chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Prof Jay, Umejenga jina lako kubwa ila unaenda kuharibu legacy yote kwa kukosa maono hasa ukijiunga na G55

    Watu ambao mpo karibu na Prof Jay jaribu kumuongoza Vyema huyu Kijana . Maana watu hasa wapinzani walijitoa Sana kwako. Unaposema utaingia katika uchaguzi bila reform je umetazama mbele na ustawi wa Taifa lako? Najua yawezekana nyie G55 mpo kimkakati na mmesha hakikishiwa usalama wa kesho...
  2. JamiiForums Tanzania G55 ni tawi la covid19, CDM halisi kuweni macho

    Hawa G55 kwa mtazamo wangu ni cdm maslahi kama walivyokuwa covid19, cdm halisi wanapaswa kuwa macho. Magroup haya mawili yalikuwa ndani ya cdm kusaka maslahi binafsi, na kiongozi wao mkuu alikuwa Mbowe. Haya ndio magroup yaliyowaleta wanaccm wasaka madaraka ndani ya cdm in the likes of Lowassa...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vita ndani ya CHADEMA imeanza rasmi

    Baada ya Uchaguzi wa Mwenyekiti Chadema na kumpaata Mshindi Ndg Tundu Lissu alieshinda kwa ushindi mwembamba Dhidi ya Freman Mbowe Mwenyekiti wa Muda Mrefu ( M7 )watalaam wa siasa walionya mpasuko mkubwa kutokea Lissu bado ajue 47% kwenye Chama chake awapo upande wake na wengi wao ndio...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Jicho langu: Ya bodi ya ligi (TPLB) Yanaweza tokea CHADEMA!

    TPLB ilihairisha mchezo wa Simba na Yanga Kwa kusema wataupangia tarehe nyingine, cha ajabu kuchelewa kwao kutangaza tarehe yameibuka ya kuibuka! Nafananisha haya na yanayoendelea CHADEMA na kundi linalojiita G55. Nionavyo Mimi hawa ni VIVURUGE tu! Nasema ni VIVURUGE Kwa sababu Kwanza ata Hilo...
  5. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hakuna Watia Nia Waitwao G55, Watia Nia Wote Halali Wakubali Kwa Kauli Moja Kuweka Nguvu Kwenye NO REFORMs NO ELECTION

    Kuna habari zinasambaa eti kuna watia nia wa kugombea ubunge kupitia CHADEMA wanajiita G55, na wanadai kuwa wapo watia nia 200. Hawa watu ni waongo na matapeli. CHADEMA wana utaratibu wa kuwatambua watia nia kwa ngazi zote. Utaratibu wenyewe ni kama ifuatavyo: 1. Kwa ngazi ya ubunge, mwenye...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Unaishauri CHADEMA ifanye nini kujinasua kwenye mkwamo huo wa ndani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba?

    Tangu uongozi mpya wa chadema kushika hatamu, pamekuwepo na muendelezo wa uhasama wenye sura ya visasi na kushughulikiana kisiasa, ambao pia ulijidhihirisha kwenye kampeni za uchaguzi wao wa ndani.. Kwa maoni yako kama mdau wa siasa za Tanzania, unadhani ni nani hasa ndie mchochezi wa...
  7. JamiiForums Tanzania CCM ina muhitaji Mbowe sana CHADEMA kama ilivyofanya kwa lipumba kwa CUF

    Kila kukicha au dakika hapa JF ni mada ambazo utolewa na wanaccm wakijua undani wa Mbowe kuliko wa wasira,nchimbi wala yule CPA makala. Lengo lao ni lipi na kwa nini wasijadili kuhusu watu wao CCM ambao wamefikia hata kukosa mvuto ndani ya chama na kukomalia swala CHADEMA zaidi.
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 TUNDU LISSU, wewe ni mwanasheria, Watia Nia G-55 Si lazima wagombee kupitia CHADEMA, wanataka kulitumia jina la chama Kwa Masilahi yao, WAFUKUZWE

    Vyama Nchi hii ni zaidi ya 10, Mkutano Mkuu ulikubali No Reforms, No Election. Inawezekana Mwenyekiti Mbowe na Genge lake walikua wanafanya Siasa za udalali Kwa Lengo la kuwafanya CCM wapandishe DAU zaidi . Kwa Lugha nyingine, zile kelele za kukushambulia huku Mbowe akisifiwa na kumwagiwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanaotaka kukwamisha operation ya chama ya "No Reforms no Election" wanaharibu Legacy ya Freeman Mbowe

    Katika operesheni za mwishonimwishoni chini ya uongozi wa Freeman Mbowe kama mwenyekiti wa chama ni hii operesheni ya No Reforms no Election. Operesheni hii ilipitishwa na vikao vyote vikuu vya chama kuanzia kamati kuu hadi mkutano mkuu Taifa, tena chini ya uenyekiti wa Mbowe. Kinachoshangaza...
  10. JamiiForums Tanzania Ni zipi hasa sababu za kwanini Tundu Lissu haaminiki ndani ya CHADEMA na katika siasa za Tanzania?

