chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Wazo Jipya: Sema Mambo 3 CHADEMA wafanye sasa kwa Uchaguzi Mkuu 2025

    Ukiniuliza mimi ntasema mambo yangu matatu; siyo mageni sana lakini naamini yanaweza kuisadia CHADEMA kujiandaa na uchaguzi mkuu mwakani. Na wewe kama unayakwako yaweke labda katika wastani yatapatikana mambo matatu makubwa. 1. Itangaze mapema kama msimamo wa chama kuwa wagombea wote wa ubunge...
  2. JamiiForums Tanzania LGE2024 Katika kubalance mambo tuonekane tuna demokrasia vyama vidogo vidogo vya upinzani vitashinda baadhi ya maeneo ila sio CHADEMA!

    Kuna maeneo utaona sijui chauma, UDA ,ACT n.k Vinaweza kupewa baadhi ya vijiji au ubalozi.. Ili kufukia mashimo nchi ionekane ina demokrasia.. Ila once again CHADEMA poleni Hii itakuwa zaidi ya 2020..
  3. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mchungaji Msigwa: Kama nilivyoshambulia CCM, naishambulia CHADEMA kwa sababu ni waongo. Tumeandamanisha watu, wengine wamekufa!

    Wakuu, Mambo yanaendelea kuwa ya moto kwenye Kampeni za Uchaguzi wa Serikali. Mchungaji Msigwa ambaye alihamia CCM akitokea CHADEMA amezungumza hivi karibuni mkoani Songwe hivi karibuni. Soma pia: Mchungaji Peter Msigwa: CHADEMA ina wanachama laki nne tu Nchi nzima Msigwa amesema kuwa kama...
  4. B

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Utitiri wa Wafuasi na Wananchi kwenye Mikutano ya CHADEMA inatoa ujumbe gani kwa CCM?

    Kila mtu anajua kinachoendelea hapa nchini ikiwa ni jitihada za Serikali na CCM kuhakikisha Chadema hawafanikiwi. Jana ktk Mkutano wa Nyamongo Tarime Uwanja wa Umma umefungwa na kulindwa na askari wenye silaha kwa lengo la kuzuia Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu asidanye mikutano. Hata hivyo...
  5. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Katavi: MwanaCCM akigawa rushwa kwenye uchaguzi mshughulikieni kwelikweli

    Kauli za kishujaa zinazidi kutawala kutoka kwa viongozi wa CHADEMA. Hii ni kuwajengea kujiamini wananchi katika kipindi hiki cha uchaguzi wasibabaishwe na watu wenyenia ya kuharibu uchaguzi. ================== Mwenyekiti wa CHADEMA @chadematzofficial Mkoa wa Katavi, Rhoda Kunchela, amesisitiza...
  6. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mgombea Uenyekiti wa CHADEMA aliyeenguliwa licha ya kuwa na sifa bado ana dukuduku, akosoa waliosimamishwa kugombea

    Wakuu, Mambo bao moto, Mgombea Uenyekiti wa CHADEMA, Maulid Abdallah aliyeenguliwa licha ya kuwa na sifa bado ana dukuduku, akosoa waliosimamishwa kugombea. Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara...
  7. JamiiForums Tanzania LGE2024 Katavi: Mwenyekiti wa CHADEMA: Tunaamini katika haki, maendeleo na kutetea Watanzania kuliko matumbo kama wanavyofanya CCM

    Bado siku moja kutoka sasa kuelekea katika siku ya uchaguzi wa serikali za mitaa ambao utafanyika Novemba 27, 2024. Wagombea kutoka vyama mbalimbali wamendelea kunadi sera zao na Ilani ya chama ili wananchi wakafanye hukumu yupi anafaa kuwa kiongozi katika Kitongoji, Kijiji, au Mtaa wao...
  8. JamiiForums Tanzania LGE2024 Video Kyela: Mgombea CHADEMA amtumia mtoto wake mdogo kuomba kura. Je, kaona maji ya shingo?

    Moja ya mgombea Kyela Mbeya kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo CHEDEMA amemuomba mtoto wake amsaidie kuomba kura kwa wananchi wakati wa kampeni.
  9. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigoma: CHADEMA na ACT Wazalendo waungana kusimamisha wagombea katika vijiji viwili kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa!

