ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Aliyehamia CCM akitokea CHADEMA aula kisa mradi wa maji Mwanga

    Kukamilika kwa mradi wa maji Same-Mwanga -Korogwe na kuimarika kwa huduma ya maji katika wilaya ya Mwanga kwamtua kada wa Chadema ndg. Sadi Hemed na kumrudisha chama cha mapinduzi (CCM) na kumpa ushindi wa Uenyekiti wa kitongoji cha lwami katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, wilayani...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi Yanga ingekuwa ni CHADEMA ndiyo wanazuia CCM kufanya mkutano wao kingetokea nini?

    Nimeangalia Clip Moja inayoonesha jinsi makomando wa Yanga walivyokuwa wanazuia timu ya Simba kuingia uwanja wa Mkapa kufanya mazoezi usiku wa Jana ikanifikirisha Sana. Pale kwenye eneo la tukio kulikuwa na Polisi lakini walikuwa nao kama ni waangaliaji tu wa purukushani ile. Nikawaza ingekuwa...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CCM Rukwa ampongeza Mbunge Aesh Hilaly kwa Usikivu na Kujali Wananchi

    Mwenyekiti wa CHama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Rukwa Bi. Silafu Jumbe Maufi amemtaja Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Aesh Hilaly kuwa Mbunge Msikivu na anayewajali wananchi waliompa dhamana ya kuwaongoza. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mabinti wa Vyuo Vikuu wajiunga na CCM, wakosoa nafasi ya wanawake Ndani ya CHADEMA

    Kundi la mabinti kutoka vyuo vikuu mbalimbali nchini leo limetangaza kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kudai kutoridhishwa na nafasi ya wanawake ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Soma Pia: Pre GE2025 - Kipindi hiki cha Uchaguzi wanawake wanapata nafasi ya...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kimeumana! Makatibu CCM Meatu wapigana na kutukanana hadharani

    Kikao cha Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Meatu, Mkoani Simiyu kilichofanyika Machi 5, 2025, kiliibua hali ya sintofahamu baada ya kutokea mzozo mkali kati ya Katibu wa CCM wilayani humo, Ndg. Naborth Manyonyi, na Katibu wa Itikadi, Siasa, na Uenezi wa wilaya hiyo, Ndg...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ruvuma: Mwenyekiti CCM, viongozi wa chama acheni kuanzisha migogoro inayochonganisha wananchi na serikali

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Ruvuma ndugu Oddo Mwisho amewataka viongozi wa chama hicho ngazi ya kata,tawi mpaka shina kuacha tabia za kuanzisha migogoro katika jamii ambayo inawachonganisha viongozi wa serikali pamoja na wananchi. Hayo ameyasema wakati anaongea na viongozi wa...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Kunenge awataka TANROADS na TARURA kumaliza miradi ya barabara iliyoahidiwa na CCM 2020

    Kunenge alitoa agizo hilo katika mkutano wa Bodi ya Barabara ya Mkoa wa Pwani uliofanyika Kibaha, ukiwahusisha wadau wa maendeleo na wataalamu wa sekta hiyo. Alisisitiza umuhimu wa kuwa na mpango wa utekelezaji wa ujenzi wa barabara, hasa zile zilizokuwa sehemu ya ahadi za uchaguzi. Pia...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya Siasa CCM Dodoma yataka kukamilishwa kwa wakati kwa hosteli ya Sekondari Mbalawala

    WAJUMBE wa Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Dodoma mjini wamewataka wataalamu wanaosimamia mradi wa Hosteli ya Shule ya Sekondari Mbalawala mkoani humo kuhakikisha bweni hilo linakamilika kwa wakati na kwa ubora uliokusudiwa. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viti Maalumu Kwa CCM ni nafasi za watoto wa Viongozi na Ndugu zao , MTU anakua Mbunge mpaka Sasa miaka 20 Bungeni !!

    Viti Maalumu vimekua ni nafasi za wachache kujimilikisha Mali tu. Hata kama ni Mtaji wa Biashara, miaka mitano haitoshi?? Vijana wako mtaani ,Moja haikai Wala Mbili !!. Hata wa Makundi maalumu pia, Mbunge Keisha Kawa Mbunge zaidi ya miaka 10 , sijawah Msikia anachangia,,, ni kweli hamna...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CCM Singida Umekosea

    Leo nimekutana na clip moja kwny group flani likimuonesha mwenyekiti wa CCM Singida akiwaambia wakina mama wassishie kuzaa mtoto mmoja au wawili kwani mama Samia amewezesha hudum ya afya iko vizuri na uchumi pia uko sawa. Nikakumbuka kauli ya Hayati Magufuli fyatueni tu baadae waziri wa Afya...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM mmefanya makubwa nchi, mnatakiwa kupumzika

    Nimekuja Tena kama mwananchi wa kawaida kuipongeza CCM kwa makubwa iliyoyafanya nchi ila ni mda wao wapumzike WAKAE pembeni wajipange upya Waruhusu uhuru wa demokrasia, vijana wasitekwe na kuuwawa kisa madaraka wafanye free and fair election washindwe WAKAE pembeni sio dhambi wakiendelea...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kabla ya kuuliza Chadema watazuiaje uchaguzi, jiulize uchaguzi utafanyikaje kwa hali hii?

