ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri wa bure kwa CCM: Tunaelewa Mmechanganyikiwa na Chadema, Ila tumieni fedha zenu kwa akili

    Ni ukweli usiopingika kuwa CCM sasa wanaiogopa CHADEMA kuliko hata namna wanavyomwogopa Mungu. Ukweli huu unatokana na ukweli kuwa, ni dhahili kuwa Watanzania wote sasa hivi wameona na wameelewa kuwa Chama cha Kweli cha Siasa ambacho kipo kwa ajili ya kuwapigania kweli ili kuwapatia maisha bora...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: CCM haijiweki yenyewe madarakani, Watanzania ndio wanaamua

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema madai kwamba Chama Cha Mapinduzi kinajiweka madarakani ni dhana potofu. Akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Newala mkoani Mtwara leo Jumanne Aprili 16, 2025, Makalla amesema: "Wapo wanaosema wamekichoka CCM...
  3. JamiiForums Tanzania Dereva yule yule wa Miaka 26 anakuta kuna mabadiliko nchini mwake China ila Tanzania tunachekesha sana halafu CCM kinga yao amani na ujinga

    Mwanaume aliye kwenye picha anaitwa Han Junjia, dereva wa treni kutoka China. Picha ya kwanza ilipigwa mwaka 1996, ikimuonesha akiwa amesimama mbele ya treni ya mvuke aina ya SY-class. Picha ya pili ilipigwa miaka 26 baadaye, ambapo anaonekana akiwa mbele ya treni ya kisasa ya mwendokasi...
  4. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vijana wasomi wazidi kuudhihirishia umma kuwa INEC ni tume ya CCM na inafanya maamuzi kwa maelekezo ya CCM

    Tume Imeonyesha wazi kwamba reforms zinazopiganiwa na CHADEMA zinahitajika. CHADEMA inadhihirisha ni chama chenye watu wenye weredi mkubwa sana na ni wakati sasa Watanzania wajitafakari sana kuhusu hatma ya nchi ambayo imepokwa na kikundi kidogo. Msikilize Wakili Emma kupitia link hii akiwapa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Makalla: CCM imesogeza mbele muda wa kuchukua fomu

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kusogeza mbele ratiba ya mchakato wa ndani wa uteuzi wa wagombea wa nafasi za ubunge, ujumbe wa Baraza la Wawakilishi na udiwani kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, baada ya kupitia ushauri kutoka kwa wanachama wake.
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Mbogwe asema akishindwa Uchaguzi asiongezewe Kura Feki na akishinda atangazwe kwa Haki

    Wakati joto la uchaguzi likianza kupamba moto, Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga amewataka wasimamizi wa uchaguzi kutenda haki ili watoe matokeo sahihi bila kuongeza kura wala kupunguza. Mbunge huyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema mgombea akipewa kura sahihi kwenye uchaguzi...
  7. JamiiForums Tanzania Ni kwanini nguvu na ushawishi wa CCM kwa wananchi na watanzania kwa ujumla huongezeka kadiri siku na miaka inavyosonga kitaifa na kimataifa?

    Ni kwasababu ya sera zake nzuri za kitaifa na kimataifa na mipango mikakati yake bora na muhimu sana inayolenga na kukusudia mabadiko ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kwenye maisha ya waTanzania wote kote ulimwenguni? Ni kwa sababu ya umadhubiti, bidii, uadilifu na umahiri wa viongozi wake...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema haidai Vita ila inadai Haki. Ni aibu Viongozi CCM kudanganya hatika hilo

    Ni jambo la aibu kubwa kwa viongozi wa Serikali na CCM kusimama hadharani na kusema uongo kuwa Chadema inataka kuleta machafuko au vita nchini. Kinachopiganiwa na CHADEMA ni Uchaguzi wa Haki na Huru na Serikali ilishakiri kuwa ni mabadiliko ya msingi ila muda hautoshi! Sasa muda utatosha lini...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Profesa Lipumba: Nilishawahi kuhutubia mpaka nikapewa mbuzi na wananchi lakini bado nikapata kura 0

    Wakuu, Lissu anaposema No Reforms No Election ndo huwa anamaanisha mambo haya. Huyu baba alizunguka Kisesa yote kipindi hicho na bado akapata kura 0 Hii ni ishara tosha kuwa CUF inatakiwa kuungana na Lissu kwenye ajenda ya No Reforms No Election Msikilize hapa:
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM wafanya mabadiliko ya ratiba, uteuzi wa wagombea ubunge na udiwani sasa kufanyika Juni 28 mpaka Julai 2, 2025

    Wakuu, Awali April 10, 2025 walitangaza mchakato huo ungeanza Mei Mosi mpaka Mei 15 ambako ingechukua siku 15 kwa wagombea kuchukua na kurudisha fomu lakini sasa itakuwa ni siku 15 pekee ambako itakuwa ni siku moja baada ya bunge kuvunjwa June 27, 2025. Pia soma: Pre GE2025 - CCM yatangaza...
  11. JamiiForums Tanzania Hatimae Vijana wa CHADEMA waliopewa kesi ya UBAKAJI na CCM washinda dhuluma

