ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. D

    JamiiForums Tanzania 2025 CCM out, mpende msipende. Vijana wamekata tamaa

    CCM msijipe matumaini ya kushinda 2025 hakuna kijana tena msomi anaweza kuwapigia kura. Na mkiiba ndo mtajua nguvu ya vijana. Tumechoka sana. Hata ajira zinatolewa kwa kujuana tu
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa amvaa Wasira, adai Serikali ya CCM imetengeneza ugumu wa maisha

    Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Wakili Deogratias Mahinyila akiwahutubia wananchi wa Mpwapwa mkoani Dodoma amemvaa vikali Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira na kudai kuwa Serikali ya CCM imetengeneza ugumu wa maisha
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kundi kubwa la WanaCHADEMA wanaompinga Lissu, kuhamia CCM

    Zipo taarifa 5/2/2025 kundi kubwa la wanachadema watahamia ccm kupinga uongozi wa lissu ambao wamesema umekosa mwelekeo
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge wengi wa CCM majimboni kwao hali ni shwari sana, asilimia kubwa ya wanazuoni wenye vyeti muhimu kitaaluma kutetea viti vyao kiulaini

    Wanaokusudia kutetea nafasi zao kwa kutegemea pesa, bila kua na hoja mahususi, kuibua au kuchangia mijadala yenye maslahi mapana kwa wananchi wao majimboni na Taifa kwa ujumla, hali ya thank you iko wazi kabisa miongoni mwao kutoka kwa wananchi wanao wawakilisha. Na wote hao watakua replaced na...
  5. JamiiForums Tanzania Hoja anazoaminia Makamo Mwenyekiti CCM Mzee Wassira dhidi ya Akina LISSU

    LISSU na watu wake wanataka kuleta Vita . Mabeberu wanawatumia Akina LISSU kuleta Ushoga( anasahau kua CCM haijawah kupinga ushoga hadharani ) Tukiwapa Urais Amani itapotea. Amani ya Nchi hii tutailinda Kwa gharama zote. Hao ni vibaka na walopokaji . Daaah Hivi kabisa kabisa Dola kwamba...
  6. W

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge hawa wa CCM wajipange kisaikolojia, hata washinde kura za maoni watakatwa kupisha wengine

    1. LUHAGA MPINA - huyu hata ashinde kura za maoni, ATAENGULIWA 2. NDUNGAI - Mzee hatoboi kura za maoni, ishu inamalizika chini kwa chini 3. GAMBO - apambane sana Soma Pia: Ushindani utakuwa ni mkali ndani ya CCM katika kumtafuta wa kupeperusha bendera ya Chama. Wengine hawatarejea Bungeni
  7. JamiiForums Tanzania Nabii & Mch. Steven Gumbo: Kuna matukio 7 atakayoyafanya Tundu Lissu kuuangusha utawala wa Samia na CCM. Yameruhusiwa na Mungu. Hakuna wa kuzuia

    Nilikuwa napitapita kwenye Youtube nikakutana na video ya ndugu huyu ambaye ni nabii na mchungaji wa huduma iitwayo "Huduma ya Kristo (Christ's Ministry) iliyoko huko Arusha, Tanzania... Anachokisema hapa kinafikirisha na kutafakarisha sana na naileta hapa kushea na kujadili kwa pamoja...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini maovu watende CCM, lakini walaumiwe CHADEMA?

    Kila wakati huwa sielewi akili za watu wanaowalaumu CHADEMA kwa matendo maovu yanayotendwa na CCM. Serikali kwa sasa inaongozwa na CCM (hakuna Serikali ya CCM) kwa ivo kila baya linatendwa dhidi ya CHADEMA na Serikali, ni lazima liwe linatokana na maagizo ya CCM. Kwa mfano John Magufuli akiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Karibu kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 48 ya Kuzaliwa kwa CCM yatakayofanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma

    Karibu kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 48 ya Kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) yatakayofanyika Katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma Tarehe 05 Februari 2025 Mgeni Rasmi ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baraza la madiwani katika Halmashauri ya Kibaha mji lampongeza Rais Samia kuteuliwa na mkutano mkuu CCM, kuwa Mgombea Urais

    Baraza la madiwani katika Halmashauri ya Kibaha mji limetoa tamko na kuazimia rasmi kwa pamoja kumpongeza Rais wa awamu ya sita Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuweza kuridhia maombi na kuweza kuipandisha hadhi Halmashauri hiyo kuwa Manispaa pamoja kuteuliwa na mkutano mkuu maalumu kuwa mgombea wa...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwitikio mdogo wa Vijana kwenye Mkutano wa Kumuunga Mkono Samia Suluhu kugombea Urais 2025 Moshi Manispaa, Kilimanjaro

