chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM Yazindua Kampeni Nchi Nzima; Hoja Kuu ni Mbowe, Lissu na Chadema, Aibu Kwao

    Jana ilikuwa uzinduzi wa kampeni za CCM sehemu mbalimbali na kwa maajabu makuu hoja kuu yao ni kumzungumzia Mbowe na Lissu kama sera yao. Wameamua kumuibua hadi yule mpiga kelele wa goli la mkono toka makaburini kuja kuwatia nguvu wakati Makonda juzi kwenye mkutano wake kadhibitisha kuwa wale...
  2. JamiiForums Tanzania LGE2024 Ezekiah Wenje: Siasa sio ya Kubembeleza, CCM tutaenda nao Mperampera. Ukishapiga kura linda kura

    *Walisema chadema wqnachelesha maendeleo. Kuanzia Rqis hadi balozi sasa wote ni CCM, Maendeleo yapo wapi? *Siku ya kupiga kura, piga kura, nenda kale rudi kuweka kambi kwenye kituo. Kanuni haijasema piha kura uende nyumbani ukalsle *Hatuwezi kukubali muwe mnatuibia kura halafu tupeane maji...
  3. JamiiForums Tanzania SI KWELI LGE2024 CHADEMA yamsimamisha Lissu Uanachama

    Salaam Wakuu, Nimekutana na hii Taarifa ya The Chanzo inadai Chama Cha Demokrasia na Maendelea kimemsimamisha Uanachama Tundu Lissu. Kuna ukweli?
  4. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Baada ya CHADEMA kukomaa kuwa itashiriki uchaguzi na haitajitoa, plan B haiwezi kuja kuwa ni kuifuta kabisa kwenye daftri la Msajili siku za mbelen?

    Kwakuwa Watanzania tumeshindwa kupambana dhidi ya kila uovu unaofanywa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA na sasa kwenye kuhujumu wagombea wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka huu(Nov. 17, 2024); je, haiwezekani ipo siku wahusika wataenda mbali na hata kufikia hatua ya...
  5. JamiiForums Tanzania LGE2024 Makalla: Chagueni wagombea wa CCM wale wa CHADEMA Mbowe kasema hawana ILANI ni hatari kuwa na kiongozi bila kuwa na Mkataba wa atakufanyia nini

    KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC ) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi,Siasa na Mafunzo CPA Amos Makala amesema amemsikia Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe Akieleza kuwa Chama chake hakina Ilani na wagombea wao watatakiwa kubuni buni Ilani tu. CPA Makala ameyasema hayo leo Novemba...
  6. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbalizi: Polisi washindwa kuzuia Uzinduzi wa kampeni za Chadema, Nguvu ya umma yawazidi ubavu

    Polisi waliotumwa na ccm kama wafanyavyo siku zote, leo wameshindwa kufurukuta baada ya kujaribu kuzuia mkutano halali wa Chadema kwenye uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa wenyeviti wa serikali za Mitaa bila mafanikio Kutoboka kwa mbeleko ya Polisi kulisababishwa na uimara wa wananchi kupinga...
  7. JamiiForums Tanzania LGE2024 Freeman Mbowe kuzindua Kampeni za CHADEMA Mkoa wa Songwe

    Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Mkoa wa Songwe umebahatika kupata Neema ya kuzinduliwa kwa kampeni za Uchaguzi wa serikali za Mitaa na Mwamba Kabisa Freeman Mbowe Taarifa ya Chama chake iliyosambazwa kote duniani hii hapa #WATAKE WASITAKE
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Leonce Marko Kada wa CHADEMA atimkia CCM

    Wakuu, Naona besti wa Msigwa kaamua amfuate CCM. Je, fukuto la CHADEMA litatoa kiongozi mwingine kwenda CCM? Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
  9. JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA Arusha: Wamelalamikia rufaa zao kutokusikilizwa na kutupiliwa mbali na hiyo ni baada ya kuenguliwa kwa majina ya wenyeviti

    Waliokuwa wagombea wa nafasi ya uenyekiti na wajumbe kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kata ya Ungalimited jijini Arusha wamelalamikia rufaa zao kutokusikilizwa na kutupiliwa mbali na hiyo ni baada ya kuenguliwa kwa majina ya wenyeviti na wajumbe kwa asilimia 90% huku...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kombo wa CHADEMA aliyekuwa mahabusu kwa zaidi ya miezi 4 baada ya kunyimwa dhamana aachiwa kwa faini ya Tsh. 85,000!

