Usajili wa wanachama wapya kwa ile njia ya kisasa iitwayo CHADEMA DGITAL Mkoani Iringa unaendelea kwa kasi ya Kutisha, Lakini bila kelele yoyote ile, ni mwendo wa kimya kimya tu.
Jambo la kufurahisha ni kwamba vibanda vya usajili huo, pia vimekuwa sehemu ya uhamasishaji wa Chanjo ya UVIKO-19