ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Kuna watu walitudanganya CCM imeimarisha TZS thidi US dollar

    Great Thinkers. Wale ng'ombe wako wapi walikuwa wantupigia kelele hapa ko ko ko ko ko ko ko Mama kaupiga mwingi hadi kashusha thamani ya dollar huku mataifa mengine ikipanda. Tuliwaambia kilichokuwa kinafanyika ni retracemnt tu then iruke kama kawaida. Wahuni walinunua dollar za kutosha...
  2. JamiiForums Tanzania TANZIA Katibu wa CCM Wilaya ya Rombo, Marry Sule, Afariki Dunia akipatiwa matibabu

    Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro, Marry Sule amefariki dunia jana usiku Machi 18, 2025 akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Huruma. Taarifa za kifo chake zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii usiku huohuo zikieleza kuwa Katibu huyo amefariki...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Kamati ya Ulinzi na Usalama inakutana na CCM pekee na si vyama vingine?

    Salaam Wakuu wa Mikoa na Wilaya ndio Wenyeviti wa Kamati za Ulinzi na Usalama. Ila kila siku naona wanahudhuria Vikao na Mikutano ya Kisiasa ya Chama cha Mapinduzi lakini si vyama vya Upinzani. Kwanini vyama vya Upinzani havishirikishwi kwenye vikao vya Ulinzi na Usalama wa Nchini? Je...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wilaya ya Mlele imefanya hafla ya kupongeza miaka minne ya Uongozi wa Rais Samia

    Wilaya ya Mlele imefanya hafla ya kupongeza miaka minne ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, iliyofanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Ibelamafipa iliyopo Kijiji cha Ilunde Halmashauri ya Mlele mkoani Katavi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  5. JamiiForums Tanzania Ushahidi; ndani ya CCM bado kuna watu makini, "smart"

    Wasalaam Huu ndio ukweli mchungu.
  6. U

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nimebubujikwa na machozi ya shangwe kupata ujumbe wa simu wa Mwenyekiti wa CCM kujikumbusha kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura

    Nimebubujikwa na machozi ya shangwe kupata ujumbe wa simu wa Mwenyekiti wa CCM kujikumbusha kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura Wadau hamjamboni nyote? Kwangu Mimi niheshima kubwa sana na nimebubujikwa na machozi ya furaha na shangwe baada ya kupokea ujumbe wa sms kutoka...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli mbiu ya ccm ya 'kazi na utu tunasonga mbele' inalenga kuwaunganisha watanzania kama familia moja kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria Oct 2025

    Ni muendelezo wa nia na dhamira njema ya CCM na mbeba maono wa waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan katika kuliunganisha taifa kua imara zaidi katika umoja, amani na mshikamano, na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu kwa maslahi mapana ya waTanzania wote. Kwa wakazi wa mkoa wa...
  8. JamiiForums Tanzania Ni kichaa pekee tu ataamini kuwa CCM haitapata tena ushindi wa zaidi ya 97% kwenye uchaguzi mkuu October 2025

    Mama anaupiga mwingi, CCM imeupiga mwingi miaka 64 ya uhuru, rasilimali zinarinwa vizuri na matunda yake mnayaona. 2019, 2020, 2024 CCM wamepita kwa zaidi ya 98%. Ni kichaa pekee tu ataamini kuwa CCM haitapata tena zaidi ya 97% kwenye uchaguzi mkuu October 2025. Watapata zaidi ya 97% kwa njia...
  9. JamiiForums Tanzania Kwenye vituo vya kujiandikisha kwenye daftari la maboresho la wapiga kura tunaambiwa kadi zetu tuzipeleke kwa mjumbe wa nyumba kumi wa CCM

    Kituoni hapa tunaambiwa twende kwa mjumbe wa nyumba kumi ambaye ni kada wa CCM tupeleke kadi zetu ili wachukue namba. Huu ni UPUMBAVU mwingine, CCM wameanza kuchezea rafu mapema. CHADEMA, ACT Wazalendo, hakikisheni uchaguzi huu haufanyiki kwani tayari una makandokando mengi.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Natoa wito VETA ifutwe haraka mana ni kichaka cha ccm kikwepa jukumu la kuwapa ajira vijana. Watanzanua tuamke tunapelekwa mbio sana.