    Vyama vya siasa Chadema na ACT Wazalendo vimeungana katika Kata ya Bukuba, Jimbo la Buhigwe mkoani Kigoma, kwa kugawana nafasi za uongozi kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo Taifa, Abdul...
  10. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Patrick Ole Sosopi: CCM Wanalazimisha kuongoza

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mkoani Iringa kimewataka Wananchi kuchagua viongozi wa serikali za Mitaa wenye uwezo watakaofanya shughuli za kijamii bila itikadi cha siasa. Hayo yamezungumzwa na mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa, Patrick Ole Sosopi katika Muendelezo wa kampeni za...
  11. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mjumbe Kamati Kuu CCM Arusha: CHADEMA wana sumu mimi nina maziwa

    Wakuu, Katika harakati za ufunguzi wa Kampeni Serikali za Mtaa jijini Arusha mapema leo Mjumbe wa Kamati kuu na Mlezi wa Mkoa wa Arusha Rajabu Abrahman Abdallah wa chama cha Mapinduzi CCM akiwa katika viwanja vya kilombero. Kupata taarifa na matukio yote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa...
  12. JamiiForums Tanzania LGE2024 Katibu wa CHADEMA Rukwa: CCM walipita bila kupingwa 2019 kama Viti maalum

    Katibu wa Chadema Jimbo la Rukwa amewataka wananchi kuichagua Chadema kwa ajili ya maendeleo ya taifa kwani ndio chama kinachojali wananchi. Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika...
  13. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa CHADEMA Katavi: Ninawaomba muwe na hasira mlinde kura zenu na polisi wakija msitishike na mabomu!

    Wakuu, Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi, Rhoda Kunchela, amewataka wananchi wa mtaa wa Kampuni, kata ya Misunkumilo, Mpanda Mjini, kujitokeza kwa wingi na kufanya maamuzi sahihi katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024. Soma pia: Mwenyekiti CHADEMA Katavi...
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti CHADEMA Dodoma: Maeneo ambayo yalitawaliwa na CHADEMA yalikuwa na mafanikio zaidi kuliko yalipotawaliwa na CCM

    Katika kuendelea na kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Dodoma Aisha Madoga amewanadi wagombea wa chama hicho katika jimbo la Kibakwe ambapo pamoja na mambo mengine amesisitiza wananchi kuchagua viongozi wa CHADEMA kwani sio dhaifu na hivyo kutoa wito...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Lindi: CHADEMA yazungumza kukamatwa kwa Steven Membe

    Wakuu, Taarifa za kukamatwa na kisha kushikiliwa kwa Steven Membe ambaye pia ni mtia nia wa kuwania Ubunge wa jimbo la Mtama, Lindi kupitia CHADEMA katika uchaguzi mkuu ujao (2025) zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii hatua ambayo iliibua maswali na sintofahamu huku kukiwa na hisia...
  16. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbeya: Mgombea wa CHADEMA aahidi kutatua changamoto ya barabara eneo la Mashujaa. Atupa dongo hili kwa viongozi wa sasa!

    Wanabodi, Hivi CCM wanaposema wameleta maendeleo huwa wanaamanisha nini? Huyu mgombea wa CHADEMA kaonesha kabisa kuwa kuna ubovu mkubwawa barabara huko eneo la Mashujaa mjini Mbeya. Hawa CCM wanaposema wanaleta maendeleo ni maendeleo gani huwa wanasema wameleta...
  17. JamiiForums Tanzania LGE2024 Freeman Mbowe: Tuliwasusia mwaka 2019, kosa hilo haturudii tena. Safari hii tutabanana mpaka tone la mwisho la damu

    Wakuu, Akiwa kwenye kampeni siku ya leo Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema CHADEMA haitosusia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu kama ilivyosusa mwaka 2019 na kusema pamoja na changamoto za kuenguliwa kwa Wagombea wao bado wataendelea kushiriki Uchaguzi huo. 'Tuliwasusia...
  18. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbeya: Picha Katibu Mwenezi CHADEMA wa Kata ya Iganjo akiwaombe kura wagombea kwa namna yake

    Ukitazama hii picha kiongozi huyu ameonyesha hisia na hamasa kubwa katika kuhakikisha anatimiza majukumu yake bila kujali hali aliyokuwa nayo. Nyie! kuna watu wanavipenda vyama vyao katika kila mazingira. ============== Katibu Mwenezi wa Kata ya Iganjo, mkoani Mbeya, Muhamed Mwanitwe akiwanadi...
  19. J

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA na TLP zaungana na kukubaliana kuunda serikali ya Mseto, TLP itatoa Mwenyekiti na Chadema itatoa wale Wajumbe 5

    Wagombea wa CHADEMA na TLP Mtaa wa Tandale Kwa Tumbo wamekubaliana kuunganisha Nguvu ambapo Mwenyekiti kutoka TLP apewe Kura na Wajumbe Wote kutoka Chadema wapewe kura kisha wataunda serikali ya Mseto Mgombea Uenyekiti ni mh Ruben Peter ( TLP) Ushirikiano huu umeungwa mkono na Wafuasi wa vyama...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini tangu kuanzishwa kwake, CHADEMA haitaki kabisaa kuwa na kiongozi mwandamizi mwanamke kamati kuu?

    Ni mfume dume au wanawake hawaaminiki nyani ya vyama vya siasa? au muundo wake ni kwamba mwanamke marufuku kamati kuu Taifa? Mungu Inusuru CHADEMA na mpasuko 🐒 Mungu Ibarki Tanzania
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…