    Yale MASHETANI YA CCM KWA KUTUMIA MASHETANI YA POLISI YAMEAIBIKA THOUGH KWA KUCHELEWA Wanachama wa CHADEMA, Katala Kikaja na Ng'hulima Lilanga, wakazi wa kata ya Dutwa, Wilaya ya Bariadi, walihukumiwa kitumikia kifungo cha maisha gerezani. Katala Kikaja na Ng'hulima Lilanga walikuwa mawakala wa...
  12. JamiiForums Tanzania Tunaposema CCM ni mchwa watanzania muelewe, hawana huruma

    Wasalaam. Sikiliza kwa makini. Moja ya kauli alizowahi kuoangea Polepole wakati akiwa katibu mwenezi wa CCM
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania wasifurahie yanayowakuta CHADEMA kwani looser sio CHADEMA looser ni watanzania na taifa kwa ujumla na wanufaika pekee ni CCM

    Watanzania wanaofurahia madhila ya CHADEMA hawajui kwamba anayepoteza sio CHADEMA Wala Lissu ni watanzania kwani tunapokosa mtetezi mwenye nguvu kama CHADEMA basi ccm wanapata nafasi ya kufanya watakalo Tena mabaya kwasababu hakuna mtetezi. Hakuna mtetezi kwasababu; 1. Bunge wamelitia mfukoni...
  14. JamiiForums Tanzania Ramadhani Kailima anatoa matamko kama nani? Kuna stakeholder yeyote aliyeshiriki kumuweka kusimamia uchaguzi tofauti na mgombea wa CCM?

    Huyu mtu hana mandate yeyote kutoa matamko kukemea jambo lolote, Kwa sababu uwepo wake katika kusimamia uchaguzi si halali. Mtu aliyeteuliwa na Mwenyekiti ambaye pia ni mgombea wa CCM atawezaje kukemea CCM pale inapokosea? Hiyo nafasi ilitakiwa apatikane mtu ambaye atakuwa neutral asiyekuwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania CCM wanavyoitajataja Chadema kila mkutano ni sawa na Walokole wanavyomkemea Shetani kwenye kila Ibada, tuvumiliane!

    Kuna wanachadema wanaumia sana kila Chadema inapotajwatajwa na wanaCCM mikutanoni Niwatie tu moyo wawe wavumilivu kwani kwetu CCM wale CHADEMA ni sawa na shetani mbele ya Walokole ni lazima akemewe na kupondwapondwa kila wakati hasa mwaka huu wa uchaguzi Tunamkataa shetani na kazi zake zote...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu uenezi Kilimanjaro: CCM hatufikirii kuachia dola, uwezo wa kuihudumia nchi tunao

    Chama cha Mapinduzi hakifikirii kuiachia dola kwabsabu uwezo wa kuihudumia nchi wanao, Katibu wa Siasa , mafunzo na Uenezi wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro, Abraham Urio, alipokuwa akizungumza na Banana FM Kupitia Kipindi cha Banana Breakfast anaeleza sababu hizo. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi wanaoshabikia CCM hawana uwezo wa kujenga hoja zaidi ya kusifia?

    Jamani naombeni kuuliza,kwa nini watu wengi wanaoishabikia CCM hawajui kujenga hoja zaidi ya kusifia? Mfano Dotto magari,Mwijaku na wengine wengi,yaani ukisikiliza wanachoongea hakina maana na wamekuwa wakipewa nafasi kubwa hata na Rais mwenyewe kama kuutambua uwepo wao kwenye matukio kama...
  18. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge wa CCM walalamikia mchakato wa uchukuaji fomu kuanza mapema kabla ya Bunge kuvunjwa

    WABUNGE wa CCM walalamikia utaratibu mpya uliotangazwa na Chama cha Mapinduzi wa kuchukua fomu kuanzia tarehe 1 Mei 2025 tofauti na miaka yote ambapo mchakato wa kura za maoni huanza baada ya kuvunjwa Bunge na kueleza kuwa katika kipindi hicho itafika siku Bunge litakosa Mbunge hata mmoja kwani...
  19. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Watanzania wengi ni wanachama wa CCM wenye furaha sana na uhakika wa kila kitu maishani mwao tofauti na walio vyama vingine?

    Wana uhakika wa amani ya kutosha kimwili na kiroho, wanakua ni wenye furaha, ana matumaini na uhakika wa kesho yao na siku zijazo. Wana uhakika wa kutimiza ndoto zao za maisha bila wasiwasi. Tofauti na mtu akiwa vyama vingine vya siasa, anakua na wasiwasiwasi sana, anakua na hasira, mihemko...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu Mwenyekiti CCM Stephen Wasira: CCM imeanza kuwabaini wanaotumia pesa ili wachaguliwe

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Steve Wasira amewaagiza Wenyeviti wa CCM ngazi za mkoa na wilaya nchini kusimamia maadili wakati huu wa kuelekea kwenye Uchaguzi mkuu ili kuwapata wagombea wanaokubalika kwa watu badala ya wale wanaotegemea pesa kama mtaji wao wa kuwafanya wateuliwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…