ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Mtambue Shemsa Mohammed (M/K CCM Mkoa wa Simiyu) Katika Meza ya Viongozi Mashuhuri wa Kisiasa

    MTAMBUE SHEMSA MOHAMED M/KITI CCM MKOA WA SIMIYU KATIKA MEZA YA VIONGOZI MASHUHURI WA KISIASA DUNIANI Ameandika Comrade Msauzii (0769086992) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed Seif amekuwa kiongozi bora katika kukijenga chama cha Mapinduzi. Juhudi zake zinafananishwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Kumbe hakuna ugomvi ndani ya CHADEMA wako vizuri. CCM mjipange!

    Kumbe ni kweli umekuwapo mvutano mkubwa kati ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na Makamu wake Tundu Lissu. Lakini mvutano huo sio ugomvi kama mnavyo aminishwa na wapiga propaganda wa CCM bali ni kuwa hawajakubaliana kitu kimoja na ni kwa manufaa ya chama. Habari kutoka chanzo cha uhakika...
  3. JamiiForums Tanzania CCM ni chama cha kipekee duniani

    Dunia nzima Kuna vyama vinatawala nchi zao na Kuna watawala. Lakini CCM ni chama Cha kipekee kabisa. CCM haiwezi kuathiriwa kwa namna yoyote ile na mabadiliko ya Dunia. Kwa kuwa CCM ni chama cha kipekee duniani. Kwa watu wa CCM hakuna wazo iko siku watanzania wataanza kuhoji ndugu zao wako...
  4. JamiiForums Tanzania LGE2024 Pwani: CCM Mtambani yaibuka baada ya mgombea kushindwa, wawatuliza Wanachama

    Siku chache baada ya kufanyika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji hapa nchini, viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) tawi la Mtambani kata ya Mapinga Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, wamewataka wanachama kutulia wakati viongozi hao wanafanya tathimini ya nini kifanyike, kufuatia...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanachama, Viongozi CHADEMA wagawanyika kambi tofauti, hofu ya mpasuko yaongezeka

    Wakuu, CHADEMA itasilimika kweli mpaka 2025? ==== Uamuzi wa Tundu Lissu kukusudia kuchuana na Freeman Mbowe katika kinyang'anyiro cha uenyekiti wa Chadema, umekigawa chama hicho pande tatu huku sababu za Lissu kuamua kuchukua hatua hizo zikibainika. Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Nimejifafakari, nimetafiti na nimechunguza na kujiridhisha kuwa Tanzania iko salama chini ya Rais Samia na CCM haina mbadala!

    Baada ya mkeka wa teuzi Kutoka mchungaji Msigwa amesema ana Imani kubwa sana na Rais Samia na kwamba hajutii kuhamia CCM kwani haina mbadala. “Nimechunguza, Nimetafiti, Nimetafakari, Nimelingalisha, Nimetofautisha, Nimejiridhisha na kutoka na hitimisho kuwa Tanzania iko salama mikononi mwa CCM...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wana CHADEMA Waendelea Kujiunga na CCM Ngara

    Viongozi na wanachama 6 wa CHADEMA Ngazi ya Kata ya Muganza akiwemo Tumain Petro, Mwenyekiti BAVICHA wa Sasa wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi wakati wa tafrija ya Kusherehekea kukamirika kwa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Kata ya Nyamagoma. Sherehe hiyo ilidhaminiwa na Mhe. Ndaisaba George...
  8. JamiiForums Tanzania CCM adui wa demokrasia na maendeleo yake

    Kutokukubaliana na maamuzi ya wananchi ya kumchagua kiongozi wanayemtaka ni sawa na kuzuia maendeleo. Wagombea wanapojinadi, wananchi hupata nafasi kubwa ya kuchagua kiongozi wanayeamini ataleta maendeleo. Hata hivyo, CCM mara nyingi huonyesha utayari wa kupinga maamuzi ya wananchi kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Ni kwanini ccm wana upendo mkubwa kwa Freeman Aikaeli Mbowe?

    Wasalaam Nimekua nashangaa sana kila kukicha viongozi wengi wa ccm wanataka mbowe awe mwenyekiti wa chadema wa kudumu. Najiuliza tu huu ni upendo wa dhati au ni mahaba? Je huenda ni kweli zile tetesi kwamba mbowe ni pandikizi la ccm kuidhoofisha chadema ili isishike dola? Maana kuna kampeni...
  10. JamiiForums Tanzania LGE2024 Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yakoje mtaani kwako? Nani Kashinda?

    Wakuu, Tumemaliza kupiga kura jana na matokeo yaanza kuingia jana ile ile kwenye baadhi ya maeneo. Hali ikoje mtaani kwako? CHAMA gani kimeshinda? PIA SOMA - LIVE - LGE2024 - Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
  11. JamiiForums Tanzania Polepole aliwahi kusema ccm itaishi miaka 75 mbele je wewe mwana jamiiforum unaliona hilo aliloliona humphrey polepole likitimia?