    Utangulizi Katika mikutano ya kumuunga mkono Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika harakati zake za kugombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa mwaka 2025, kumekuwa na jambo la kushangaza sana na hakuna wanaccm wanataka kulisemea,wakati linatia doa serikali na Chama cha...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: CHADEMA Urais mtauona kwenye Runinga pekee

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Stephen Wasira, ameikaribisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA katika uchaguzi lakini ameipa angalizo kuwa isitatarajie kuambulia chochote katika nafasi ya urais. Soma Pia: Wasira atupa vijembe kwa Chadema, adai wakienda ikulu...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzee Wasira: CHADEMA wapo honeymoon

    Honeymoon si mnaijua? 😁😁😁 Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema Chama na Serikali yake haitakubaliana na azimio lolote litakalotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA baada ya kukutana kwa faragha kama walivyotangaza viongozi wa chama hicho...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM: Mkutano Mkuu wa CCM hauna mamlaka ya kuvunja kanuni zake

    Habari ndio hio! https://youtu.be/50jLdDcptGc Mwingine huyu(Kijana Mzalendo) ndio kabisa kawavua nguo na anasema wanatakiwa warudie na kwamba kuna fukuto kubwa. Kaongea mengi sana huyu bwana ikiwemo kutafuta wadhamini bara na visiwani jambo ambalo halikufanyika. Mimi mwenyewe sio...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini CCM imeamua kumdhalilisha Wasira?

    Binadamu yeyote ana hatua anazopitia, na watu hutofautiana namna wanavyozipitia hatua hizo na wakati wa kuzifikia. Kuna watu huzeeka mapema na wengine huchelewa. Lakini la muhimu zaidi ni kuwa kuna watu wanazeeka miili na mwonekano wa nje lakini akili zao hubakia kuwa Super. Mfano mzuri wa...
  16. JamiiForums Tanzania Mbowe na Lissu watafanyakazi pamoja dhidi ya CCM

    Jana Mwenyekiti Mpya wa CHADEMA Tundu Lissu, alikwenda kwa mara ya kwanza makao Makuu ya CHADEMA kama Mwenyekiti wa chama hicho. Lakini tangu ashinde nafasi hiyo mambo mengi yamesemwa dhidi yake na pande mbili zilizokuwa kinyume chake. Upande wa kwanza ni watu wa CCM. Na ingekuwa ajabu kama...
  17. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wassira: CCM ni chama kikubwa hakiwezi kuamrishwa na 'Kibaka'

    Akiwa anazungumza kwenye mkutano huko Geita Makamu mwenyekiti CCM, Stephen Wassira amesema kuwa CCM ni chama kikubwa hakiwezi kuamrishwa na 'Kibaka' kuhusu kauli ya 'No reform No election' "Walikuwa wanajisemea ooh no reform no election, ala! sisi ni chama kikubwa kuliko vyama vyote vya siasa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wassira: Wanaosema CCm imekaa sana walikuwa wapi wakati tunadai uhuru

    "Ndani ya nchi yetu kuna vibaraka ambao wanasema CCM imekaa muda mrefu sana, na mimi nawauliza walikuwa wapi wakati tunadai uhuru, nawauliza tulipokabidhiwa uhuru tulipatana nao tutakaa kwa muda gani? Kama wana huo mkataba wauoneshe" Stephen Wasira, Makamu Mwenyekiti Bara wa Chama cha Mapinduzi...
  19. JamiiForums Tanzania Tanga waikatae CCM?

    CCM ina tabia ya kupeleka miradi mikubwa pale ambako wanakataliwa au Kuna dalili ya kukataliwa. Tanga na wilaya zake ni chimbo la CCM kwa karne na karne, hawana hofu ya kukataliwa hivyo hawapeleki miradi ya maana Tanga. Tanga hakuna mradi hata mmoja wa umwagiliaji ingawa Kuna wakulima wengi...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kilimanjaro: Waziri Ndumbaro aja na 'Gusa, Achia Twende na Samia Legal Aid' pamoja na 'Ubaya Ubwela' kwa wanaokiuka sheria!

    Wakuu, Kunazidi kuchangamka huko, mwishowe waje na kauli mbiu yenye matusi mradi tu kampeni zifanyike😂:BearLaugh::BearLaugh: ====== Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa, Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia ni utekelezaji wa Rais Samia Suluhu Hassan ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…