ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Y

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM itachaguliwa tena 2025 kwa sababu ya huduma ilizozifikisha kwa wananchi na sio tume, polisi wala katiba

    Naam zingatia mada tajwa hapo juu, Salaam, Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Sisi wataalamu wa hizi kazi tunafahamu kwamba, ili chama cha siasa kiweze kuendelea na kibaki kuongoza dola ni jambo moja tu itabidi lifanyike, nalo ni huduma za kijamii ambazo serikali itakuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Ifike mahali wapinzani wa Tanzania waelewe kuwa Polisi na CCM hawawapendi na hawapendi maisha yao

    Wapinzani wa Tanzania wale ambao kweli ni wapinzani wakishaelewa hivyo naamini wanaelewa nini wanachotakiwa kufanya. Jana mmeona wenyewe kuna watu waliumizwa kuna kifo na kuna ambae mpaka sasa hajarudi achilia mbali kuchukuliwa na polisi hadharani. Hili jeshi pamoja na CCM kamwe hawawapendi na...
  3. JamiiForums Tanzania CCM Ndugu zangu, this is too much, halafu cha ajabu Watanzania wapo kimya

    Hebu cheki 1. CHAMATA Chawa wa Mama Tanzania 2. Samia Suluhu Serengeti Music Festival 3. Samia Boxing 4. Samia Kings 5. Samia Tunamsemea (Wanafunzi wa Chuo) 6. Samia .... 7. Samia ..... 8. Samia ...... 9. --- 100. Halafu sasa kuna hiii 👇👇👇 Bado kuna ..... 1. Bodaboda za Samia 2. Pen za...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzee Wasira: Jeshi Lazima Lielewe Aina ya Itikadi ya Siasa za Nchi Wanayoilinda

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Steven Wasira, amesema si jambo la ajabu kwa majeshi kufahamu siasa za nchi wanazozilinda. Akizungumza na wananchi na wanachama wa CCM wa Wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma, Aprili 23, 2025, Wasira alisema kuwa taasisi yoyote ya ulinzi inapaswa kuelewa...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Katiba yetu ya CCM inaruhusu Mageuzi (Reforms), Hao Wana CCM Wanaopinga Reforms kwenye Sheria zetu za Uchaguzi Nchini ni Wanachama wa CCM gani ?

    Ndugu Watanzania, nianze kwa kuwasalimia kwa salamu ya chama changu pendwa Chama cha Mapinduzi (CCM). Kidumu Chama cha Mapinduzi ..........................! Awali ya yote nitaomba radhi kwa kila Mwanachama wa CCM atakayekwazika kwa hiki ninachoenda kukifanyia uchambuzi. SIKU ZA HIVI KARIBUNI...
  6. JamiiForums Tanzania Siku moja watanzania watasahau kabisa kama kulikuwa na CCM

    Watatuua Leo ,watatutesa Leo watatukandamiza Leo lakini mungu Huwa hachelewi wala hawahi Bali hujibu kwa wakati. Watanzania saa ya ukombozi haipo mbali sana. Hauwezi ukaua watu hivyo ukabaki salama
  7. JamiiForums Tanzania Wanasema CCM ina wanachama wengi je kama wapo wapi mbona hawana nguvu ya kimtandao kama wenzao CHADEMA?

    Wanasema Ccm ina wanachama wengi je kama wapo wapi mbona hawana nguvu ya kimtandao kama wenzao CHADEMA.? Hapa lipo swali la kujiuliza Sana. Ina maana sisiemu nguvu ya kimtandao kwanini hawana . Ikiwa wanachama wa sisiemu labda hawana smartphone au hawana bundle au hawajui kusoma na kuandika.
  8. JamiiForums Tanzania Ukiona serikali inatisha Raia ,inapiga wake,ujue imepoteza uhalali wa uwepo wake

    Kwanini serikali inaogopa kukosolewa? Ukiona serikali inatisha RAIA,inapiga na kuua RAIA wake,ujue imepoteza uhalali wa uwepo wake. Mwanafalsafa John Locke anasema,serikali hiyo yafaa iondolewe madarakani.Serikali imegeuka haini dhidi ya RAIA wake. Serikali isiyojua wajibu wake,kazi makelele tu...
  9. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA lazima iwe sauti ya haki na mabadiliko. CHADEMA inaweza kuongoza Watanzania

    Hali ya kisiasa Tanzania sasa ni ngumu, na CHADEMA iko kwenye wakati wa changamoto kubwa. Wananchi wanapigwa na polisi, viongozi kama Tundu Lissu na John Heche wanakabiliwa na ukandamizaji, na haki za msingi zinakiukwa. Hapa kuna ushauri wa kimkakati kwa CHADEMA, kwa uchungu na mwelekeo wa...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii, namtoa mwanangu kule Moshi- CCP

