ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Enyi Vibaraka na Virusi wa CCM ondokeni wote Mapema Tuijenge Chadema Yetu upya

    GT Mara zote kwenye uongo ukweli hujitenga pia mafuta na maji havichangamani. Nachoshukuru hawa virusi na vibaraka wa CCM wataondoka mmoja baada ya mwingine hadi tuwajue wote Chini ya mwenuekiti wetu mpya Mheshimiwa Tundu Lissu Chadema inaenda kujengwa upya juu ya msingi imara. Tanzania...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Waliohama CHADEMA tunawakaribisha CCM

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amewakaribisha kujiunga na CCM Wajumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA iliyomaliza muda wake ambao leo May 07,2025 wametangaza kuondoka CHADEMA akiwemo aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA...
  3. JamiiForums Tanzania Kila nikitafakari Matendo ya Dola na CCM, Baada ya CHADEMA kushika Dola, Kuna watu ni ama watalazimika kukimbia Nchi au Hukumu ya HAKI iwe juu yao

    CHADEMA haitoonea MTU Wala kumsingizia Wala lililo kinyume na KATIBA ya Nchi. Isipokua Kila MTU ataletwa Mbele ya Mahakama na kuhukumiwa sawa sawa na Matendo yake. Uwe Umekufa tayari, uwe upo hai, HUKUMU YAKO ITAKUFATA TU. WALOJARIBU KUMUUA LISSU , Walomuua MAWAZO, Walomuua/Kupoteza kabisa...
  4. JamiiForums Tanzania Kama kawaida, Wabunge wa CCM ambao leo Kila Mmoja ameomba nafasi ya kuongea kwenye inshu ya Yanga na Simba

    Yaan Mambo ya Msingi huwezi kuwakuta wanajadili, ila wako tayari kumzomea LUAGA MPINA, Gambo wanapojadili masuala mapana ya Nchi hii!!. Mnakumbuka kile kipindi suala la ushoga linajadiliwa sana Bungeni, Kila Mbunge Kilaza ambaye hajawahi kuongea , ndio ilikua nafasi yake ya kusimama na kuongea...
  5. JamiiForums Tanzania Tazameni Msafara wa RC Singida ,ni zaidi ya ufujaji wa Kodi za Watanzania, Hawa ndio CCM,ni lazima iondoshwe madarakani ili Taifa Liinuke

    Unaweza dhania ni Msafara wa mawaziri Kadhaa wa Kadhaa lakini la Hasha!! Huyo ni RC tu yaan MKUU WA MKOA.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ungependekeza nani awe Katibu Mkuu wa CCM baada ya Dkt Nchimbi kuanza majukumu ya Ugombea Mwenza na hatimaye Umakamu wa Rais?

    Ndugu zangu Watanzania, Mpaka sasa kila mmoja wetu anafahamu ya Kuwa Mheshimiwa Balozi Daktari Emmanueli Nchimbi Ndiye Mgombea Mwenza Wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Lakini pia Ni ukweli ulio wazi kuwa Balozi Dkt...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linachafuliwa na Green Guard wa CCM

    Matukio ya utekaji, mauaji ya viongozi wa vyama vya upinzani hasa Chadema mengi hutekelezwa na UVCCM (Green Guard) kwa mwamvuli wa jeshi la polisi. Hawa Green Guards 'WENGI' wao ni vijana wa vijiweni wahuni, wavuta bangi wasio na maadili yeyote hutumiwa na Chama cha Mapinduzi kuwaumiza...
  8. JamiiForums Tanzania Eti CCM wanamshambulia Comedian Said Said, kisa utani kwa Rais ulopitiliza!

    Urais ni mamlaka ya juu kabisa hapa Duniani, chini yake unaongoza watu wa Kila aina ,wanaokutizama wee kama TUMAINI LAO LA MWISHO. Rais anafaa muda wote kusikiliza Busara, Hekima na mashauri ya viongozi wa Dini na watu wenye Hekima kama Akina Daniel wa Biblía Sasa Mnamwandalia Rais vitamasha...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa CCM aipinga bajeti ya ujenzi, awaita mawaziri waongo

    Mbunge wa Sumve (CCM), Kasalali Mageni leo Jumanne Mei 6, 2025 amekuwa mbunge wa kwanza kusikika akipinga bajeti ya Serikali kwa madai ya kuchoshwa na uongo. Mageni ameipinga bajeti ya Wizara ya Ujenzi iliyowasilishwa jana Jumatatu, Mei 5, 2025 na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ambaye aliomba...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Serikali ya ccm yakiri bila kutumia dola kubaki madarakani

    Serikali ya Chama cha mapindinduzi imekiri ya kuwa inatumia vyombo vya dola kuteka, kushambulia pamoja na kuua. Ni ngumu kushinda uchaguzi, ndio maana wote wanaikosoa serikali na chama tunawashughulikia haraka iwezekanavyo. Msidhani kama kuna hatua zitakazochukuliwa, mtasubiri sana hata hili la...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ya nchi hii ni mwanachama wa CCM na inalazimisha raia wote tuwe CCM wale wanaokaidi wanakuwa maadui wa serikali

