chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Andrew Mwambeje: CHADEMA imefika hapa si kwa sababu ya Mbowe wala pesa zake, bali ni juhudi za wanachama wote

    Baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mbeya wanaomuunga mkono Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu wamewataka wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA Taifa kuhakikisha wanamchagua Lissu kuwa Mwenyekiti wa chama hicho. Wamedai kuwa Mwenyekiti wa sasa...
  2. JamiiForums Tanzania ATT: Ombi maalum kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Please, Please msiwafukuze Lema, Lissu na Heche CHADEMA hii ni kwa faida yenu na Taifa letu

    == Chonde chonde waheshimiwa wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Taifa kwa unyenyekevu mkubwa tunawaomba sana kamwe msiruhusu Freeman Mbowe ashinde kwani madhara yake ni makubwa sana kwa chama na Taifa sijui kama mnalifahamu hili vema Viongozi wangu, Kwanza, Kumchagua Mbowe ni sawa na kusema...
  3. JamiiForums Tanzania Natamani CHADEMA wafanye uchaguzi kila mwaka. Kuna mengi sana yanaendelea chaman hatujui

    Yani mpaka rahaaa Tundu Lissu anamwaga dhahaabu, Dk silaaaa anaharibuuu kabisaa Kulee Lemaa anashtua taifa na wake zao 19 WA wakubwaaa Yaani natamani kuonana uchaguzi inajirudia kila Mwaka Naamini. KUNA Siri nyingi sana watuu wamezivumilia ndani ya chama sasa wameamua kumwaga ya moyoni...
  4. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa CHADEMA unaakisi uchaguzi wa Harris Kamala na Trump utaisha kama sinema

    https://www.yahoo.com/news/american-battleground-single-state-took-120042230.html
  5. JamiiForums Tanzania Kwa kuzingatia hotuba ya Lemma leo, uchaguzi mkuu wa chadema utagubikwa na fujo na vurugu kubwa. Busara ya Msajili wa vyama inatakiwa kuusogeza mbele

    Hii ni tathmini yangu ya haraka haraka. Kuna fukuto kubwa sana na bifu kubwa sana kati ya wanachama na viongozi wa chadema. Natabiri vurugu kubwa sana ambayo kama Ubungo Plaza watakubali kuwapa ukumbi chadema, basi wajiandae kwa lolote litakalotokea, vinginevyo Chadema waweke dhamana ya fedha...
  6. JamiiForums Tanzania LEMA: Baadhi ya wabunge kati ya 19 ni wake wa viongozi wakuu wa CHADEMA

    “Unawezaje kwenye meza kuu Mwenyekiti unakaa na manaibu Katibu wakuu wawili ambao wake zao ni sehemu ya wabunge 19 waliopo bungeni, halafu Msigwa akawa hatari, mimi niliongea Mtwara kuwa wanapaswa kujiuzulu msitupe ugumu wa Maisha, haiwezekani wawe wanaanda nyaraka za Ushahidi za Kwenda...
  7. JamiiForums Tanzania Baada ya Nyerere kuighafirisha TANU mwaka 1967, Inawezekana Tanzania ikapata zawadi ya chama makini zaidi baada ya uchaguzi wa CHADEMA

    Historians wanalijua hili. The glory of Tanzania ilikuwa kabla ya mwaka 1967 ambapo kwa mara ya kwanza nchi yetu ilipata chama makini chenye watu Makini kilichojulikana kwa jina TANU. Kwa ukanda huu wa Afrika hakukuwa na chama makini kama TANU chini ya Mwenyekiti Julius Kambarage Nyerere na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Shairi la kuwaaga Lissu, Heche na Lema CHADEMA

    Walikuwa mashujaa, sauti za upinzani, Heche, Lissu, na Lema, majina ya matumaini, Walilia haki, wakapigania usawa, Leo wameondoka, mioyo imejaa maswali na uchungu wa ndani. Ni uchaguzi wa ndani, si vita vya umoja, Lakini kilichobaki ni majeraha ya mioyo, Je, ni hasira ya kushindwa au dhoruba ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Chadema wamemtenga Professa Abdallah Safari kwa wazee watakaosimamia uchaguzi?

    Professa Safari ni mwanachama wa Chadema, aliwahi kuwa makamu mwenyekiti wa chama hicho, ni bingwa sheria, mwanasiasa mkongwe anayezijua siasa za upinzani, lakini ametoswa kwenye kamati ya wazee ya chama hicho.
  10. JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Hisia zangu naona Soka hayuko hai, ameuawa

    Godbless Lema amesema kuwa hana taarifa zozote kuhusu Soka, lakini hisia zake zinaonyesha kuwa Soka hayuko hai. Alisema: "Sina taarifa zozote lakini hisia zangu zina nambia Deus Soka hayuko hai, ni bahati mbaya sana kuwa na hisia hizi, hakuna Serikali inaweza kumshikilia mtuhumiwa mtoto kama...
  11. JamiiForums Tanzania Benson Kigaila ndie kiongozi pekee wa kizalendo CHADEMA atakayeidhibiti na kuinusuru CHADEMA