    Wakuu, Kwahiyo lengo la serikali ilikuwa kumsumbua tu na kumhenyesha basi! Job true true! Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tanga, Kombo Mbwana aliyekuwa mahabusu kwa zaidi ya miezi minne baada ya Mahakama ya Wilaya ya Tanga kumnyima dhamana, amerejea uraiani kwa...
  11. JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA yaomba michango kuzindua kampeni Nyamagana

    Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Pambalu amewaomba wananchi kuchangia fedha kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni Jimbo la Nyamagana Mwanza. Chadema wazee wa michango halafu haijulikani inakwenda wapi msimu wa mavuno umeanza chama kinapenda sana michango.
  12. JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA Serengeti wafunguka walivyofanyiwa, rufaa zagonga mwamba

    Baadhi ya wagombea nafasi za uongozi ndani ya CHADEMA wilayani Serengeti wameeleza changamoto walizokumbana nazo katika harakati zao za kisiasa. Wameeleza kuwa rufaa walizowasilisha kupinga matukio hayo zimekataliwa, wakidai kuwa haki haikutendeka. Hata hivyo, wamesisitiza kuendelea kupigania...
  13. B

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tamko la Vyama nane vya siasa rafiki kwa CCM | vyaishambulia CHADEMA

    19 November 2024 TAMKO LA VYAMA NANE VYA SIASA RAFIKI KWA CCM KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 | VYAISHAMBULIA CHADEMA https://m.youtube.com/watch?v=HFSf_Bu5y9E Vyama hivyo rafiki wa CCM chama dola kongwe, vikiongea na waandishi wa habari kiongozi wa chama cha UMD wametaka vyama...
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kilombero: Wanachama wa CHADEMA wakamatwa wakidaiwa kufanya vurugu

    Mshikemshike umeanza Imeelezwa kuwa wanachama takribani 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Kilombero, mkoani Morogoro wanashikiliwa na Jeshi la Polisi wakituhumiwa kuwafanyia vurugu wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya kijiji na kata Akizungumza na Jambo TV leo...
  15. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ina watu ambao kila kitu wanapinga wapo wanaochukizwa na ushindi wa timu ya Taifa

    Nimesikitishwa na vijana wajinga wasiojitambua walioitabiria mabaya timu yetu ya Taifa kisa tu kuna watu wananasibisha ushindi wa timu na mama Samia Rais wa nchi. Mimi si mwanachama wa chama chochote lakini sioni kwa nini hawa watu wanakuwa na chuki na mama kisa ni mwana CCM bila kuona jitihada...
  16. JamiiForums Tanzania Ifike mahali Mbowe akae pembeni CHADEMA, aweke hata mtu wake awe anam-monitor kuliko kuendelea kutokuwa relevant

    Ajifunze hata kwa Mandela pamoja na kupendwa sana ila ilibidi akae pembeni mambo mengine yanyooke, Hata Nyerere aliwahi kukiri waliokuwa wanamwambia ukiondoka nchi hii ni changa bado italeta matatizo, alikuja kugundua walikua wanatetea familia zao na sio nchi. Akiwa kama kiongozi imara...
  17. JamiiForums Tanzania LGE2024 Preemptive Move Kuisaidia Chadema Ahead of Press Conference ya Mwenyekiti Mbowe Leo, Chadema Wasifanye Kosa la Kurudia Kosa Kususia Uchaguzi wa SM

    Wanabodi, leo kuna press conference muhimu ya Chadema。 hili ni bandiko la kitu kinachoitwa preemptive move ya kuisaidia Chadema ahead of Press Conference hii muhimu ya Mwenyekiti wa Chadema leo,ili kuisaidia Chadema wasifanye kosa la kurudia kosa la kususia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa!。...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema kwa heshima aliyojijengea kwenye Taifa hili hawezi kwenda CCM ila haridhishwi na Uongozi wa kaka yake Freeman Mbowe

    Lema anatofauti za wazi kati yake na Katibu wake wa Kanda za Kichadema ya Kaskazini Bw AMANI Golugwa akimtuhumu kuwa ni fisadi mkubwa ndani ya CHADEMA anayekingiwa kifua na Freeman Mbowe. Amani ambae ni swaiba mkubwa wa Freeman Mbowe wa muda mrefu anatajwa kumpigia kampeni za kuchaguliwa tena...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema alikuwa mwanachama wa NCCR !

    Wafuasi wa CHADEMA asilia wanaikumbusha jamii kuwa Godbless Lema ni muhamiaji tu ndani ya Chadema. Hivyo hana haiba ya kuwasumbua wana CHADEMA original. PIA SOMA - LGE2024 - Godbless Lema: Hakuna namna hata kwa muujiza ACT inaweza kuwa na wagombea 2000 nchi nzima
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vigogo wa CHADEMA Arusha wasema tusishangae Lema akimfata Msigwa, wadai Lema hufanya vikao vya siri na Gambo, Makonda na Msigwa

    Vigogo wa CHADEMA mkoa wa Arusha wamesema ni suala la muda tu Lema atamfuafa Msigwa. Vigogo Hao wamesema kwamba Lema hufanya vikao vya siri na Makonda na Mrisho Gambo. Katika kujiandaa na hilo, Lemma alijiapiza hatagombea cheo chochote kanda ya kaskazini. Wakati Msigwa akikitifua ndani ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…