chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT, CHADEMA, CHAUMMA, CUF na NCCR- Mageuzi kufanya mazungumzo ya kuungana ili kuikabili CCM

    Chama cha ACT Wazalendo kimesema kuwa kimeshafanya mazungumzo na vyama vingine vya upinzani kwa lengo la kuungana na kuikabili Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi ujao. Kauli hiyo imetolewa Februari 9, 2025, na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, alipokuwa kwenye mkutano katika...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: CHADEMA wakitaka kufanya fujo wanachukua vijana kutoka Tarime

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema ni marufuku kwa vyama upinzani kuwatumia vijana kutoka mkoani Mara kama nguvu kazi ya kufanya vurugu katika maeneo mbalimbali. Soma: Wasira: Watanzania hawana sababu ya kuichagua CHADEMA Amesema CCM inamipango...
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA haina katibu mwenezi?

    Hivi mheshimiwa Lissu chama anakiendesha vipi? Katibu mwenezi mwenyewe? Mbona mambo yanaaza kuharibika mapema mno? Kama ndani ya chama yupo mwaka 20 kama kiongozi wa juu, inafika mwezi anashindwa kuchagua uongozi uliotimia au haamini watu ndani ya CHADEMA? Mbowe hayupo tena kwa kumbebesha...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Uchaguzi wa CHADEMA, viongozi wa kitaifa waligawana fito

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema chama hicho kimedhamiria kuleta mapinduzi katika maisha ya wananchi huku akitumia vijembe kwa Chadema kuwa katika uchaguzi wa viongozi wa kitaifa waligawana fito. Soma Pia: Wasira: Watanzania hawana sababu ya kuichagua...
  5. JamiiForums Tanzania CCM Midomoni, CHADEMA Moyoni

    Sina mengi jionee mwenyewe.....
  6. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ndani ya mioyo ya CCM, siasa si ugomvi. No reforms no election inatuhusu sote!

    Kwa hali hii: Sote ni ndugu kwa nini tusiwe na agenda moja za haki? Duniani sote wapita njia.
  7. JamiiForums Tanzania Mbowe waombe radhi wana CHADEMA, bado wana makovu moyoni

    Wasalaam. Ni kawaida katka nchi yoyote ile duniani kuwa na majasusi wa kufanikisha mikakati na malengo ya nchi husika. Halikadhalika katika vyama vya siasa vyenye malengo ya kushika dola kuna majasusi kuhakikisha malengo yanatimia. Inasikitisha kwa miaka 20 mh mbowe amekua jasusi wa ccm ndani...
  8. JamiiForums Tanzania Ezekiah Wenje ana sifa zote za kuendelea kuwa Mwanachama wa CHADEMA, akifukuzwa na Mbowe afukuzwe

    Si Lissu, Heche Wala Mbowe wote walipata baadhi ya fedha zao toka kwa wadau mbalimbali ikiwemo Viongozi wa CCM, Hivyo Wenje pia alipata ufadhili hivyo hivyo kwa hiyo kama ni kosa wengi wametenda kosa hilo hivyo asamehewe na kazi iendelee Mambo ya Uchaguzi yaachwe hivyo hivyo na yabaki kuwa ni...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ezekia Wenje aibuka baada ya kudaiwa kuitosa CHADEMA: Nimepigana vita vingi, kushinda na kushindwa ni sehemu ya Safari

    Mwanasiasa na aliyekuwa mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Ezekia Wenje, ameweka wazi msimamo wake kuhusu siasa za chama hicho baada ya uchaguzi, akisisitiza kuwa bado yuko ndani ya CHADEMA na hana mpango wa kuhama. Kupitia ujumbe wake X (zamani twitter) Wenje amesema: "Nimepigana...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kanda ya kati yadai walimu walipewa hela kushiriki sherehe za CCM

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kati, kimekemea vikali kitendo kinachodaiwa kufanywa na Maafisa Elimu cha kuwalazimisha walimu kwenda kushiriki sherehe ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani Dodoma tarehe 05 Februari 2025. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma...
  11. JamiiForums Tanzania Itoshe kusema CHADEMA inapendwa, tazama vaibu la Wanawake wa Nkasi wakijiandaa kwa Siku ya Wanawake Duniani

