chadema kushiriki uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    GE2025 Wenje: Sikuwahi kujua kuwa CCM ni Chama chenye ushawishi Mkubwa Barani Afrika

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Nyamagana na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje ameeleza sababu ya yeye kuhamia Chama Cha Mapinduzi(CCM)ambapo amesema kuwa hakuwahi kujua kuwa CCM ni Chama chenye ushawishi Mkubwa Barani Afrika Akizungumza na Wasafi Media katika uwanja wa Shule ya...
  2. GENTAMYCINE

    GE2025 Kauli ya Andrew Nyerere juu ya CHADEMA isilazimishwe kuwa kauli ya Familia ya Mwl. Nyerere japo kuna ukweli kuwa Demokrasia iko ICU!

    Namheshimu sana na mno Kaka Andrew Nyerere na nimeuheshimu Mchango wake ila sikubaliani nae kwa 100% kumzuia Rais Samia asiende Kuzuru Kaburi la Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere. Ni kweli kabisa kuwa Demokrasia kwa sasa nchini Tanzania iko mahututi ICU na Serikali ya CCM chini ya Rais Samia...
  3. Carlos The Jackal

    GE2025 Andrew Nyerere ampiga marufuku Rais Samia kuzuru kaburi la Hayati Mwalimu Nyerere kutokana na CHADEMA kutoshiriki uchaguzi

    Mtoto Mkubwa wa Nyerere, Andrew Nyerere Kwa niaba ya Wanafamilia, amechukizwa na Kitendo Cha Mahakama kutoitendea Haki CHADEMA. Andrew Kambarage Nyerere Asante umenyooka kama ilivyo! Tatizo hawa viongozi wa sasa wanataka kutumia legacy ya Mwalimu Nyerere kama hirizi iwakinge na hasira za...
  4. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 Msajili wa vyama vya siasa akiri kupokea barua ya CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu 2025

  5. Huihui2

    SI KWELI PreGE2025 CHADEMA imetuma maombi kushiriki uchaguzi

    Heche kweli kichekesho! Kila siku makelele kama generator ya kijijini, kumbe walikuwa wanapiga porojo tu! Walisema hawashiriki uchaguzi, leo wanatuma maombi kwa mbwembwe. Wanafiki wakuu, walitaka huruma kumbe walikuwa wanatafuta nafasi! Acheni maigizo, wananchi si wajinga.
  6. Zee la madawa

    SI KWELI PreGE2025 CHADEMA yathibitisha kushiriki uchaguzi

    Kuna pahali nimeona chadema itashiriki uchaguzi je habari ni ya kweli?
  7. Waufukweni

    PreGE2025 Mwenyekiti INEC: Tafsiri ya mwisho kuhusu Chadema kushiriki uchaguzi ni ya Mahakama

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji Jacobs Mwambegele amesema kilichozungumzwa na tume hiyo ni tafsiri yao na kama Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wanatafsiri tofauti basi mtafsiri wa mwisho wa mambo hayo ni mahakama. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
  8. Mshana Jr

    PreGE2025 CHADEMA haitoweza kushiriki uchaguzi ndani ya miaka mitano ikiwemo wa mwaka huu

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima amesema Chadema ambayo haikusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, haitashiriki Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu na chaguzi zote ndogo zitakazofuata kwa muda wa miaka mitano. Kanuni hizo...
  9. Crocodiletooth

    Tunavyo vyama vingi, tusiwabembeleze chadema kushiriki uchaguzi

    KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.Emmanuel Nchimbi amesema kuwa ni kosa la kisheria na kikatiba kukilazimisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kushiriki uchaguzi bali kiungwe mkono kwenye msimamo wao wa kutoshiriki.
  10. Roving Journalist

    PreGE2025 Emmanuel Nchimbi: Msiwalazimishe CHADEMA kushiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Nchimbi amesema hakuna mtu anayeweza kuzuia Uchaguzi Mkuu bila kujali nafasi yake, na kuongeza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina haki ya kutoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kuwa suala hilo ni hiyari kwao na hakuna haja ya...
  11. Cute Wife

    PreGE2025 Amani Golugwa: Kuhusu kushiriki zoezi la kujiandikisha uchaguzi iulizwe Tume, hawakujibu barua yetu

    Wakuu, CHADEMA kupitia Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara, Amani Golugwa wamegusia kuhusu zoezi la kujiandikisha na kuboresha taarifa kwenye daftari la mpiga kura ambapo wanasema waliletewa barua na Tume watoe maoni kwenye kanuni kadhaa ambazo walikuwa wamepelekewa na waliijibu tume kwa barua...
Back
Top Bottom