ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Karibu kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 48 ya Kuzaliwa kwa CCM yatakayofanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma

    Karibu kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 48 ya Kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) yatakayofanyika Katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma Tarehe 05 Februari 2025 Mgeni Rasmi ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baraza la madiwani katika Halmashauri ya Kibaha mji lampongeza Rais Samia kuteuliwa na mkutano mkuu CCM, kuwa Mgombea Urais

    Baraza la madiwani katika Halmashauri ya Kibaha mji limetoa tamko na kuazimia rasmi kwa pamoja kumpongeza Rais wa awamu ya sita Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuweza kuridhia maombi na kuweza kuipandisha hadhi Halmashauri hiyo kuwa Manispaa pamoja kuteuliwa na mkutano mkuu maalumu kuwa mgombea wa...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwitikio mdogo wa Vijana kwenye Mkutano wa Kumuunga Mkono Samia Suluhu kugombea Urais 2025 Moshi Manispaa, Kilimanjaro

    Utangulizi Katika mikutano ya kumuunga mkono Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika harakati zake za kugombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa mwaka 2025, kumekuwa na jambo la kushangaza sana na hakuna wanaccm wanataka kulisemea,wakati linatia doa serikali na Chama cha...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: CHADEMA Urais mtauona kwenye Runinga pekee

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Stephen Wasira, ameikaribisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA katika uchaguzi lakini ameipa angalizo kuwa isitatarajie kuambulia chochote katika nafasi ya urais. Soma Pia: Wasira atupa vijembe kwa Chadema, adai wakienda ikulu...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzee Wasira: CHADEMA wapo honeymoon

    Honeymoon si mnaijua? 😁😁😁 Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema Chama na Serikali yake haitakubaliana na azimio lolote litakalotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA baada ya kukutana kwa faragha kama walivyotangaza viongozi wa chama hicho...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM: Mkutano Mkuu wa CCM hauna mamlaka ya kuvunja kanuni zake

    Habari ndio hio! https://youtu.be/50jLdDcptGc Mwingine huyu(Kijana Mzalendo) ndio kabisa kawavua nguo na anasema wanatakiwa warudie na kwamba kuna fukuto kubwa. Kaongea mengi sana huyu bwana ikiwemo kutafuta wadhamini bara na visiwani jambo ambalo halikufanyika. Mimi mwenyewe sio...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini CCM imeamua kumdhalilisha Wasira?

    Binadamu yeyote ana hatua anazopitia, na watu hutofautiana namna wanavyozipitia hatua hizo na wakati wa kuzifikia. Kuna watu huzeeka mapema na wengine huchelewa. Lakini la muhimu zaidi ni kuwa kuna watu wanazeeka miili na mwonekano wa nje lakini akili zao hubakia kuwa Super. Mfano mzuri wa...
  8. JamiiForums Tanzania Mbowe na Lissu watafanyakazi pamoja dhidi ya CCM

    Jana Mwenyekiti Mpya wa CHADEMA Tundu Lissu, alikwenda kwa mara ya kwanza makao Makuu ya CHADEMA kama Mwenyekiti wa chama hicho. Lakini tangu ashinde nafasi hiyo mambo mengi yamesemwa dhidi yake na pande mbili zilizokuwa kinyume chake. Upande wa kwanza ni watu wa CCM. Na ingekuwa ajabu kama...
  9. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wassira: CCM ni chama kikubwa hakiwezi kuamrishwa na 'Kibaka'

    Akiwa anazungumza kwenye mkutano huko Geita Makamu mwenyekiti CCM, Stephen Wassira amesema kuwa CCM ni chama kikubwa hakiwezi kuamrishwa na 'Kibaka' kuhusu kauli ya 'No reform No election' "Walikuwa wanajisemea ooh no reform no election, ala! sisi ni chama kikubwa kuliko vyama vyote vya siasa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wassira: Wanaosema CCm imekaa sana walikuwa wapi wakati tunadai uhuru

    "Ndani ya nchi yetu kuna vibaraka ambao wanasema CCM imekaa muda mrefu sana, na mimi nawauliza walikuwa wapi wakati tunadai uhuru, nawauliza tulipokabidhiwa uhuru tulipatana nao tutakaa kwa muda gani? Kama wana huo mkataba wauoneshe" Stephen Wasira, Makamu Mwenyekiti Bara wa Chama cha Mapinduzi...
  11. JamiiForums Tanzania Tanga waikatae CCM?