    Wakuu Itoshe kusema kuwa CHADEMA inapendwa, jambo linalodhihirishwa na hamasa kubwa ya wanawake hawa wa Nkasi, Kasikazini, katika Kata ya Kirando wakijiandaa kwa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani itakayofanyika Jumamosi, Machi 8, 2025. Soma, Pia: Siku ya Wanawake Duniani watumishi...
  12. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Golugwa asema Uimara wa CCM ndani ya miaka 48, CHADEMA wajipange na vyama vya upinzani vimeshindwa kusimamia masuala ya msingi yanagusa watanzania

    Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiwa na historia ya miaka 48 ya uimara, umoja, na mafanikio makubwa, kimeendelea kuwa mwamba wa siasa za Tanzania huku kikijipambanua kama kiongozi wa maendeleo na mshikamano wa kitaifa. Kwa upande mwingine, vyama vya upinzani, kama CHADEMA, vimeonekana mara kwa mara...
  13. JamiiForums Tanzania Magari ya kukodi

    Kodi gari lenye uhakika na Rhond's company limited linalofaa kwa mahitaji yako yote ya kusafiri. πŸ“… Yanapatikana sasa – weka oda mapema uhakikishe tarehe zako! βœ… Bei nafuu βœ… Magari masafi na yanayotunzwa Piga simu/WhatsApp +255 655 633 302
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Steven Wassira aelimishwe kwamba majukumu ya Makamu Mwenyekiti wa CCM siyo kutukana CHADEMA

    Haiwezekani kwa mtu mzima sana kama Wassira kujikita kushambulia na kutukana Chadema, bila shaka aweza kuwa amepoteza Kumbukumbu na kusahau Majukumu ya kikatiba yaliyoainishwa yanayohusiana na Cheo alichopewa. Kuna haja ya kumuelimisha ikiwa bado ubongo wake unaweza kutunza kumbukumbu, maana...
  15. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Millard Ayo amechapisha taarifa inayosema CHADEMA kushindwa uchaguzi mkuu 2025 kwa sababu ya migogoro

    JamiiCheck tafadhali mtusaidie kupata uhalisia wa hii ===== πŒπ€π‘πˆπ€ π’π€π‘π”ππ†πˆ : π‚π‡π€πƒπ„πŒπ€ πŠπ”π’π‡πˆππƒπ–π€ π•πˆππ€π˜π€ π”π‚π‡π€π†π”π™πˆ πŒπŠπ”π” 𝐖𝐀 2025 Mwanaharakati Maria Sarungi ametoa maoni makali kuhusu mustakabali wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025. Kupitia mtandao wa X...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Picha zinajieleza CHADEMA Vs CCM

    CCM vs CHADEMA. Picha ipi hasa imeelekea kuongoza nchi kwa amani. Utulivu? CCM wamekalia hasa kiongozi uongozi, picha inajieleza, pia hekima na busara uongozi wa CCM CHADEMA ya Lissu imeelekea uharakati harakati zaidi na kukosoa kosoa. Katika suala la kujenga amani nchi yetu CHADEMA ya Lissu...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mrisho Gambo: CHADEMA Wakisusa, sisi twala

    Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, amesema kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya "No Reform, No Election" inaonesha dalili za woga, akisisitiza kuwa CCM ina uzoefu wa kushinda hata pale upinzani unapogomea uchaguzi. Akizungumza Februari 4, 2025, katika maadhimisho...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Nimejisikia Fahari kusalimiana na viongozi mbalimbali wa CHADEMA Mjini Bagamoyo Wakati natokea Kidomole shambani!

    Kiukweli CHADEMA hii imenikumbusha ile CHADEMA ya akina Mzee Shanga 1993 Sema Hawa ni Vijana Watupu very strong Nawatakia Kila la Kheri safari ni Hatua Mlale Unono πŸ˜€
  19. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi mpya CHADEMA wavuruga pesa

    Kwanini kikao kisifanyike makao makuu? Badala ya kufanya Bagamoyo?
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kumekucha CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu Lissu waanza kazi rasmi

    CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu Lissu, Waanza kazi rasmi. Wajipanga na kujikoki kwa uchaguzi ujao. Pia soma: Pre GE2025 - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5% Bon yai na Sugu mambo ya kususa na manung'uniko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…