    CCM wanapita nyumba kwa nyumba kuandikisha wanachama wapya wa kadi za kielektroniki Ajabu ni kwamba hawakuulizi kuwa unahitaji kuwa mwanachama au la Wameandikakisha watu kibao haswa vijiji bila shaka tutasikia takwimu mpya watatoa wakiwa na mamilion ya wanachama Nimepata pia...
  12. R

    JamiiForums Tanzania CCM YAMJIBU JAJI WARIOBA, YASEMA CCM HAINA MGOGORO NA CHADEMA: Ona Ulevi wa Madaraka , Kejeli, Dharau, Dhihaka, impunity toka kwa Amos Makala

    Anasema hawana ugomvi na Chadema , wakati huo huo serikali anayoiongoza/inayoongozwa na chama chake ambacho yeye ni namba 4 in power hiarachy kwenye chama kinachoongoza serikali inalalamikiwa na Chadema,kuteka, kuua, kupoteza wanachama/viongozi wa chadema! Hii ni kejeli CCM YAMJIBU JAJI...
  13. JamiiForums Tanzania Jakaya ametuachia somo zito! Uongozi ni stamina na demokrasia ni kuvumiliana. Ukishakuwa rais hauongozi CCM, unatakiwa kuongoza nchi

    Jakaya alipoiongoza nchi alituachia somo la msingi kwa kuonyesha kuwa ukiwa rais unatakiwa kuliongoza taifa, si chama chako. Alitufundisha kuwa kiongozi wa nchi hastahili kuwa na upendeleo kutokana na nani alimuunga mkono au nani hakumuunga mkono. Hata hivyo, JPM alipoingia alijikita katika...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Makala uwe na hakiba ya maneno bado safari yako ni ndefu sana kisiasa usijiamini kupita kiasi kwakuwa upo CCM

    Huo ni ushauri wangu kwa huyu jamaa ambaye kimsingi nayeye namuona ni mropokaji asiye chuja maneno yake kwa kina
  15. JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi (CCM) kifutwe kitatuletea machafuko hapa nchini Tanzania

    Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Francis Mutungi anatakiwa kukifutia usajili wa kudumu mara moja chama cha mapinduzi (ccm), ni baada ya kuonyesha dalili za kuvuruga amani ya nchi. Kuna kila dalili ccm imeanza kutuletea machafuko hapa nchini, kutokana na wingi wa matukio yanayotokea na...
  16. JamiiForums Tanzania Katika nchi hii shekhe Ponda ndugu zake wengi wamekuwa wanafiki tokea harakati hadi sasa

    Huyu mzee alipandikiziwa chuki na chama hiki hiki kipo madarakani ila Mungu aliweza kumfikisha mpaka leo. Hata leo ukija na dini ya shetani, CCM inaweza kutafuta ajenda wanapojua wao kuzima Harakati za mabadiliko. Ila kwa sasa mwisho umefika kwa CCM mshatumia udini,ukabila naona sasa mshakuja...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Chonde kuna Makada wenzako CCM wanataka kukuharibia nchi mkose wote! Tafakari

    https://youtu.be/auju_W7Vb7s?si=Wuj4m10xKf-8OHSX Kama Raia Mzalendo ninaye ipenda nchi yangu, kwa heshima na taadhima naomba nimshauri Mama yetu, Rais wetu na Shangazi yetu anaye upiga mwingi, akae chini na atafakari kinachoendelea ndani ya Utawala wake kwa sasa kuelekea GE-2025. Hali...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CCM - Upinzani hautakufa na Bora kuishi na mpinzani unayemfahamu kuliko ajaye usiyemjua!

    Tangu mwaka 1995 mpaka Leo CCM imekuwa ikihangaika na kuua upinzani. Walianza na NCCR na kufanikiwa kuiua. Kwa bahati mbaya ikaibuka CUF ikawa na nguvu mpaka wakasingiziwa kufanya siasa za ugaidi. Wakasingiziwa kuagiza matonteina ya majambia. Watu Zanzibar wakauawa, kwa mara ya kwanza Tanzania...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Weka nadharia yako kwa uzoefu wako wa siasa za Tanzania unahisi kitu gani kitawaondoa CCM, hali itakuwaje siku wanayotoka?

    Hakunaga marefu yasiyo na ncha but surely ni kitu ambacho lazima kitatokea. Nahisi CCM kwa sasa kutoka bado lakini dalili ya mvua ni mawingu, kuna mawingu yameanza kutanda japo mbua bado sana kunyesha,
  20. JamiiForums Tanzania Matumizi ya mitandao kama zana muhimu ya kuitoa CCM madarakani!

    CCM inajitahidi kukatisha tamaa watanzania (discourage) juu ya matumizi ya mitandao kama njia sahihi na muhimu ya kuitoa CCM madarakani. CCM wana msemo wao wa "watu wa mitandaoni" kuelezea au kubeza kinachoandikwa mitandaoni kuwa hakina taathira (effects) chanya ama hasi kwa watanzania. CCM...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…