chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA, Ilala: Mbowe atoe tamko kuhusu wapambe wake

    Mwanachama wa Chadema, Waziri Mwanyevyale, ambaye ni Mwenyekiti wa Chama hiko Mkoa wa Ilala, amemtaka Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe kutoa tamko, kuhusu baadhi wa wanachama wa Chama hiko wanaotukana wenzao mtandaoni, kwa baadhi ya watu ambao wameonesha nia ya kugombea.
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA msimchukulie Mh Mbowe kirahisi, alijitoa sana sadaka kwa kuuza mali zake ili ajenge chama, usidhani CHADEMA imefika hapa ilipo kirahisi

    CHADEMA msimchukulie Mh Mbowe kirahisi, alijitoa sana sadaka kwa kuuza mali zake nyingi ili ajenge chama, msidhani CHADEMA imefika hapa ilipo kirahisi Tundu Lisu ni kivuruge ni mwanasiasa mzuri sana lakini tatizo lake ana mdomo mrefu sana Kuweni na Heshima na Adabu mnapomzungumzia Mbowe Nani...
  3. JamiiForums Tanzania WANA CHADEMA TUSAIDIENI/MNISAIDIE KUJIBU HAYA MASWALI MAANA SIPATI MAJIBU.

    1. Kwanini baadhi ya wanachadema hawataki Mbowe agombee uenyekiti? Kama katiba ya Chama inamruhusu? 2. Kwanini wasionyeshe kutokuridhika kwao na kazi aliyoifanya Mbowe[kama wanavyosema] kwenye sanduku la kura kwa kutokumpigia kura? 2. Au hawana Imani na mfumo wa uchaguzi ndani ya Chama chao...
  4. JamiiForums Tanzania Uimara wa CCM utategemea upepo wa kisiasa ndani ya Chadema

    Huu ndiyo ukweli kuwa Chadema ikisambaratika CCM itakuwa imara kuliko wakati wo wote tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe. Ikitokea Mbowe akajitoa katika kinyang'anyiro cha kuwania tena kiti cha uenyekiti Taifa Chadema basi CCM itakuwa tumbo moto. Hii itawapa nguvu baadhi ya makada wa CCM...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni fundi wa kucheza na Upepo, naona sasa CHADEMA imeutawala upepo, usishangae anafanya uteuzi wa waziri Tena wa fedha week hizi!

    Nadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia, Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku...
  6. JamiiForums Tanzania Yanayojiri mpambano wa kuwania Uenyekiti CHADEMA Taifa

    Habari. Uzi huu uwe mwendelezo wa kila kinachojiri katika mpambano huu wa kukata na shoka. Siku ya kesho December 21 kuanzia saa 5 asubuhi Mdude CHADEMA kuongea n vyombo vya habari. Dec 21 kuanzia saa 5 asubuhi Mwenyekit wa CHADEMA taifa mh. Freeman Mbowe kutangaza hatma yake. Lakini kesho...
  7. JamiiForums Tanzania CCM hawakurupuki kwenye mambo yao na mtu akizingua anafinywa ndani huwezi kuta wanaparuana nje. Hapa ndio CHADEMA mnafeli

    Wakuu nawasilimia kwa jina la kivumbi cha Lissu :BearLaugh: Hii ndio sehemu CCM inawapiga gap sana CHADEMA na vyama vingine vya upinzani. CCM hawakurupuki kwenye moves zao, kuanzia juu mpaka kwa mjinga wa mwisho. Yaani wanahakikisha kila mtu kaelewa script yake, iwe ni mambo kishetani au...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini awamu hii CCM inamhitaji zaidi Mbowe kuwa mwenyekiti wa Chadema?

    Kwa mara hii tumepishana njiani kitofauti kabisa. Sisi miaka ya nyuma tulimhitaji Mbowe kuwa mwenyekiti wa Chadema taifa kwenye kila chaguzi na CCM walikuwa wanawahitaji zaidi wapinzani wake kwenye kinyang'anyiro hicho kuwa wenyeviti. Awamu hii hali ni tofauti kabisa. Sisi awamu hii kama...
  9. JamiiForums Tanzania Mbowe ameongoza CHADEMA kwa miaka 20 sasa, hii ni demokrasia gani?

    Huyu kiongozi chama chake Kila siku kinaongelea habari za demokrasia ila yeye hataki kutoka hapo miaka zaidi ya 20 anakula ruzuku za chama, na ndio maana Lissu kamshtukia kaamua agombee uenyekiti na hili swala nilishalizungumza humu anafanya hiki chama kama chama chake.
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA inamuhitaji lissu na sio mbowe

    Mbowe akiendelea kuongoza chadema itabaki hivi
  11. JamiiForums Tanzania Ukifuatilia, Chawa karibu wote hata darasani walikuwa vilaza, yaani uwezo mdogo, Low battery!

