ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania CCM waliomba kanisa Katoliki kuwaleta CHADEMA katika meza ya maridhiano!

    This is very ridiculous.. Kumbe wanajua fika kuwa bila CHADEMA, hakuna kitu kinachoitwa maridhiano haijalishi watazuga na kujifanya hamnazo kwa kiwango gani..! Hata hivyo, Ts & Cs za kuifanya CHADEMA ikubali kukaa meza Moja na wauaji hawa ziko very clear lakini hawataki kusema kinawashinda...
  2. JamiiForums Tanzania Basil Lema: Adui si CCM, bali ni kikundi kidogo cha watu” wanaonufaika

    Mwenyekiti wa Makatibu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Basil Lema, amesema chuki na migogoro ya kisiasa imekuwa ikitawala siasa za Tanzania, hali inayowafanya Wananchi kushindwa kutambua adui wa kweli. Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana yaliyofanyika Jimbo la Segerea...
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya tamko la maazimio ya kikao kati ya Mababa Askofu na Rais Samia,Sasa nashauri Samia awaite ccm wadai katiba mpya na maaskofu tuiteni Catholics

    Nimefurah SANA Sana kusikia Baraza la Maaskofu kupitia Rais wao Tec akitoa maazimio ya kikao kilichofanyika ikulu ya DODOMA Kwanza nawapongeza maaskofu pamoja na Rais kwa kuridhiana. Dhidi ya waliyoyatamka. Nimefurah kukubaliana yakuwa 1. Wakuu wa VYOMBO VYA majeshi wote wawajibike au...
  4. JamiiForums Tanzania Jamaa amchana Dc wa CCM, hawa ndiyo watu tunawahitaji hapa nchini

    Naogopa mimi kabisa,huyu mtamzania alindwe kwa gharama zote.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Democratic (USA) walitumia mahakama kumthibiti Trump, naye akatumia mahakama kujijenga kisiasa, Akashinda. CCM Jifunzeni

    Wakati mwingine tujifunze kwa mifano hai. Chama tawala cha Democrats 2020 -2024 walitumia mahakama kumwangusha Trump kisiasa. Trump alishtakiwa kesi 4 na mashataka karibu 100. Trump akageuza uwanja wa mahakama jukwaa la kisiasa la kutafuta huruma ya Wamarekani. Trump Akashinda uchaguzi na kesi...
  6. JamiiForums Tanzania CCM , Nionyesheni Picha hata ya Mwandamanaji mwenye Bunduki, aliyeua Watanzania Oktoba 29?

    Kila siku CCM wapuuzi walia liaa, ohooo Kuna watu walilipwa, ohoooo kimeenda kimerudi. Upande wa pili, Watanzania Wana picha mbalimbali za Genge la Mauaji Sasa na nyie CCM, tuonyésheni picha hata Moja tu ya Mwandamanaji akipiga Risasi watu.
  7. JamiiForums Tanzania CCM kama hamtaki kukosolewa vunjeni chama chenu

    Kama hamtaki kuwa chama cha siasa ambacho sifa mojawapo ni kupingwa mitizamo na misimamo yake, basi vunjeni chama chenu ili wenye uwezo wa kuvumilia kukosoana wasonge mbele kuijenga nchi yetu kupitia vyama vya siasa.
  8. JamiiForums Tanzania Shetani amezoea kulaaniwa na haachi uovu wake; vivyo hivyo tunailaani CCM na haitaacha maovu na ukatili wake

    Ifike mahala tuelewe kuwa hili dubwasha CCM limeishi kinafiki katika miaka yake ya ujana sasa limezeeka limegeuka kuwa shetani. Wanafikia kumdhuru yeyote anayekinyooshea kidole kusimamia ukweli. Wakosoaji wamekuwa wakiokotwa aidha wametteswa au wameuawa. CCM imemeza vyombo vyote vya Ulinzi na...
  9. JamiiForums Tanzania Bila kuiondoa CCM, watanzania msahau kabisa maendeleo.

    Wana JF. Mosi, naomba moderator usiunganishe huu uzi na nyuzi zingine zinazoongelea CCM. Huu ni uzi mahsusi. Facts: 1. Tanzania ni nchi maskini sana katika viwango vya kimatataifa licha ya kujaaliwa na kila aina ya raslimali 2. Uchumi wa Tanzania unadhibitiwa na watu wachache sana licha ya...
  10. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini wasomi wengi nchini Tanzania, husita kujiunga na vyama vya siasa vya upinzani?