    Tangu Chama cha Demokrasia na Maendeleo kilipotangaza kauli mbiu yake ya No reforms No Election ikimaanisha hakuna mabadililiko hakuna uchaguzi, kumekuwa na maoni tofauti ya utekekelezaji wa kauli mbiu hiyo. Baada ya uongozi mpya kuingia chini ya Tundu Lissu, msisitizo umekuwa sio tu kususia...
  13. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa wananchi Jimbo la Chumbuni CCM, Ussi Salum Pondeza amegawa sadaka ya futari kwa watu wenye ulemavu

    Mbunge wa wananchi Jimbo la Chumbuni CCM Mhe. Ussi Salum Pondeza amegawa sadaka ya futari kwa watu wenye ulemavu zaidi ya 70 wanaoishi katika jimbo lake ili kusaidia katika mahitaji ya chakula katika kipindi hichi cha mwezi mtukufu wa Ramadhan. Pondeza kupitia taasisi ya Pondeza Foundation...
  14. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Kibaha wampa tuzo Nikki wa Pili

    Kunazidi kuchangamka === Chama Cha Mapinduzi wilaya Ya Kibaha mkoani Pwani kimempa tuzo ya pongezi Mkuu wa wilaya ya Kibaha Mjini, Nickson John Simon Nikki wa pili kwa usimamizi bora wa utekelezaji wa ilani ya CCM wilayani humo. Wilaya hiyo chini ya uongozi wa DC Nickson Simon makusanyo ya...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Njombe: Aliyekuwa Katibu wa CHADEMA tawi ahamia CCM

    Aliyekuwa Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tawi la Ramadhani Victor Kawogo amejiunga Chama cha Mapinduzi (CCM) Machi 05, 2025 katika Mkutano wa Usomaji wa Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM kata ya Ramadhani kwa kipindi cha miaka mitano 2020 hadi 2025. Kupata matukio na...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Dola ya CCM hukubali Siasa za Makundi, Kuwaondolea Watanzania Viongozi wazelendo, wachapakazi Kwa hoja ya "Ana Makundi"?

    Ukweli ni kua Mbingu na Ardhi ni vitu viwili tofauti . Uovu na Wema ni vitu viwili tofauti . UZALENDO na kutokua mzalendo ni vitu viwili tofauti. Hata hivo Licha ya utofauti huo, ukweli ni kua Kila kimoja wapo nyuma yake kuna Wafuasi wengi . Hamna kitu kinaitwa huyu yupo katikati, Hana...
  17. JamiiForums Tanzania Kosa ambalo CCM kupitia serikali wanafanya linawafanya wengi kuamini ni hawa watu mnaowatumia kama wasanii,influence

    Na wameshawaona CCM kuwa ni kichwa cha mwenda wazimu sababu imani ya wananchi mshajenga kwa hawa watu niliowataja. Kuna kipindi joti alikuwa anatangaza Mr kuku ila kwa kuwa ni wasanii twende kazi. Dotto magari alikwenda kwa manguruwe ila kwa vile hawa ndio product zenu twende kazi. Mfumo...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: Katiba Mpya si jambo la mara moja, CHADEMA wanaangalia Uchaguzi tu

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema kuwa chama hicho kipo tayari kwa mchakato wa kupata Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Makalla ameyasema hayo siku ya Jumatano Machi 05, 2025 wakati akizungumza na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sekretarieti ya CCM mkoa yawataka Wazee wilaya ya Missenyi kuchagua viongozi wanaokubalika

    Sekretarieti ya Mkoa Wa Kagera Ikiongozwa na Katibu Wa Chama cha Mapinduzi Ccm Mkoa Wa Kagera Imeanza Ziara ya Kukutana Na Wazee Wa Wilaya Zote zilizopo Mkoani Kagera Kwa Lengo Akiongea na baadhi ya Wazee Wa Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera Katika Ofisi za Chama cha Mapinduzi Ccm Zilizopo...
  20. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri kwa CCM na CHADEMA kukaa meza moja kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao

    Kama Mwananchi na Raia wa Tanzania ninawashauri CCM na CHADEMA wakae meza moja na wajadiliane kuangalia yale mapungufu yanayoonekana kuelekea Uchaguzi Mkuu ili yafanyiwe marekebisho kama itawezekana. Pamoja na kusema kuwa uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa ni sawa lakini CHADEMA wanaweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…