    Mpo wazima! Awe Chawa wa CHADEMA! Awe Chawa wa CCM au chama chochote. Awe Chawa wa mtu yeyote Yule. Karibu wote ukiwafuatilia ni Low battery. Huwezi ukawa Chawa kama kichwa chako kinachaji ya kutosha. Hiyo haiwezekani. Fuatilia machawa wote alafu waambie wakupe matokeo Yao ya shuleni...
  12. JamiiForums Tanzania Ukiona kiongozi anajisifia mwenyewe,kuwa yeye ndio amekijenga CHADEMA kuliko wengine atakuwa anashida fulani.

    Jamani napata shida sana,kusikia Mbowe anasema yeye ndio amekijenga CHAMA, eti kwa fedha, mawazo,nk, nijuacho mm kiongozi mzuri na mwenye hekima hawezi kusema yeye ndio umekikuza CHAMA na kukijenga CHAMA ni tasisi, ambayo inajengwa na watu mbalilmbali ndani ya nchi na nje, watu wanatoa michango...
  13. JamiiForums Tanzania Ushawishi wa Tundu Lissu na Freeman Mbowe kwenye chama hautabadilika sana endapo watashindwa kupata nafasi ya mwenyekiti

    Wanabodi, Kwa Tundu Lissu na Freeman Mbowe uwenyekiti wa CHADEMA ni title na umaarufu na wala hauta badilisha sana majukumu ya wote kwenye chama. Mjumbe ambaye anataka kuwa mwenyekiti na hayupo kwenye kamati kuu ya chama, anaweza kupata mabadiliko makubwa ya ushawishi na uwezo wa kutekeleza...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Chadema kama ni sawa Mbowe kuendelea uenyekiti wanadamu wote tuna mapungufu, kwa nini si sawa CCM kuendelea kutawala maana vyama vyote vina mapungufu?

    Lojiki ya kufikiria ya Watanzania wenzengu mara nyingine inaniacha nashindwa kuwaelewa. Sielewi kwa nini suala la Mbowe na Lissu kugombea uenyekiti liwe jambo linalotishia uhai wa Chadema. Tukirudi nyuma, hatuwezi kusema Nyerere aliacha uongozi kwa sababu aliishiwa fikra sahihi na ghafla Mwinyi...
  15. JamiiForums Tanzania Chadema nimeamini kuna ombwe la uongozi

    Haya nayasema baada yakuona mihemko ya wanachama katika uchaguzi wa ndani unaoendelea kufanyika nchini. Niaibu kwa viongozi wa juu kabisa tena ngazi ya mkoa kufikia hatua kudhihaki kiongozi wake wa juu tena nafasi ya makamu mwenyekiti kwa kutweza utu wake huku mwenyekiti akicheka wanayoyafanya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua katika tafiti wangu kuhusu kinachoendelea chadema

    Baada ya kumsikiliza Lissu ktk mahojiano yake ya vybombo vya habari kabla na baada ya kuchukua fomu na kurudisha. Pia baada ya kumsikiliza Mbowe , Nimepitia faceboook, twitter ambayo X ya sasa, instagram, Jf kwa account maarufu za kisiasa, na mijadala mbali mbali Nimdgundua yafuatayo Wengi...
  17. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa kitaifa chadema unadhihirisha jinsi gani wana chadema na watanzania wengine wasivyotamani kuona ukoloni mambo leo ukirejea Tanzania

    Ni wazi wanachadema wamezinduka na kustukia dhamira na nia zenye mashaka dhidi ya baadhi ya wagombea uongozi wake wa kitaifa. Kauli ya muwakilishi wa wazee wakati wa kuwasilishwa ujumbe wa wenyeviti wa mikoa wa chadema kumuomba na kumshinikiza chairman Mbowe kugombea uenyekiti wa chadema Taifa...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi hawa wote walikuwa wabaya au wasaliti pale CHADEMA ?

    Nimejaribu kujiuliza sana baada ya Tundu lissu kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti basi imekuwa tatizo sana kwa baadhi ya viongozi na wanachama , nikajiuliza hivi hawa walikuwa wabaya au wasaliti kama tulivyoaminishwa ? 1.Dr slaa 2.Zitto kabwe 3.Amani kabourou 4.Prof Safari 5.Mchungaji...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Namna Mchugaji Msigwa anavyoiongelea CHADEMA unaweza kudhani CCM ni Mbinguni alafu CHADEMA ni duniani

    Hua namsikiliza sana Peter Msigwa na vichambo vyake dhidi ya CHADEMA sasa sijui tatizo ni ulimbukeni au ugeni au ushamba. Nijuavyo mimi vyama vyote vina matatizo. Ila ndugu Msigwa anataka kutuaminisha kwamba kwa yeye kugombana na CHADEMA basi CHADEMA haina jema hata Moja. Soma Pia: Mchungaji...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea Chadema naanza kuamini wale Wabunge 19 wana baraka za Mbowe na chama kwa ujumla

    Wamehitahidi sana kutuzuga na kumlaumu Ndugai kuwabeba na kuwakumbatia Wabunge wanawake 19 kutoka Chadema almaarufu Covid 19. Muda ni mwalimu mzuri, Mbowe ni mnafki sana, alishalamba asali, akija kwetu wananchi anajifanya hajui lolote kumbe nyuma ya pazia alishalamba asali. Kwaa yanayoendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…