ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Kwa sasa imani, matumaini na mapendo ya watanzania wengi ni CCM pekee

    Ndoto, matarajio na matamanio ya Watanzania wengi wa makundi mbalimbali kwa sasa ni katika Chama Imara Sana cha Mapinduzi (CCM). Hii ni kutokana na mipango na mikakati yake katika kuwaongoza, kuwatumikia na kuwaletea Watanzania wote maendeleo. Nchi imefunguka vizuri, biashara imefunguka...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya kufanya utafiti wa kina juu ya rushwa, wizi na ufisadi ndani ya nchi, JPM alitaka kujenga CCM mpya, wazalendo njaa wa upinzani hawakumwelewa

    Iko hivi, nchi hii ili uwe mwizi na fisadi mwenye mafanikio basi ni lazima uwe na mafungamano na chama tawala na serikali yake. Yaani kama uko nje ya mfumo basi hakikisha unakula vizuri na walio ndani, wape 10% zao. Vigogo wa chama na serikali ndio wamehodhi biashara zote kubwa kubwa, na...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Pamoja na mapungufu yake sijaona kiongozi afadhali kwa sasa CCM!

    Hivi karibuni nimekuwa nikipinga sana kushidwa kwa Raisi Samia kwenye kuleta katiba, sheria mbaya ya uchaguzi, uhusiano unao dorora kwa upinzani, mikataba ya sirisiri na kutokutumia nafasi vizuri. Lakini kwa vigogo wa sasa wa CCM na hawa mawaziri wake hakuna mtu hata mmoja ambaye ni afadhali...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla adai CCM haijawahi kuiba kura. Amtaka Tundu Lissu kuacha kutisha Wananchi

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ambaye pia ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA, Pedeshee Amos Makalla mkazi wa Mvomero, Morogoro, ametamka hadharani kwamba tangu enzi na enzi CCM haijawahi kuiba kura, Kama haitoshi amemshutumu Tundu Lissu kwamba aache kutisha na kupotosha Wananchi...
  5. JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu tawi la UDSM kujengwa Chato

    Chato ni sehemu ya Tanzania kama ilivyo Rombo na Bomag'ombe. Kwa nini Makamanda wenzangu mnaichukia Chato? Hi ni moja ya great and tremendous development tuache chuki bana. CCM wanapiga kazi 👇 --- WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewahakikishia wananchi wa wilaya ya Chato mkoani Geita kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Anguko la ANC, CCM hamna muda mrefu, anguko lenu halipo mbali

    CCM haipo mbali na huu ukweli, wataanza kuform serikali ya mseto kisha itaondolewa madarakani. Moja ya matamanio ya Wa TZ ni CCM kuanguka. CCM has proven failures kwenye kila sekta, na for as long as CCM itakuwa madarakani, TZ haitoweza kuendelea kamwe. Samia hawezi kulaumiwa kwa kutokuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Najitahidi walau kufuatilia hili bunge kipindi hiki cha bajeti lakini Wabunge wanakera sana hasa wa CCM

    Yani mtu umeacha mambo yako atleast ufuatilie bunge la bajeti lakini badala yake mbunge anachangia hoja, linatokea limbunge lingine linasema taarifa, mchangiaji anakaa chini spika anampa nafasi mtowa taarifa halafu taarifa yenyewe pumba tupu. Hivi spika haoni kumkarisha mtu chini wakati alikuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi ni Rais gani mstaafu, amekuwa na ujasiri wa kukemea maovu ya CCM hadharani, zaidi ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere?

    Katika kumbukumbu zangu, hakuna Rais mstaafu wa nchi hii ameweza kuwa na ujasiri wa kukemea maovu ya CCM hadharani, zaidi ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere. Mwalimu Nyerere alikuwa na ujasiri wa aina yake, hadi katika moja ya hotuba zake alidiriki kuwaambia CCM kuwa chama hicho siyo mama yake...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa apendekeza kuwe na Midahalo ya Wazi hadi katika ngazi ya Kitaifa ili kupata Wagombea wa kupambana na CCM

    DEMOKRASIA: Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa amesema ili kupata Viongozi wanaoweza kukabiliana na CCM, chama hicho kinapaswa kutumia njia ya Midahalo ya Wazi kupima uwezo wa Wagombea Msigwa ameeleza hayo wakati akizungumza na Wanahabari na kusema "Napendekeza katika ngazi...
  10. JamiiForums Tanzania CCM waanza kuchukua namba za NIDA za wananchi, Msajiri wa vyama vya siasa ameruhusu hili?

