ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania CCM na Magufuli mmejifunza nini?

    Salaam.... Niseme tu kama kuna uchaguzi wa kibabe kuwahi kutokea basi ni huu. Ni mwaka huu ndo nimeiona IDARA ikitoa funzo kubwa sanaaa kwa CCM na baba mkuu... Wengi mtabeza ila ukweli ni kwamba hii naweza kuita oparation kubwa IDARA kuwahi kuifanya pamoja na kwamba imejaa udhaifu ila...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzanians and Diplomatic Community Tools in Legitimization of CCM Selections

    President John Magufuli was inaugurated on Thursday, November 5th as president of the United Republic of Tanzania for a second and final term just days after a chaotic election known in the history of the East African nation. Magufuli won a second term in an election that was marred by violence...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM ni chama makini. Kinapofanya makosa hujitathimini na kujirekebisha na hii ndio sababu ya kupata ushindi mnono

    Iwe ni mtu au taasisi makini lazima inapofanya makosa ijitathimini na kujua ilikosea wapi ili iweze kujirekebisha na kutofanya makosa tena. Ccm kama chama makini kilifanya tathimini na kutambua kuwa kura za maoni huwa ni chanzo cha kushindwa na wapinzani ndio maana safari hii walikuwa makini...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania TANZIA Diwani mteule wa kata ya Kinuni iliyopo Zanzibar, Suleiman Mohamed Hassan afariki dunia

    Diwani mteule wa kata ya Kinuni iliyopo Zanzibar, Suleiman Mohamed Hassan amefariki dunia juzi na kufanya idadi ya madiwani waliofariki dunia baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28 kufikia wanne. Katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi wa CCM kwa upande wa Zanzibar, Catherine Peter Nao amesema diwani...
  5. JamiiForums Tanzania Kauli za Sisi 'Wanasiasa' ndiyo muda mwingine zinatufanya 'Wananchi' wasituamini na waendelee kumpa 'Kura' Rais Magufuli na CCM yake tu

    Kauli ya Mwanasiasa GENTAMYCINE wiki Mbili zilizopita.... "Namalizia Kampeni zangu za Kupambana na Magufuli ila Uchaguzi Mkuu ukiisha tu naenda Kijijini Butiama Mkoani Mara Kutibiwa zangu Kienyeji kutokana na Matatizo makubwa sana niliyoyapata ya Kung'atwa na Mbwa Mkali wa Ziwani na Meno yake...
  6. JamiiForums Tanzania Leo Wapinzani ndio wanaokimbia nchi; lakini muda mfupi ujao CCM wataanza kukimbia pia

    Wahenga wanamisemo mingi sana ya kufundisha, kuonya, kufariji, kukemea na kukupa dira. Miongoni mwa misemo hiyo, Kuna msemo mmoja, "ukiona mwenzio ananyolewa, wewe tia maji". Msemo huo una maana kubwa sana, pia historia ina utamaduni wa kujirudia. Siku za karibuni tumeona viongozi wa upinzani...
  7. JamiiForums Tanzania TANZIA Kibaha Vijijini: Diwani Mteule wa CCM Kata ya Kikongo afariki pamoja na wajukuu zake wawili baada ya nyumba yao kuchomwa moto

    Kibaha. Diwani mteule wa CCM kata ya Kikongo Kibaha vijijini Fatuma Ngozi pamoja na wajukuu zake wawili wamefariki baada ya kuungua kwa moto wakiwa ndani ya nyumba. Nyumba ya diwani huyo imeungua moto usiku wa kuamkia leo Novemba 9, 2020. Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Wankyo Nyigesa...
  8. JamiiForums Tanzania Viti Maalum, CCM - Orodha ya watu 94

    Wabunge wa Viti Maalum 1. Maida Hamadi Abdallah 2. Munde Tambwe Abdallah 3. Rose Vicent Busiga 4. Mwantum Dau Haji 5. Agnes Elias Hokororo 6. Dkt. Christine Gabriel Ishengoma 7. Zainabu Athumani Katimba 8. Fakhari Shomari...
  9. JamiiForums Tanzania Pamoja na ushindi mzito wa CCM: Sisi kama Watanzania tunapaswa kutafakari kwa kina juu ya hili

    Tanzania ni moja ya Nchi ambayo baada tu ya Uhuru ilifanikiwa kujenga msingi Imara wa kiutawala kupitia TANU na baadae CCM. Msingi ambao unaifanya Tanzania kuwa moja ya Nchi chache Barani Afrika zenye uimara wa hali ya juu kiutawala. Sasa ni miaka 20 tangu mfumo wa vyama vingi uanze, na hakuna...
  10. JamiiForums Tanzania CCM na Yanga SC: Si mmevuna mlichotaka iweje mnateseka? Tuacheni tupumzike kidogo

    Humu JF saivi kuna trend za thread za WanaCCM na wana Yanga ambazo lengo sio kushangilia ushindi waliopata Bali ni kujaribu kuwasihi wale waliowaonea wakubaliane na matokeo Mfano wa hizo thread ni Mzee shomari--------- Mzeee mgaya anasema---- Hanspope sio ----------- Marefa wa Bongo ----...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM ndio wanalia CHADEMA wapeleke Wabunge wa Viti Maalum na si CHADEMA wenyewe?