    Ni kwasababu hana misimamo wenye tija kwa wanachadema, hawezi kujitegemea katika kujikimu, hana pesa za kampeni kuelekea uchaguzi, hana sera na wala hana malengo na mipango mikakati ya kisiasa inayowashawishi na kuwavutia wananchi wengi zaidi kumuunga mkono? Halafu my friends, ladies and...
  11. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Freeman Mbowe akitangaza agenda ya No reform No Elections, G55 Wanadhihirisha ule ulikuwa ni mchezo wa maigizo wa Mbowe

    Kuna wakati Watanzania tunaanza kuamini Freeman Mbowe alizungukwa na vijana hatari sana huku yeye akila na kulala nao. Kama wanavyojitambulisha hawa vijana wanaojiita G55 ni vijana toka team iliyojitanabaisha kuwa ni team Mbowe wakati wa Uchaguzi wa ndani ya CHADEMA mapema mwaka huu. Kama...
  12. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni yapi matumaini ya watia nia wa CHADEMA?

    Kampeni ya No Reforms, No elections imepata upinzani ndani na nje ya chama cha Chadema. Ndani ya Chadema, kuna kundi ambalo linaona kabisa kuwa kampeni hii itawatoa kwenye malengo yao ya kisiasa na hivyo kumshinikiza mwenyekiti wao TAL pamoja na makamu mwenyekiti waachane na msimamo huo ili...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Ni nini mateokeo ya chadema kutoshiriki uchaguzi mwaka huu?

    Chama kikuu cha upinzani, Chadema bado kinaendelea kusimamia ajenda yao ya No reforms, No elections ambayo ina lengo la kuitaka serikali kufanya mabadiriko kwenye sera na kanuni za uchaguzi mkuu. Vyama vya upinzani vimekuwa vikilalamikia sera ya uchaguzi kutotoa uwanja sawa kwa vyama vyote...
  14. JamiiForums Tanzania Wanachama CHADEMA waugomea uongozi wao wa kitaifa, wawalima barua kupinga "no reform no election" Lissu,Heche wakalia kiti moto

    Mbombo ngafu, Lissu na Heche wakalia kiti moto, wapingwa nchi nzima.
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Umaskini wa nchi hii ni wa kutengenezewa na viongozi tulionao

    " Miaka kumi na mbili iliyopita Lindi hii na Mtwara waliambiwa mnaletewa utajiri wa gesi, Miaka kumi na mbili iliyopita walichukuliwa Masheikh hapa, Viongozi wa dini na Maaskofu, wakati ule mimi nilikuwa sijaenda Bungeni. Wakapelekwa Norway, wakapelekwa Malaysia, wakapelekwa na nchi nyingine...
  16. JamiiForums Tanzania Je, Lisu ajiuzulu kuiongoza CHADEMA baada ya agenda yake no reform no elections kukataliwa na kupuuzwa na wanaCHADEMA na wananchi kwa ujumla

    Ni muhimu kuhitimisha kwa kusema tu kwamba, Tundu Antipas Lisu Chadema imemshinda ndani ya kipindi kifupi tu, na kabisa kuna ishara zote kwamba muungwana hatakua na jipya tena ndani ya Chadema baada ya uchaguzi mkuu, zaidi tu ya kuizamisha na kuipoteza tu Chadema mazima kwenye medani za siasa za...
  17. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini ni muhimu kwa CHADEMA kuzui uchaguzi badala ya kususia tu uchaguzi?

    Kuna watu wanajiuliza kwanini CHADEMA wanataka kuzuia uchaguzi wakati hawataki kushiriki huo uchaguzi? Wanajiuliza: Kwanini wasikae pembeni tu wakawaacha wafanye huo uchaguzi? Jibu:Kitendo tu cha kufanya uchaguzi, maana yake ni kuipa CCM uhalali wa kurudi madarakani na kuunda serikali...
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA ya Lissu ilindwe kwa gharama yoyote kwasababu ndio njia pekee ya kuiondoa CCM kinyume na hapo watakaopoteza sio CHADEMA ni Watanzania

    Watanzania wanatakiwa wafahamu kina LISU, Heche, Mnyika nk hawana cha kupoteza hata CHADEMA ikifa leo. Watakaopoteza na kula hasara ni watanzania. Madhila yote yanayowapata sasa Watanzania chanzo ni CCM. Sasa LISU ndio muarobaini wenyewe ulioletwa na Mungu baada ya kumuokoa na Yale mauwaji...
  19. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 G 55 wasikilizwe na wao wawe na dhamira njema ya kutokiua chama

    Hali hii siyo nxuri G55 imeundwa kwa convenience ya kuendeleza maumivu na kubomoa chama. hapa hakuna nidhamu ingawa wana haki ya kusikilizwa na kisha warejee kwenye vikao halali vya kamati kuu, Baraza kuu na Mkutano Mkuu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  20. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Ponyeni majeraha vinginevyo mmekwisha

    Ukichunguza kwa kina kuna tatizo ndani ya chama. Na hii ni kutokana na Mbowe kuwa kimya tangu akabidhi chama hicho. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…