    Kuna mjumbe wa mtaa wangu leo aliniambia CCM inaandikisha kadi za chama na pia inachukua namba za NIDA! Nani ameruhusu zoezi hili?
  11. JamiiForums Tanzania CDE. SILAF JUMBE MAUFI, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Rukwa

    CDE. SILAF JUMBE MAUFI, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Rukwa ameanza ziara rasmi akiambatana na Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Rukwa itakayohusisha Mikutano ya ndani na Mikutano ya hadhara kuanzia tarehe 02 - 06 Juni, 2025. Ziara inalenga kukutana na Wajumbe wa Halmashauri Kuu za Kata...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM imsimamishe ndugu Masanja Kadogosa kugombea urais mwakani (2025)

    Imefika wakati kama taifa tuchague watu wenye maono ambao wanaweza kutumia rasilimali za nchi yetu kuijenga nchi yetu. Hakuna sababu yoyote ya msingi inayozuia Tanzania kuwa kwenye orodha ya nchi tajiri duniani. Kinacho kosekana kwetu ni viongozi wenye maono na wazalendo. Baada ya kumchunguza...
  13. JamiiForums Tanzania CCM mbele kwa mbele 2025

  14. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mikutano ya CCM inayoendelea kufanyika kwenye stendi za mabasi ni kinyume na taratibu. Tusigeuze stendi za mabasi kuwa viwanja vya mikutano ya siasa

    Kumezuka mtindo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufanya mikutano ya hadhara kwenye stendi za mikoa za mabasi. Leo katibu mkuu wa CCM ndugu Emmanuel Nchimbi ameongoza mkutano wa hadhara katika stendi ya mabasi mjini Babati mkoani Manyara. Jumatano tarehe 5 CCM wamepanga kufanya mkutano wa hadhara...
  15. JamiiForums Tanzania CCM rudi kwenye misingi, vinginevyo hatuna Tanzania miaka ya mbeleni

    Zanzibar katika mambo yake yote wanzungumzia kuhusu Zanzibar na siyoTanzania bado kuna element ya kufanya mambo yao kama Zanzibar na siyo Tanzania na viongozi wengi wanatamani muungano uendelee ili uwawezeshe kufika mahali ambapo wanataka Zanziber ifike. Muungano huuu meshikiliwa na CCM...
  16. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kulikoni? Wanagawa kadi za chama chao kama njugu mitaani!

    Leo nimepokea mialiko miwili kupitia magroup ya WhatsApp kuniomba niende kujiandikisha na kupewa kadi ya CCM. Mtaa mmoja nimekuta kundi kubwa la vijana wa mitaani waliochoka kimaisha, wakiwa na viongozi wa CCM wenye vitambi wakigawiwa kadi. Pia kuna akinamama wanaosimama njiani kualika wapita...
  17. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CCM mnasikiliza na kutatua kero au matatizo ya wananchi?

    Kero ni ile hali ya maudhi madogo madogo na mara nyingi kwa mtu binafsi au kikundi kidogo tu cha watu. Mfano wa kero inaweza kuwa jirani yako anayefungulia mziki mkubwa unaoleta usambufu kwa majirani wengine, mlevi anayetukana hovyo mtaani, kuachwa na mume bila kupewa mali stahiki, mwenyekiti wa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Maigizo ya Balozi Dkt. Nchimbi kwenye mikutano yake yanakidhalilisha chama, abadilishe mapigo kidogo

    Balozi Dr Emmanule Nchimbi kama mwanasiasa mbobevu ndani na nje ya Tanzania sikutegemea kama angefanya matukio ya kuigiza kwenye kila anachodai ni kusikiliza kero za Wananchi. Kwanza ifahamikw kwamba Kero na shida za Wananchi zinajulikana kazi walioshindwa Chama na serikali ya ccm ni kuzitatua...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi: CCM ikitikisika hakuna Tanzania madhubuti

    Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi amesema maneno ya Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere bado yanaishi ya kwamba CCM ikitikisika hakutokuwa na Nchi madhubuti na hivyo amewataka kila Mtanzania moyoni mwake asikie kwamba uimara na umadhubuti wa Nchi unamtegeme. Akiongea Mkoani Singida...
  20. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wizi na ufisadi wa fedha za serikali uliokithiri katika awamu hii, suluhisho haliko ndani ya CCM wala upinzani kuwa mbadala wa CCM

    Tumefikia mahali ambapo hali ya wizi na ufisadi wa fedha za serikali inatisha. Si Tamisemi tu, bali hata vyombo vya usalama na taasisi za serikali ugonjwa ni huo huo. Udanganyifu katika mifumo ya malipo imekuwa ndio habari ya mjini, kuanzia tozo za kupaki magari, fine za trafiki, miamara ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…