    Habari Kila mmoja wetu ni shahidi kwamba tangu alipoingia madarakani bwana John Joseph pombe magufuli kauli zake na vitendo vyake ilikuwa ni kuua upinzani hasa CHADEMA. Tumekuja mpaka 2020 kwenye uchaguzi mkuu tukashuhudia ambayo kila mmoja wetu anajua pamoja na kauli tata kwamba wapinzani...
  12. JamiiForums Tanzania Sabubu za CHADEMA kushindwa Uchaguzi Mkuu na Sababu za CCM kushinda Uchaguzi Mkuu 2020

    KWANINI CCM WAMESHINDA, NA WAPI WAPINZANI WAMEJIKWAA. TATHIMINI INALETWA NA DON NALIMISON. 1. KWANINI CCM WAMESHINDA? Tuangalie pande mbili Chanya na Hasi. Tuanze na MATOKEO Chanya: CCM ndio Chama kinachoshika Dola na hata Uchaguzi umefanyika TUME ya Uchaguzi ikiwa chini ya Dola ya CCM...
  13. JamiiForums Tanzania Joe Biden achaguliwa kuwa rais wa 46 wa Marekani

    Ushindi wake unakuja baada ya kushinda kwa kishindo jimbo la Pennsylvania. Anakuwa Rais wa kwanza kuingia Madarakani akiwa na umri mkubwa (miaka 78). Pia, Marekani imepata Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke, Kamala Harris...
  14. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini mlioisapoti CCM naona sasa akili na mioyo yenu imetulia baada ya sauti kuu za mawazo tofauti na CCM kuondolewa bungeni

    Viongozi wa dini wa aina ya shehe wa Darisalama Alhadi Musa Salum, Kadinali Pengo, Gwajima nk. Naona Sasa mioyo yenu imetulia mmepata amani ya moyo baada ya mlichokipambania kutimia. Naona baada ya kuhakikisha kuwa upinzani makini umekufa mioyo yenu imetulia sasa mnajiandaa kula matunda ya...
  15. JamiiForums Tanzania TANZIA Geita: Madiwani wawili wateule wa CCM wafariki dunia

    Haya sasa, uchaguzi mdogo kabla hata ya uapisho. --- Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Geita kimepata pigo baada ya madiwani wake wawili wateule kufariki dunia kwa nyakati tofauti wakati wakipatiwa matibabu katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumamosi...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Zanzibar mnapaswa kudai utaratibu ndani ya CCM wa angalau Naibu Spika atoke Zanzibar ikiwa Spika ni wa kutoka bara

    Kuna mambo yanaweza yakawa hayako kwenye Katiba, lakini yakawekwa kuwa uratatibu unaokubalika. Kwa mfano, ni utaratibu wa CCM kumwachia Rais kutoka CCM kugombea awamu ya pili ya Urais bila kumpinga. Hilo haliko kwenye Katiba ya CCM lakini limekubalika kwa watu wa CCM. Kwa msingi huo basi...
  17. JamiiForums Tanzania CCM yampendekeza Ndugai kuwania nafasi ya Spika na Dkt. Tulia kuwania Unaibu Spika katika Bunge lijalo

    Kamati Kuu ya CCM imempendekeza Job Ndugai kuwa mgombea wa nafasi ya Spika wa Bunge lijalo la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Dk Tulia Ackson akipendekezwa kwa nafasi ya Naibu Spika
  18. JamiiForums Tanzania Wagombea wa Uspika na Naibu Spika kupitishwa leo na Kamati kuu ya CCM

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo inatarajia kufanya kikao chake jijini Dodoma kwa ajili ya kupitisha jina la atakayegombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania na naibu wake. Kwa mujibu wa Katiba ya CCM kifungu cha 104(h), kamati hiyo ina jukumu la kufikiria na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu huu, CCM wameshinda pambano ila wamepoteza vita

    Uchaguzi umepita, ila consequences za Uchaguzi huu zitaathiri Nchi hii na Chama cha Mapinduzi kwa miaka mingi sana ijayo kwa maoni yangu binafsi CCM imeshinda pambano (japo kwa umafia wa kila aina) lakini imepoteza vita pana, kitu ambacho kitaiathiri Chama hicho na Nchi kwa miaka mingi sana...
  20. JamiiForums Tanzania Taswira ninayoiona ndani ya CCM baada ya uchaguzi hadi kufika 2025

    Kwenye uchaguzi uliofanyika 28/Oct kweli nilikua natarajia Magufuli atashinda japo siyo kwa % nyingi kama alizokua anatamka Polepole na zilizotangazwa kumpa ushindi. Hivyo sijaona maajabu hapa kwa Urais wake labda hizo 84% tu. Zile nafasi za wabunge waliopita bila kupingwa majimbo 28 zilikua ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…