ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Kwa kuwa viongozi wa chadema wameahidi siasa za mapambano, CCM irudi kwenye siasa za jino kwa jino, nginja nginja, na mapambano

    CCM ni chama kinachobadilika kutokana na wakati na mazingira. Sasa ni wakati sahihi kurudi katika siasa za awamu ya tano. Ni wakati sahihi Sabaya na wenzake warudi ili watakaoleta ubabe wanyooshwe barabara. Inatakiwa ku-fine tuneand sharpen the instruments/tools
  2. JamiiForums Tanzania Mbowe akili kubwa! Kajua kutuchezesha Taifa na CCM muziki wake

    Huu mchezo wa mtalaamu wa siasa Mbowe nimuelewa sana kwanza ame-expose wapambe nuksi kwake na kwa Tundu Lissu lakini pia kajua kuteka attantion ya Taifa kwenye uchaguzi wa CHADEMA. Ni dhahiri shairi mpango ulikuwa akae kando aingie Lissu ila kwa namna gani?Unadhani Lissu angegombea na Odero...
  3. D

    JamiiForums Tanzania CCM wana cha kujifunza kutoka CHADEMA kwa hii Demokrasia iliyokomaa wanayoionesha

    CCM ni udikteta tu kuanzia juu mpaka chini. Ukionesha una mawazo tofauti unaundiwa zengwe nanusipokuwa makinini unaweza kiuawa. CHADEMA imegraduate mpaka kuweza kushika nchi. Ni chama makini sana kinachojari uhuru na mawazo ya kila mmoja. CCM jifunzeni siyo kusomba hawa wasanii mbumbumbu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini siwezi kuwa mwanachama wa ccm

    1. CCM Haijakidhi Mahitaji ya Wananchi Wengi Kwa muda mrefu, CCM imekuwa madarakani, lakini maisha ya Watanzania wengi bado yamejaa changamoto kubwa: Ukosefu wa Ajira: Vijana wengi, ambao ndio nguvu kazi ya taifa, wanakosa ajira, licha ya ahadi nyingi za chama. Sioni juhudi madhubuti za CCM...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya Matukio ya CCM ya Samia Kupindua meza za political trajectories huko Dodoma wengine Yunafunga kamdomo ka Siasa

    Wakwanza mimi kunyoosha mikono SSH kapiga pasi ndefu sana, kapiga butua kali sana, kusema ukweli umepigwa mwingi wa ali ya juu, We have been caught up by surprise haieleziki hasira na kicheko vyote kuchukua kaweka waaah, taamu taaamu hahaaa hasira zenye kicheko ndio hii amazing SSH for...
  6. JamiiForums Tanzania Samia kapitishwa kimakosa kugombea urais. Katiba ya CCM haikufuatwa

    Kwanza tuelezwe na Nchimbi na timu yake zile shilingi millioni Samia alikua anachangiwa kuchukua fomu ya chama kugombea kuteuliwa kugombea urais zimeenda wapi. Hilo ni jambo linaonyesha kuna taratibu za chama ukitaka kugombea uteuliwe kua mgombe urais. Nchimbi ameongoza uhuni kwa kukiuka...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa kinachoendelea CHADEMA muda huu kwenye uchaguzi ni wazi bado hajapatikana mbadala wa CCM

    Mimi ni mpinzani yes naamini kwenye upinzani wa kuiondoa CCM madarakani ila kwa kinachoendelea kwenye uchaguzi wa CHADEMA ni wazi bado Tanzania hatujapata chama ambacho ni mbadala wa CCM CHADEMA wanafanya mambo yale yale CCM wanayofanya tofauti yao hawana dola angalia mambo ya ovyo anayoyafanya...
  8. JamiiForums Tanzania CCM Zanzibar kusimamisha shughuli mapokezi ya Dkt. Mwinyi

    Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar kimewataka wanachama na wananchi kujitokeza kwa wingi kumpokea Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiket ya chama hicho Dkt Hussein Ali Mwinyi ambae atawasili kesho Januari 22, 2025 mchana katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Katibu wa...
  9. JamiiForums Tanzania Mbona walinzi wa Samia hawakuvaa sare za chama juzi kwenye Mkutano Mkuu wa CCM?

    Enzi ya awamu ya tano, aliyepata kuwa mwenyekiti wa ccm John Magufuli, walinzi wake walikuwa wakivaa sare za chama hiko kwenye mikutani na shughuli za chama hiko. Lakini kwasasa ni tofauti, kwa siku mbili mtawalia, sikuona walinzi wa Samia wakiwa na sare za chama, je mambo yamerudi kwenye...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Godfrey Malisa: Nitakwenda mahakamani kupinga kuvunjwa kwa katiba ya CCM na ya nchi kwa yaliyotokea Dodoma

    Mwana CCM GODFREY MALISA ameamua kusema ukweli. "Sasa hivi tayari inafahamika kwamba Chama cha Mapinduzi katika Mkutano wake Mkuu kilipitisha kwa kauli moja na kumtangaza Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM, jambo hili nilipolisikia sikuamini kwamba tumefikia hapa...
  11. JamiiForums Tanzania CCM walienda kufanya "show off" na uvunjifu wa Katiba Yao wenyewe, haukua mkutano!