    Mwanasiasa na balozi polepole aliwahi kusema ccm itaishi miaka 75 mbele ikiwa strong and firm je hii ajali ya wabunge imetoa majibu kwa utabiri wa polepole?
  12. JamiiForums Tanzania CCM wanaishi kwa Uongo, Na hii ndo laana Kuu itakayoliandama hili Taifa milele CCM likiendelea kuwa chini ya CCM

    Kuna masuala yapo kiroho. Kuna mambo yanatupata leo kutokana na misingi iliyowekwa kiroho ambayo bila kuondoa mzizi mkuu kamwe hatutakuja kupata suluhisho. CCM wanaishi kwa uongo na hii ndo dhambi kubwa itakayoendelea kulitesa hili Taifa hadi pale yatakapotokea mabadiliko kwa CCM kuondoka...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Naapa kuachana na CCM

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza mimi Raia mtanzania ninaapa kutokuiunga mkono CCM chini ya Samia kwa kutukosesha mikopo wanafunzi wa vyuoni na wengine tumeishafika chuo tukitegemea tungepata walau boom itusaidie maisha ya chuo, kwa maandamano yoyote ya kuipinga serikali nitaunga...
  14. JamiiForums Tanzania Ni Bora turudie mfumo wa chama kimoja tu (CCM) basi!

    Ni Bora tubakie na chama kimoja ili tupate umakini katika kuchagua aina ya viongozi, hii attention inayopewa mfumo wa vyama vingi, inaondoa mkazo kwenye kuchakata aina za viongozi tunaowachagua ushindani wa kweli inaweza kuwa na nguvu zaidi kwenye chama kimoja kuliko kingine, na pia hakutakua na...
  15. JamiiForums Tanzania KERO CCM na Serikali yake wameharibu sana Miji ya Tanzania, na imebakia kuwa magulio, miji imejaa Frame hadi kwenye makazi ya watu. Miji ni michafu sana

    Miji ya Tanzania kitambo back ilikuwa mizuri sana, kabla hawa wajinga CCM hawajaingia hadi kwenye mipango miji. Angalia mji wa mishi ulivyo kuwa msafi kipindi fulani. Now moshi ni chafu imejaaa wachuuzi kila kona, sehemu za wazi zimegeuzwa kuwa magulio ya wamachinga au stendi za Bajaji. Dar...
  16. JamiiForums Tanzania CCM na Chadema VS Yanga na Simba: Ukisikia yala ujue imempata, alielenga ana shabaha hajafanya makosa

    Habari zenu wanaJF wenzangu Leo mimi kama mtanzania mwenye haki ya kutoa maoni, nimekuja kutoa maoni yangu na kuweka sawa historia kuhusiana na swala la michezo pamoja na siasa zetu hapa nchini. Kabla ya kuendelea na mada yangu, naomba nikiri tu kwamba kwa sasa michezo imekuwa ikipewa...
  17. JamiiForums Tanzania Jukwaa la Siasa Tanzania: Kwa Nini Vijana Wanajihisi Kusalitiwa na CHADEMA?

    Nakumbuka mwaka 2015 jijini Dar es Salaam, kipindi ambacho kishindo cha kampeni za CHADEMA kilikuwa kikubwa. Kati ya matukio yaliyonivutia ni kundi kubwa la watu nililoliona maeneo ya Magomeni likielekea Msimbazi kuhudhuria mikutano ya chama. Ingawa wakati huo sikuwa na mshikamano wa karibu na...
  18. JamiiForums Tanzania Hawa wakulima wa Dar ndio wanalima wapi, mjini hakuna shamba CCM tunafeli wapi?

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Jiji la Dar Es salaam Ndugu Elihuruma Mabelya amekabidhi pikipiki 25 kwa Maafisa ugani wa Kilimo Jijini Dar Es salaam, akihimiza kutumia pikipiki hizo katika kuleta tija kwenye sekta hiyo muhimu kwa uchumi wa Tanzania. Leo Ijumaa Disemba 06, 2024 wakati...
  19. G

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Rais mstaafu, mzee Kikwete naye ajitokeze kutoa maoni yake kuhusu ushindi wa ccm wa 99% ktk uchaguzi wa S/MITAA 2024

    Tumemsikia waziri mkuu mstaafu jaji Joseph Sinde Warioba, hakufurahishwa na mazonge yaliyofanywa na ccm ktk uchaguzi wa S/MITAA. Na akenda mbali zaidi aklaani tabia ya ccm kutumia vyombo vya dola ktk chaguzi. Tumemsikia spika mstaafu mzee Pius Msekwa hakufurahishwa na ushindi wa 99% ambao ccm...
  20. JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizi wa kura unaua morali ya wapiga kura

    Wale wezi wa kura wasioheshimu sanduku la kura,wanaishi kwa mbeleko Msijione washindi kwa wizi wa kura kimsingi mnaua morali ya wapiga kura kushiriki katika chaguzi mbalimbali hapa nchini. Imefikia hatua wanachi hawataki kujitokeza kwenye mikutano na wala hawataki tu kusikia habari za uchaguzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…