini??

    Kuelekea Uchaguzi mkuu wa Serekali za Mitaa ambao unatarajiwa kufanyika Tarehe 27 Novemba Mwaka huu. Baada ya tafakuri ya kina, Kuna swali moja kubwa nimejiuliza kuhusu CHADEMA(Chama cha Demokrasia na Maendeleo). 1. JE NINYI NI WAUMINI WA ITIKADI GANI? Pamoja na mafanikio makubwa kisiasa katikA...
  7. JamiiForums Tanzania Bado Chadema na vyama vya upinzani hamjachelewa tangazeni kujiondoa kushiriki uchaguzi wa Tamisemi. Hakuna uchaguzi hapo

    Kwanza Mimi siwezi kuuita uchaguzi wa serikali za mitaa kama hauna mandatory ya kisheria juu ya wasimamizi. Ni mpumbavu pekee atatetea Tamisemi kusimamia uchaguzi ingawa hakuna uwazi na mkuu wake akiwa mwanachama wa CCM. Waziri wa TAMISEMI ni mwanachama wa CCM na kwa Sheria za ushindani na uwazi...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kuna kila sababu chadema kubadili mbinu za kukabiliana na ccm

    Chadema iingize wanachama wake ccm. Wanachama maarufu watangaze kuachana na chadema, kisha wapokelewe kwa shangwe na nderemo huko ccm. Wasiokuwa maarufu mamia kwa maelfu, wachukue kadi za ccm kimya kimya nchi nzima. Huko huko ndani ya ccm ndiko mabadiliko yatafutwe.
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Uchaguzi Serikali za mitaa 2024 na mkuu 2025 , CHADEMA na upinzani kwa ujumla hatujajipanga

    .nimepita mitaa mingi wananchi wanawaongelea na kuwajua wagombea wa CCM tu .mitaa mingi haina ofisi za vyama vya upinzani . CHADEMA tunafocus mambo hasi kama wizi ,wagombea kutokuwepo-wagombea ambao hata wananchi hatuwajui kuelekea uchaguzi baada ya kujikita katika zoezi zima . .Kwa nchi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, acheni kulia lia. Chukueni hatua kali dhidi ya dhuluma

    Kwa mara nyingine tena napenda kuwaasa ndugu zangu CHADEMA kwamba, punguzeni kulia lia, chukueni hatua kali dhidi ya dhuluma. Ebu jiulizeni, mmeanza kulia tangu lini? Baada ya kulia mmepata faida gani? Amini, Amini nawaambia, msipokubali kujitoa SADAKA kwa ajili ya kutafuta HAKI, mtalia...
  11. JamiiForums Tanzania LGE2024 Boniface Jacob awataka wanachama wa CHADEMA wasiwe na sifa za nzi wawe wakali kama nyuki, atangaza msako wa wale waliowaengua wagombea wao

    Boniface Jacob amewaasa wanachama wa CHADEMA kutokuwa na sifa kama za nzi ambao hata wakiwa wengi mtu akipiga tu mkono wanapoteana bali wawe kama nyuki ambao hata wakiwa watatu panakuwa hapakaliki.
  12. JamiiForums Tanzania LGE2024 Morogoro: Msimamizi wa Uchaguzi Kilosa amjibu Joseph Haule (Prof. Jay) kuhusu Wagombea wa CHADEMA kuenguliwa

    Michael John Gwimile, Mkurugenzi na Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Kilosa. Soma Pia: Prof. Jay: Wagombea wetu wote Wilaya ya Kilosa wameenguliwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
  13. JamiiForums Tanzania LGE2024 Wagombea wa CHADEMA waenguliwa kwenye kinyang'anyiro kisa hawana kazi ya kuwapatia kipato halali

    Akizngumza na wanahabari leo, Ijumaa Novemba 08, 2024 makuu ya Mikocheni ya CHADEMA, John Mrema ambaye ni Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya nje CHADEMA ameeleza kushangazwa baada ya Wagombea wa CHADEMA kuenguliwa kwenye kinyang'anyiro kisa hawana kazi ya kumpatia kipato halali...
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA: Zoezi la kuengua na kuteua likiisha tutatoa taarifa rasmi lakini kujitoa siyo sehemu ya msamiati wetu kwenye uchaguzi huu

    Wakuu, Mambo ni motoo, safari hii hakuna kujiengua safi. Sasa na nyie CHADEMA mbadilike, watu wanatumia mbinu zilezile na mnadakwa vile vile, inabidi mnyumbulike na kuja na mbinu mpya za kujibu mapigo. ==== John Mrema kwenye kikao chake na waandishi wa habari juu ya sakata la wagombea...
  15. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa: Inadaiwa wagombea wengi wa CHADEMA Jimbo la Serengeti wameenguliwa

    Inadaiwa wagombea wote wa CHADEMA Jimbo la Serengeti mkoani Mara wameenguliwa. Tutarajie ya mwaka 2019? Kupata habari za kimkoa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa bofya hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali...
  16. JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA acheni kulialia ujinga ni wenu

    Wasalaam. Naliwashauri hapa hapa kabla hata zoezi la kuandikisha wapiga kura halijaanza. Niliwasihi chadema wasithubutu kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa na chaguzi nyingine mpaka kuwe na tume huru wakashupaza shingo na sasa mnalia kuchezewa rafu na ccm, muache kulialia mnatukera...
  17. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbowe alalamika kuhusu ubakaji wa Demokrasia kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ametumia mtandao wa X kulalamika kuhusu vitendo vya ubakaji wa Demokrasia unaoendelea kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Mbowe ameandika; "Taifa linaendelea kushuhudia kwa njia mbalimbali ubakaji mkubwa wa demokrasia kwenye uchaguzi huu wa Serikali za...
  18. JamiiForums Tanzania LGE2024 Prof. Jay: Wagombea wetu wote Wilaya ya Kilosa wameenguliwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa ni ngumu sana kumtenganisha baba na mama. Like father like mother, sasa tunarudi misiri tulikotoka. Wagombea wote wa chadema katika wilaya ya kilosa wamepigwa chini wote. 4R bye bye bye hii ndio "Afrika" Source joseph haule A.K.A Profesa J. Mgombea umbunge wa jimbo...
  19. JamiiForums Tanzania LGE2024 Dodoma: CHADEMA wadai kuna figisu majina ya wagombea kukatwa

    Wakuu, Naona tunarudi 2019 ki style, chupa imebadilishwa tu design lakini kamnyweso ni kalekale. ==== CHADEMA Wilaya ya Dodoma Mjini kimedai kubaini taarifa za wagombea wake kuenguliwa katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kupitia mbinu za kuwatafutia kasoro mbalimbali. Miongoni mwa mbinu...
  20. JamiiForums Tanzania Lissu kufuata njia ya Dkt. Slaa CHADEMA?

    Kuna kila dalili kwamba Lissu akaondoka Chadema Muda wowote kuanzia sasa.. Nimekuwa nikifuatilia muenendo wa muda mrefu kati ya Lissu na Chama chake ni kama wameparanganyika.. Lissu ana support ya watu wanaojiita "Sauti ya Watanzania" kundi la wanaharakati ambao wanajipambanua kwamba wapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…