ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Nitakapokuwa na Umri wa miaka 62 nitawasilisha maombi ya kuanzisha Chama Cha Siasa, hiki kitakuwa chama tanzu kupunguza mapungufu ya CCM

    Ndugu wanajukwaa, nawasalimu kwa jina la Mungu baba muumba wa Dunia na Tanzania yetu na wake. Napenda kuwashirikisha kuwa inshallah katika umri wa miaka 62 ninampango wa kuanzisha chama tanzu kupunguza mapungufu ya CCM. Basi na ikawe heri nawatakia maisha marefu sote tushiriki kuyaishi yote...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Tulia awataka vijana kujitokeza kugombea kwakua CCM imejipanga kushika dola

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mlezi wa CCM kwa Mikoa ya Kusini na Kaskazini Unguja, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amesema kuwa CCM imejipanga kikamilifu kuhakikisha inaendelea kushika dola...
  3. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kutoshiriki uchaguzi mkuu 2025 litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan na serikali ya CCM kidiplomasia na kiutawala

    No reforms, no election ni mfupa mgumu sana kwa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa kitaifa October 2025. Kama serikali ya CCM italazimisha kufanya uchaguzi pasipo ushiriki wa chama kikuu cha upinzani Tanzania yaani CHADEMA basi litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan kidiplomasia...
  4. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi CCM Fadhili Maganya amesema CCM kimejipanga kupata ushindi wa haki mwaka huu

    HAwa jamaa kumbe huwa wanajua hawashindagi kwa haki bhana eti wanadai mwaka huu watashinda kwa haki. Haki gani sijui wananzungumzia ==== MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi, Fadhili Maganya amesema CCM kimejipanga kupata ushindi wa haki katika uchaguzi Mkuu mwaka huu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasanii wa Bongo movie waliokuwa CHADEMA wahamia CCM

    Wakuu naona sasa kila mkate utalainika kwa wakati wake ni suala la kupata chai tu. Wasanii waliokuwa wakii Support Chadema sasa wamekwenda kujiunga na Chama cha mapinduzi. Kwanza lini wamewahi kuwa Chadema? ==== Wasanii wa filamu Jimmy Mafufu, Shamsa Ford, Stamina pamoja na wengine wengi...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ramsey: CCM Arusha Mwiko kusema mitano tena kwa mbunge na diwani

    CCM mwiko kusema mitano tena kwa mbunge na diwani. Mitano tena ni kwa Rais Samia Suluhu tu kwa madiwa na wabunge mwendo wa ngiri mkia juu. Hayo yamesemwa na Katibu wa Siasa na Uenezi Mkoa wa Arusha Saipulani .A. Ramsey Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi: Hakuna mgombea ubunge kupita bila kupingwa

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameonya vikali Wanachama wanaotafuta uteuzi wa udiwani na uwakilishi ambapo Balozi Nchimbi alisema baadhi ya Wanachama wanaotaka nafasi za uongozi wanaanza kupitisha fomu ili watangazwe kuwa Wagombea pekee ambapo amesema...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mjumbe Kamati Kuu CCM, Mamuya: Hakuna anayeweza kushindana na Dkt. Samia

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Halima Mamuya amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan hatakuwa na mpinzani katika uchaguzi mkuu wa 2025 kwa sababu licha ya kwamba ni Rais lakini pia ni Mama mlezi wa Taifa. Amesema...
  9. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Ruvuma yahimiza demokrasia kwenye nafasi za wagombea udiwani na ubunge

    Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma kimewataka wanachama wake kuhakikisha wanazingatia taratibu, Sheria, na kanuni za Uchaguzi wakati wa mchakato wa uteuzi wa wagombea wa Ubunge na Udiwani. Lengo ni kuwarudisha madarakani wagombea wanaopendwa na wananchi, lakini kwa kufuata miongozo ya...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM yawahimiza vijana na madereva wa Boda boda kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura

    Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI) CCM Zanzibar Ndg. Khadija Salum Ali amefanya zoezi la kuhamasisha Madereva wa Boda boda Saateni (Pinda Mgongo) juu ya suala la kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura 2025 (Awamu ya Pili) Wilaya ya Amani...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mrisho Gambo: CCM tumekaa tumesema sisi 2025 mgombea wetu ni Dkt. Samia, wewe yasiyokuhusu unapiga porojo unapoteza muda

    Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo amesema Chama cha Mapinduzi na wanachama wake wameshafanya maamuzi ya kumteua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mgombea wa Urais hivyo wanaopiga kelele wanapaswa kukaa kimya kwa sababu wao sio wanachama wa Chama hicho. Soma, Pia: Wajumbe...
  12. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Wazazi CCM- Mhandisi James Jumbe, ajinasibu kuwa CCM itashinda 2025

    Yani kila mwaka CCM sera zao ni maendeleo sekta ya afya na elimu, miaka zaidi ya 60 ya uhuru bado sera zao wanazoona zitawapitisha ni kama za miaka ya 70 huko. Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ===...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maoni ya mkazi wa Songea: Kwa mfumo wowote ule upinzani hawataweza kuing'oa CCM madarakani

    "Kwa mfumo wowote ule (upinzani) hawataweza kuing'oa @CCM madarakani, kwa sababu kila chama kinataka kupata ruzuku, ukitaka kuiondoa CCM madarakani inabidi uanze harakati za kufika hata maeneo ambayo hamjawahi kuyafikia, lazima muwe na ajenda," - Haya ni maoni binafsi ya Mohamed Kudeka Kupata...
  14. JamiiForums Tanzania Makada wa CCM acheni kupotosha umma. Hakuna mafanikio yaliyoletwa kwa wananchi na CCM kama mnavyotamba na kudanganya umma

    Maji safi na salama ni janga la kitaifa. Miaka 60 ya uhuru mnashindwa kusambaza maji safi na salama. Mfano ni mji kama Chato upo kma moja karibua na ziwa lakini wananchi hawapati maji safi na salama. Elimu imeporomoka mithili ya barafu mlima kilimanjaro. Mmjejenga mashule kibao ya kata. Lakinj...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Geita: Tumetekeleza Ilani ya CCM kwa Asilimia 95

    Baraza la Halmashauri ya Wilaya ya Geita limesema kwa asilimia 95 limetekeleza ilani ya Chama cha Mapinduzi katika kukamilisha miradi mbalimbali ambayo inaendelea kujengwa na iliyokamilika katika Halmashsuri hiyo . Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
  16. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Hapi amesema CHADEMA wasitumie No reform no election kama njia ya kukimbia mapambano, adai mabadiliko Watanzania wameshayaona

    Katibu wa jumuiya ya Wazazi Ally Hapi amewataka vyama vya upinzani kuacha visingizo vya kukimbia mapambano ya uchaguzi kwani mabadiliko wanayoyataka wapinzani tayari Watanzania wameshayapata. Ameeleza kuwa mabadiliko hayo yameletwa na Rais Samia, ambapo mabadiliko hayo ni uwepo wa maji na...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kasi ya mikutano ya kisiasa ya makamu mwenyekiti wa CCM bara ndugu Stephen Wasira imewakosesha wapinzani agenda

    Kasi ya Wasira CCM imeharibu mipango, malengo na uelekeo wa upinzani kabisa nchini. Imewadhoofisha na kuwapotezea matumani kabisa, kiasi kwamba wamekosa na hawajui la kufanya. Kwa kipindi kifupi mno, na ni katika maeneo machache sana nchini, ziara za makamu mwenyekiti wa CCM taifa bara...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kutoonekana kwa Patrick Boisafi (Mwenyekiti wa CCM Mkoa)na Athari zake kwa CCM Mkoa wa Kilimanjaro kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Utangulizi Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, kumekuwapo na maswali mengi kuhusu kutoonekana kwa Patrick Boisafi, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro. Ni muda mrefu sasa tangu hajaonekana kwenye vikao muhimu vya chama, sherehe, misiba, na hata harambee mbalimbali...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Kukaa na Wassira ni kupoteza muda, kama kuna la kujadili tutajadili na Samia

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema hana muda wa kupoteza na kukaa na Mzee Wassira ni kupoteza muda. Amesema hayo wakati akihojiwa katika Kipindi ya Dakika 45 cha ITV baada ya kuulizwa swali kuwa anaonekana namkwepa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wassira aliyesema anamuhitaji...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Moja ya mtaji mkubwa sana wa CCM ni sera ya ardhi ya Tanzania

    Baada ya mwaka jana chama cha ANC kupata kiasi cha asilimia 40 tu ya kura, mwaka huu wamekuja na sera ya kuwezesha kufanyika land redistribution. Kwa miaka yote wazungu wachache wa SA bado walikuwa wanashikilia asilimia 70 ya ardhi yote ya nchi hiyo. Serikali ya ANC kushindwa kuwapatia ardhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…