    Amefanya kazi nzuri sana pale BAZECHA na anaendelea kufanya kazi nzuri zaidi pale BAVICHA. Ni matumaini ya kila mwanachadema mzalendo kwamba, the field marshal matonya engr. Benson Kigaila hatakosea BAWACHA na kamati kuu kama kawaida yake, and the mission will be successful completed. kibaraka...
  12. JamiiForums Tanzania Hotuba ya John Pambalu kwenye Uchaguzi wa BAVICHA ni Ishara Vijana wa CHADEMA choka Mbaya

    Ukisikiliza quotes za kujifariji za kijana wa CHADEMA John Pambalu kwenye Uchaguzi wa BAVICHA, inaonesha hali mbaya sana ya hawq vijana wa CHADEMA anafanya quotations za watu maarufu ambao kwa sasa wako kuzimu na hawewezi kumtia tumaini lolote huku dubwana na beberu Mbowe likiwa meza kuu...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu amesema ni kifo au kufukuzwa ndio vitamtenganisha na chama hicho

    Kuhusu kuendeea kusalia ndani ya Chama endapo atashndwa Uchaguzi Januari 21, 2025 "Nitakua Mwanachama, nitaendelea na mapambano kama Mwanachama (kwanini atabaki Chadema)...kwasababu najua mamilioni ya Wanachama na Wafuasi wa CHADEMA wanataka mabadiliko kwahiyo nitaendelea mapambano ndani ya...
  14. JamiiForums Tanzania Unamshauri Tundu Lissu ajiunge na chama gani ikiwa atashindwa uenyekiti Taifa CHADEMA?

    Kwasababu ni wazi, mpaka sasa matumaini hakuna tena, Tundu Lisu amekata tamaa kabisa. Nguvu ya kisiasa, uwezo wa kiuchmi na ushawishi wa hoja wa chairman mbowe kwa wajumbe hauzuiliki kabisaa wala hayupo wa kudhoofisha. Na kumbuka, Tundu Lisu mpaka kuamua kugombea uenyekiti na kuacha umakamu...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Angalizo la usalama: Hala Hala kabla ya Hatari, "Johh Pambalu aongezewe ulinzi!"

    Wametekwa kina Maria, Kibao, Soka, Kipanya na wengi wengine. Kwa hotuba hii ya John Pambalu: Bila shaka ujumbe utakuwa umewafikia akiwamo mwamba, wazi wazi kuwa: "Pesa kitu gani?" Kwamba, pesa makaratasi! Wanadhibitiwa vipi wasionunulika hawa? Kwani Lissu kushambuliwa suala la kutofika...
  16. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chadema Njombe: Nahisi CCM wana tawi lao huku

    Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Njombe, Rose Mayemba amesema anahisi CCM wana tawi lao CHADEMA. Kupitia mtandao wa X mwenyekiti huyo amenukuliwa akisema "Kwa fedha nilizoshuhudia zikimwagwa USIKU kucha,nikikumbuka fedha zilivyokuwa zinamwagwa Njombe, naanza kuhisi CCM wana tawi lao huku kwetu"
  17. JamiiForums Tanzania Thamani Kuu ya Tundu Lissu ndani ya CHADEMA ni Ipi Kati ya Uwezo wa Uenyekiti wa chama au Uwezo wa kukipeleka chama Ikulu 2025 ?

    Wanabodi, bandiko hili ni bandiko la swali kuhusu uwezo, ability,na uwezekano wa kuwezekanika,yaani capability ya umuhimu mkubwa zaidi wa Tundu Lissu ndani Chadema,ni uwezo wa uongozi kama mwenyekiti wa Chadema kuiongoza Chadema kuwa chama imara kuweza kuipumzisha CCM na kuiingiza Chadema ikulu...
  18. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni Mtu Sahihi kwenye mapambano ya Katiba mpya: CHADEMA msituangushe, ni wakati wa mabadiliko ya kweli

    Kwa sasa nchi ilipofika bila KATIBA MPYA, ni tunapoteza muda. Huu sio wakati wa kuongoza nchi kwa busara za wazee ambao wengi wao ni marehemu. Ni muda sahihi wa REFORM ya katiba na katika hili hatuhitaji busara bali katiba mpya ! Mtu pekee atakaeweza kusimamia mapambano ya Katiba mpya ni...
  19. JamiiForums Tanzania Kinachotokea CHADEMA Kamwe hakiwezi kutokea CCM

    CHADEMA kutokana na uimara wake ndiyo maana inapitia hii misukosuko ya kiuchaguzi na itavuka salama. Ila kwa kuwa CCM ni chama dhaifu kinachotegemea dola kujiendesha, hakiwezi Kamwe kupitia njia hii ya kidemokrasia inayopitia CHADEMA. Unaweza kuwaza Majaliwa Kassim aseme hadharani kuwa na yeye...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Kuna fedha chafu zimeingizwa CHADEMA ili tulegeze msimamo

    Wakuu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa na Mgombea wa Uenyekiti, Tundu Lissu kwenye mahojiano na Wasafi Media amesema; "Nachotaka kusema ni kwamba Uchaguzi huu kumekuwa na fedha nyingi sana..sana, ambazo wala sio za CHADEMA, (lengo la fedha hizo) ni kuhakikisha kwamba CHADEMA inakua na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…