    Baada ya ccm na serikali kuharibu kila kona hasa kuanzia awamu ya tano, sasa ccm imekuja na a very constructive strategy ya kuwahadaa vijana kwamba mpaka waende VETA baada ya kumaliza degree, phd au uproffesor ndo iwaajiri. Hi ni danganya toto ukweli ni kwamba ccm imeshindwa na inatafuta pa...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jumuiya ya Wazazi CCM Jimbo la Mchinga yadaiwa kumchangia laki moja ya kuchuka fomu Mama Salma Kikwete kugombea Ubunge

    Jumuiya ya wazazi ya chama cha mapinduzi CCM Jimbo la Mchinga imemuunga mkono Mbunge wa Jimbo hilo mama Salma Rashid Kikwete kwa kumchangia Fedha kiasi cha shilingi laki moja zitakazomsaidia kwenda kuchukua fomu ya kugombea Ubunge muda utakapofika. Makabidhiano hayo yamefanyika Katika ofisi ya...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Mbeya: Yaowaonya wanaotaka Kugombea Uongozi, kufanya vitendo vya kinyama dhidi ya binadamu ili kupata madaraka

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya kimewaonya wanaotarajia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu ujao, kuacha kufanya vitendo vya kinyama dhidi ya binadamu wenzao, ambapo vitendo vingine vinasababisha kukatisha maisha na kuharibu mustakabali wao kisa uroho wa madaraka...
  13. JamiiForums Tanzania Maulidi Kitenge , anatumika na CCM kufifisha harakati za upinzani , angalia anavyoripoti habari zinazohusu CCM na CHADEMA

    Hii Taarifa ya huyu diwani kuhama Ccm na kujiuzulu angalia anavyo andika. Ushauri endelea Ku-deal na michezo simba na yanga achana na siasa
  14. JamiiForums Tanzania Update: Kazi na Utu, Tunasonga Mbele T2025 CCM

    *Uzi huu utakuwa ni update ya kila siku kuhusu kauli mbiu hii ambayo inamfaa kila mtanzania. * Kauli mbiu rasmi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025 ni "KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE" . Kauli mbiu hii inasisitiza umuhimu wa kufanya kazi kwa bidii huku...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchange aipongeza TAKUKURU, baada ya kushikiliwa na kuhojiwa kwa saa kadhaa

    Mwenyekiti wa Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA) na Mkurugenzi wa Jamvi Media Group, Habibu Mchange, amepongeza juhudi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) katika kudhibiti vitendo vya rushwa, hasa kuelekea uchaguzi mkuu. Akizungumza na gazeti la...
  16. JamiiForums Tanzania Nawashauri Ccm kuhusu swala la ajira kwa vijana endeleeni kukaa kimya kwakuwa hama maarifa wala akili za kutatua hili tatizo.

    Sio jambo jema mkaendelea kuropoka . Huwa nashangaa Sana hawa viongozi wa Ccm wasiokuwa na akili wanavyowashauri vijana . Utasikia wanakuambia Afisa usafirishaji , Afisa ubashiri , Mama lishe na Baba lishe.
  17. JamiiForums Tanzania Mzee Kingunge alisema CCM imekata Pumzi, kwa sasa inapumulia mashine?

    Mwaka 2015 Hayati Kingunge Ngombale Mwiru au Komredi kama Mwalimu alivyopenda kumwita, alisema hadharani kuwa CCM imekata Pumzi. Leo miaka kumi baadae inaonekana kabisa kumbe CCM ilipokata pumzi mwaka 2015, haikuzinduka na kumbe maisha yake yanategemea kupumulia mashine. Kumbe woga wa CCM kwa...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stephen Wasira: CCM inaingia katika uchaguzi ikiwa na hakika ya ushindi, Tumejipanga kwa ushindi 2025

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira amezungumza na wanachana na viongozi wa Chama wilayani ileje mkoani Songwe akiwa katika siku ya tatu ya ziara yake mkoani humo. Akizungumza na wana CCM hao katika Ukumbi wa Seselembe, Ileje leo, Machi 16, 2025, Wasira...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Kura za maoni CCM mwaka huu majina ni matatu tu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa katika kura za maoni mwaka huu, wanachama wa chama hicho watapewa majina matatu pekee ya wagombea watakaoshindania nafasi ya kupeperusha bendera ya chama katika nafasi ya ubunge. Akihutubia wananchi wa Tunduma...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Sijaona dalili za Watanzania kupoteza imani na CCM

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema bado hajaona dalili za wananchi kutokukiamini chama hicho kutokana na kazi iliyofanywa na chama hicho ya kuboresha maisha yao. Akizungumza na wanachama wa chama hicho wilayani Mbozi mkoani Songwe juzi, Wasira alisema kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…