    Kwa MTU yoyote mwenye akili timamu ambazo haziongozwi na mihemko atakubaliana na habari hii. Mkutano ulijaa "show off" KULIKO maana halisi za mkutano. Walienda kutuonyesha uwezo wao wa kutumia resources Vibaya. Kwa mfano, Nani mwanachama mwandamizi wa CCM anayefahamu mabasi Yale, baskeli, Boda...
  12. JamiiForums Tanzania CCM imara inauhitaji upinzani imara

    Mimi nikiwa mtumishi wa Mungu ninawatakia kila la heri CHADEMA katika uchaguzi wao wa viongozi wa ngazi za juu wa leo tarehe 21/01/2025. Ninawatakia uchaguzi wenye amani, huru na haki katika kuwapata viongozi hao. "chama legelege huzaa serikali legelege" Mungu ibariki Tanzania, ibariki...
  13. JamiiForums Tanzania Huu Ndiyo Ukweli; Uchaguzi wa CHADEMA Ndiyo Uchaguzi wa Kinyonge Hivi?

    Safari ya imeanza 2025, hapa yupo Samia Suluhu pembeni Nchimbi. Nyuma hapo, bado kugumu ila kesho jogoo anawika safari nyingine inaanza. Toka Dodoma tufanye uchaguzi na kuwapitisha miamba miwili sijaona block yoyote kutuzuia miezi michache ijayo. Niseme kweli tupu, kabla ya Dodoma na hata...
  14. JamiiForums Tanzania Waliokatwa ugombea CDM 2025 poleni; lkn karibuni CCM (Mama atawapokea)

    Nimesikitika sana na vitendo viovu na hujuma mnazosema mmefanyiwa. " Wote mliokatwa majina, Wote mlioenguliwa, Wote mtakaodhihakiwa, Wote mnaopenda demokrasia pana, Kwa mikono miwili na kwa upendo wa hali ya juu mnakaribishwa ktk chama kizuri cha CCM. Ulizeni waliokuja i.e Msigwa, Mtatiro...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je Media za Tanzania zitaipa chadema Airtime ya kutosha kwenye mkutano wao kama ilivyofanya kwa CCM?

    Wakuu kesho ndio kesho.. Je serikali itakubali chadema ionekane? Je Media zitakubali kutangaza ikibidi 'live" Kama walivyofanya kwa CCM? Binafsi naona matangazo yakikatwa katikati
  16. JamiiForums Tanzania Mkutano Mkuu Chadema Kesho Kujibu Mapigo Dhidi ya CCM kwa Kusimka Lissu Mwenyekiti Taifa, Kumtangaza Mgombea Urais 2025 na Kumpatia Mgombea Mwenza?

    Mhe. Tundu Antipas Mughway Lissu, Mwenyekiti Mtarajiwa wa Chadema na Mgombea Urais Mtarajiwa Katika Uchaguzi wa 2025 Kutokana na mikutano mikuu ya Chadema na CCM inayofanyika kwa kufuatana ndani ya Januari 2025 sasa ni wazi kwamba busara kongwe za wanazuoni zitaanza kutimia. Wanazuoni wengi...
  17. JamiiForums Tanzania Ni Mkutano kisiasa wa CCM , ila Waandishi wa habari wanamuhoji WEMA SEPETU masuala ya yeye Kutokuzaa, na masuala ya Mbwa wake "Manunu"

    Wakuu hivi hii Generation ya Waandishi wa habari imetokea wapi 🤣🤣 https://youtu.be/aS5a0j4pvTk?si=S4cjS7qxzOIZSn8N
  18. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwa ulivyopanga, kuratibu na kufanikisha kikamilifu kwenye mkutano mkuu CCM Dodoma, you are the smartest president in history of tanzania

    Wadau hamjamboni nyote? Umewashtua na kuwashangaza pakubwa mno wamebaki wasijue nini kimetokea na nini wafanye You took them by surprise very much unprepared! Tafakuri ya kina kwa wenye hekima Never ever understand Samia suluhu Hassan, never underestimate the power of a woman. Samia judging...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wana CCM kataeni UHUNI uliofanyika Dodoma

    Kwenu wana CCM mnaojitambua, wenye mapenzi mema na chama na mustakbali mwema wa nchi hii. Hicho mlichofanyiwa Dodoma ni uhuni mtupu, hakipo ndani ya kanuni, taratibu wala culture ya chama. Inakuwaje mnakubali genge dogo la watu wachache wanakaa chemba ili waje wawastukize kwa jambo nyeti kama...
  20. JamiiForums Tanzania "Sykes, Sykes, Sykes" Ndani ya Mkutano Maalum wa CCM Dodoma

    Majuma mawili yaliyopita kwenye group letu moja kuna mwenzetu mmoja aliandika maneno hayo hapo chini: "Jamani historia nzima ya Tanganyika ni Sykes and Sykes and Sykes and Sykes." Nadhani alikuwa kachoka. Kila ninapoandika historia ya uhuru wa Tanganyika Sykes hawakosekani. Kwa hakika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…