    CCM ina tabia ya kupeleka miradi mikubwa pale ambako wanakataliwa au Kuna dalili ya kukataliwa. Tanga na wilaya zake ni chimbo la CCM kwa karne na karne, hawana hofu ya kukataliwa hivyo hawapeleki miradi ya maana Tanga. Tanga hakuna mradi hata mmoja wa umwagiliaji ingawa Kuna wakulima wengi...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kilimanjaro: Waziri Ndumbaro aja na 'Gusa, Achia Twende na Samia Legal Aid' pamoja na 'Ubaya Ubwela' kwa wanaokiuka sheria!

    Wakuu, Kunazidi kuchangamka huko, mwishowe waje na kauli mbiu yenye matusi mradi tu kampeni zifanyike😂:BearLaugh::BearLaugh: ====== Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa, Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia ni utekelezaji wa Rais Samia Suluhu Hassan ya...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jumaa Aweso inadaiwa ndio anayepigiwa Chapuo kuwa Waziri Mkuu 2025-2030 kama CCM itashinda

    Rais wetu Dokta Samia Suluhu Hassan, inadaiwa anataka kuchanganya damu changa sababu kazungukwa na wazee wakina Wasira na Mizrengo Pinda. Jumaa Aweso ameonekana ni Mchapakazi, sio mla Rushwa wala hana Biashara katika Soko la Kariakoo. Hivyo hawezi kuhujumu Uchumi kwa cheo chake Hivyo inadaiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Miaka 48 ya CCM, Umoja wetu, Nguvu yetu

    Hakika ni Umoja wetu; Ndio Unafikisha Chama Kikubwa Zaidi Afrika; Chama Chenye Wafuasi zaidi ya Milioni 12 ; Chama Imara ; Chama Madhubuti Katika kusheherekea Miaka 48 Tangu kuzaliwa kwake Karibu kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 48 ya Kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) yatakayofanyika...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Mawe yamefika Ikulu, CCM wamtuma Wassira "atueleweshe" Samia kapitishwaje

    DEMOCRATIC PROCESS ya CHADEMA imewaabisha sana.. Wassira kaja na hoja kwamba: Mkutano Mkuu can do anything. Hivyo, ikawatuma Halmashauri Kuu - wakati Konde Boy na Zuchu na Ally Kiba wanatumbuiza - waende "KUONDOA VIKWAZO." https://youtu.be/IMpd59VFxqY?si=eOyHa3FW216q-r2_ Swali Je...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

    Wakuu, Leo mbali na kuwa ni Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA pia wanasherekea Miaka 32 ya CHADEMA kupata Usajili wa Kudumu, ambapo ulipatikana Januari 21, 1993. https://www.youtube.com/watch?v=6W33TIKrrOE Mbivu na mbichi kujulikana leo, tumeona mengi na kusikia mengi kila upande ukitetea kwake. Je...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba aendelea kuwawashia moto CCM.

    Cyprian Musiba akipata kuwa mshirika mkubwa wa propaganda za Magufuli akimiliki vyombo vya habari kama vile magazeti vilivyokuwa vikimpigia debe Magufuli. Leo Musiba amegeuka kuwa mwiba kwa serkali ya CCM. Asema CCM wanategemea wasanii lakini hata hivyo watu wanawapuuzia na kufuatilia mambo ya...
  18. JamiiForums Tanzania Mwenyekii wa CCM Njombe: Ongeza watoto kwani huduma za afya zinaboreshwa

    Hivi hizi kauli zao za kuongeza watoto zimekuwa ajenda? Lakini upande wa pili bado hali ni tete sanakwenye mazingira ya huduma za afya. ============ Mwenyekii wa chama cha Mapinduzi Mkoa wa Njombe Deo Sanga {Jah People} amewasihi wananchi wa wilaya ya Wanging'ombe kuendelea kuongeza watoto kwani...
  19. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wameiteka Media na habari zao ndio zinauza kwa sasa, CCM tusipokuwa wajanja hali hii itaendelea hadi Oktoba

    Kuna ujanja fulani unafanywa na CHADEMA Ili waendelee kutrend hata baada ya uchaguzi wao Kwa mfano mwanzoni tu mwa Mkutano wa Nishati wa Dunia Katibu mkuu wa CHADEMA Mhe. mnyika akaitisha Press, Watu wakaanza kumjadili Mnyika na CHADEMA badala ya Kufuatilia Mjadala wa mkutano Leo Mkutano...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashindwa kujizuia hisia zake za furaha. Awashukuru wana CCM na viongozi kwa kumtakia heri ya Siku yake ya Kuzaliwa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amejikuta akishindwa kujizuia hisia zake za furaha na shukurani kwa Wanachama na viongozi wa CCM kwa Upendo wao Mkubwa walio uonyesha katika siku ya Leo .Ambayo ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…