    Hii kada ndio ilikuwa chaguo No.1 kwa mwanangu nyuma ya TPA na Jeshi la Wananchi kwa pass ya Division 2 ya Point 19, Intake ya mwaka 2023 Ila kwa hali ya nchi inakoelekea sihitaji mwanangu atengwe na ndugu zake kisa kusomea hii kozi. Majibu ya awali yametoka na "najua ataenda tu Chuo cha...
  11. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam kuna raha sana, ila CCM ndio wanapaharibu

    Kuna sehemu hapa npo na mtoto aisee, Mali mpya kabisa Watu wa mikoan huko uzeni mashamba na mifugo mje mjini aisee
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM: Wapinzani wakifa, hatuwezi kulia! Tutawatupa Mtoni, wawe chakula cha mamba

    Tanzania kwisha habari yake. Utu umetoweka, watu wanatama i watu wafe ili wabakie madarakani. Huu wimbo unaoimbwa na CCM hakuna kiongozi yoyote wa chama au Serali aliyekemea. “WAPINZANI WAKIFA SISI HATUWEZI KULIA TUTAWATUPA MTONI WAWE CHAKULA CHA MAMBA”. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri shairi Wabunge wa CCM sio chaguo la wananchi tena

    Wengi wanalalamika sana. Kuwa huu ni ubaya na utaratibu huu sio ridhaa ya wanaCCM majimboni. Wanahoji kwa nini majina matatu yatoke Dodoma na kisha ndio yapigiwe kura?
  14. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Makamu Mwenyekiti wa CCM Steven Wasira kugombea Ubunge Bunda 2025

    Siyo umbea sikiliza mwenywe NCHI HII TUMELOGWA. NA HII NI KWA VILE ANAJUA ATAIBA KURA ATASHINDA! TUME IKO UPANDE WAKE ATAIBA KURA ATASHINDA
  15. R

    JamiiForums Tanzania TUJIKUMBUSHE: CCM msikilize Nyerere kuhUsu democracy na tabia ya umalaya malaya WA KISIASA

    CCM msikilize baba wa taifa kuhsu democracy na tabia ya mwanasiasa kununulika kwa fedha..umalaya malaya
  16. N

    JamiiForums Tanzania Sitapiga kura, CCM tunazidi kupotea!

    Wakati nikifungua akaunti hii nilikuwa na furaha sana tena sana kwani niliona hakika Taifa linaenda kuongozwa na brain. Ukiangalia tarehe ya kuanza kwa akaunti hii na tukio lililokuwepo wakati huo utanielewa vizuri. Kwangu SSH ni brain hata katika Bunge la Katiba alionesha hilo na alikuwa very...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania hapatawahi kutokea rais mwanamke mstahimilivu, mwenye subra na maono, hekima na busara kama za kiutawala kama Samia Suluhu

    Ni neema na baraka za Mungu Tanzania imebarikiwa kua na kiongozi mbeba maono ya waTanzania wo ambae mstahimilivu na mwenye subra kama Dr.Samia Suluhu Hassn, licha ya chuki na upotoshaji unaoelekezwa dhidi yake na wanasiasa waliopoteza uelekeo wakiungana na viongozi wa dini kwasababu Dr.Samia...
  18. JamiiForums Tanzania Azam Tv nayo imegeuka Tawi la CCM !

    Kama unafuatilia Azam Tv kwa sasa.. Zile habari Hasi za chadema mfano wale G55 ndio wanazitangaza kwa urefu sana. Lakini habari zenye Chanya kwa chadema huwa wanazitangaza kwa ufupi sana au kuzikata kata.. Tena zile habari muhimu za Chadema hawazipost kabisa . Mfano tukio la kukamatwa kwa Mh...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi yakana kuwashikilia Heche na wenzake! Wasema walikuwa wanazuia fujo kutokana na kutokuwepo uwanja wa mkutano

    Wewe Si wa kusema Eneo la Mkutano wa CDM Lina wafanyabiashara, mara Kuna Wanachama hawakiungi mkono CDM, mara wapo wanao support na blaa blaa blaa za Hovyo hovyo !!. Hayo hukuyajua wakati CCM wanafanya mikutano yao Kariakoo?? Mlishawahi wazuia CCM wasifanye mikutano hapo??. Au CCM ikiwa na...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge: Kama CCM imejenga mahospitali, reli na yote inayosema kufanya, kulikoni kuogopa Tume Huru?

    Mdogo mdogo mama anaendelea kufikiwa: Kwamba ni nani asiyeweza kuelewa umuhimu wa mwamuzi huru? Ni Kailima, Mama, Muliro, Majaliwa au Tulia? Hii nchi mbona ni yetu sote?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…