    Ukiachilia mbali kukosekana discipline katika kueneza itikadi, sera na agenda za vyama hivyo vya siasa vya upinzani nchini, na pengine utamaduni usio na staha wa uropkaji, kutukana na kuporomosha matusi miongoni mwa viongozi na wafuasi wa vyama vya siasa vya upinzani nchini, dhidi ya wenye maoni...
  11. JamiiForums Tanzania CCM mnachofanya ni Uhalifu dhidi ya uhai wa binadamu kwa mgongo wa Chama cha Siasa

    Uhalifu dhidi ya uhai wa binadamu ni kitendo chochote kiovu kinachokatisha au kuhatarisha maisha ya mtu mwingine kinyume cha sheria na maadili. Vitendo hivi vinasababisha maumivu makubwa, hofu, na kupotea kwa haki za msingi za kuishi. Matendo ya Kuua mtu kwa makusu, Kupiga na kujeruhi watu...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM ilikuwa na mpango wowote wa kujenga refinery ya mafuta?

    Kabla ya Dangote kusema anataka kujenga refinery Africa Mashariki serikali ya CCM katika kile ambacho huita ilani ilikuwa ina mpango wowote wa kujenga refinery au Dangote ndio aliwaamsha wakaona uhitaji wa refinery? Au pia ni kwa sababu jirani ana mpango wa refinery na sisi lazima tujenge...
  13. JamiiForums Tanzania Kada wa CCM, Bakari Kazungu, ambaye amekuwa akikemea uchawa, atekwa na kufanyiwa vitendo vya kikatili

    Bakari Kazungu anadaiwa kutekwa na ‘watu wasiojulikana’ na kufanyiwa vitendo viovu. NOTE: Video imeondolewa ili kuondoa sehemu sensitive na kulinda utu wake Soma machache aliyowahi sema: 1) CDE Bakari Kazungu: CCM ukisema ukweli unaonekana wa ajabu 2) Bakari Kazungu: Acheni kuwasingizia Heche...
  14. JamiiForums Tanzania CCM mtandao wakiona hivi wanapata hofu. Soon watasimamisha mikutano ya Chadema

    Mafisadi wa CCM wanaogopa👇
  15. JamiiForums Tanzania Katibu mpya wa Fedha wa CCM ni Mtanzania halisi? Mbona anaonekana kuzungumza kiswahili kwa tabu

    Nimemsikiliza akiwa katika mkutano wa hadhara wakipokelewa viongozi hao wapya na wanachama wao jijini Dodoma, baada ya kuteuliwa hivi karibuni. Katika mkutano huo alipata nafasi ya kuongea na kuwashambuli viongozi wa vyama vya Upinzani. Hapo ndipo nilipogundua anazungumza kiswahili kama vile...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Evolution of CCM

    Maendeleo ya ukuaji wa CCM yamepitia njia hii kama ilvyooneshwa kwenye picha hapa
  17. JamiiForums Tanzania Mene, Mene, Tekeli na Peresi": Maandishi Ukutani Kuhusu Nyufa na Ugomvi wa Ndani ya CCM

    Mpasuko was chinichini na wa ndani kwa ndani huko CCM kwa sasa unaashiria mwanzo wa dhoruba kubwa ya kisiasa. Kutumia mfano wa kibiblia wa "Mene, Mene, Tekeli na Peresi," ni wazi kuwa "maandishi yapo ukutani" yakionya chama hicho tawala dhidi ya athari za migogoro ya ndani, makundi ya urithi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Katibu wa Idara ya Fedha na Uchumi CCM amtaka CAG kufanya ukaguzi wa fedha za Tone tone za Chadema

    Katibu wa Idara ya Fedha na Uchumi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jamal K. Ali, amemwomba Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi wa masuala ya fedha ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa mujibu wa mamlaka yake kisheria. Akizungumza wakati wa...
  19. JamiiForums Tanzania Nini haswa maana ya kuwa kada wa CCM katika zama za siasa za ushindani wa vyama vingi?

    Leo sitaandika makala ndefu kama ilivyo kawaida yangu. Natamani kupata maoni ya wadau kuhusu mtazamo wao wa ni nini haswa maana ya kuwa kada wa CCM katika siasa za vyama vingi. Nashawishika kuanzisha makala hii kutokana na wito wa baba wa Taifa kuwa kazi ya kutetea maslahi ya Wanyonge wa nchi...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania tumuombee Nchimbi: sasa naelewa mtifuano ndani ya CCM ni ukombozi kwa Taifa

    Nchimbi amekuwa akitoa kauli zinazojitenga na mambo ya aibu na ukatili yanayotendwa na Samia pamoja genge lake Kikao cha Kamati Kuu CCM kilichofanyika Unguja kimevuja kuwa Nchimbi atapelekwa Kamati ya Maadili ya CCM Kumekuwepo na tetesi za kumshinikiza ajiuzulu ili kumpa amani ya moyo nduli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…