Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga kimesema kuwa jumla ya wagombea tisa wa nafasi za ubunge na udiwani wilayani humo wamebainika kujihusish na vitendo vya kugawa fedha kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wa wilaya nyakati za usiku, kinyume na maadili ya chama.
Katibu wa...
Sijui ndani ya CCM ameingia shetani gani!! Maana kwa mwenye akili, hata ile akili ya kawaida sana, hawezi kufanya yale ambayo CCM inayafanya kwa sasa.
Kiuhalisia, CCM ya sasa imewekeza sana kwenye uovu huku ikiwafukuza wananchi wote wema na wanaotaka haki ndani ya nchi.
Fikiria chama ambacho...
Pitapita yangu nikakutana na habari za huyu millard ambaye kwa sasa uwezi kumuona mambo ya ukweli yupo na kusubiri matukio tu.
Nisioongee sana kwa mtu mwenye akili ya utanda wazi hapa kaunda nini zaidi ya kununua na kuboresha.
kwani ukisema kabuni mfumo kwenye robot ni kosa.
GT.
Kuna watu.wanakichukulia hiki chama masihara hao watu mi nawaita ni vipofu na hakuna wajualo. Hata huko CCM hawalali wanaposikia No Reform No election wanaijua nguvu ya Chadema.
Mkakati wa CCM kinunua wapinzani utabuma mwaka huu, hii ni kutokana na Chadema kuendelea kuwa imara pamoja na...
Moja ya hoja ambayo hivi karibuni CHADEMA wamekuwa wakiitumia kama kete muhimu kujitofautisha na CCM ni uwazi waliokuwanao nao katika uchaguzi mkuu wao. Uwazi wa kiwango kile hata mm ningelipenda kuuona kwenye chaguzi zote za nchi yetu. Ni imani yangu, kwamba kama chaguzi zetu zingekuwa na uwazi...
Wakati CCM kupitia viongozi wake wakuu wanakemea kampeni za mapema na viongozi kubeba wagombea/watia nia hali huko wilaya ya Moshi Vijijini ni tofauti.
Mwenezi wa CCM wilaya hiyo aitwaye Huseni Abduli eikei mwenyekiti anayeishi mji wa Himo amekuwa kinara wa kubeba wasaka ubunge wakiwemo Nicolas...
Kuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.
Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) anayeshughulikia Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema ushindi mkubwa wa CCM katika maeneo mbalimbali ni ushahidi wa wananchi kuridhishwa na utekelezaji mzuri wa ilani ya chama hicho, pamoja na miradi iliyotekelezwa na...
MAZITO YAJADILIWA KATIKA BUNGE LA ULAYA, TUNDU LISSU KESI YA UHAINI, ALI KIBAO KUUAWA,,WATU KUPOTEZWA N.K
https://m.youtube.com/watch?v=4QH2juya5sk
Wabunge wa Bunge la Ulaya wasema kuwa zile 4R za rais Samia Hassan zimetuhadaa
Misaada mfano €160,000,000 na mingine mingi ya EU inatumika...
Fuatilia yanayoendelea mitandaoni kwenye uwanja wa siasa .. Timu inayowa support ccm na mamluki wake iko taaban bin hoi
Hawana hoja zenye mantiki bali wamebaki na uzushi na vitu vya kufikirika na kutunga vilivyokosa uhalisia.
Hawana maudhui ya kutengeneza yaliyo na weledi na maono bali ni...
Kufa kwa nyani miti yote huteleza.ndicho nachoweza kusema. Leo hii CCM wapo mbele kupambana na kanisa katoliki Tanzania.
CCM wanaminya democracy na haki za raia katika uhuru wa kujieleza na kutoa maoni. Sasa.kazi kwenu kushoto Trump kulia Papa Leo Samia ana bahati.mbaya sana.
Nawakumbusha tu...
MaCCM wajue, sisi siyo wajinga... waache upumbavu.
CCM wanakataa ushoga mdomoni, wanakubali ushoga kwenye makaratasi na mikataba ya kulinda haki za mashoga wanasaini. CCM ni walaghai wasiotaka kuwaeleza ukweli wafuasi wa mbogamboga.
The Progressive Alliance (PA) ni jumuiya ya kimataifa ya...
Tumefichwa kwa muda mrefu leo ukweli umejulikana.
https://progressive-alliance.info/guiding-principles/
Who We Are:
The progressive, democratic, social-democratic, socialist and labour movement is based on a common commitment to human rights and the joint pursuit of freedom, justice, social...
Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni, baada ya kumaliza shule ya msingi mwaka 1986, Sikuchaguliwa kujiunga na secondary ya serikali kwa maana nafasi zilikuwa chache na hata waliochaguliwa pia walikuwa wachache na wakati mwingine shule haitoi hata mwanafunzi mmoja wa kujiunga na kidato Cha kwanza...
Mbunge wa Biharamulo Eng. Ezra Chiwelesa acharuka na kupinga vikali moja ya maazimio ya Bunge la Ulaya, adai ni dharau kwa Tanzania huku Mwita Mwikwabe Waitara akitoa msimamo kuwa kama hoja yao ni kutoleta Maji basi watakunywa hata ya Kisima na Chifu wa Kikurya hawezi kuolewa habari ya Ushoga na...
Level ya ukatili wa ccm umesikika hadi ngambo. Level ya maovu mnayofanya taratibu inavuka redline.
Mko bize kufunga, kubambikia kesi, kuiba uchaguzi, kuteka ,kupoteza, kuua mpaka kuwashitua inchi za ulaya?
Mmefikia hatua ya kutoamini hata mhimili wa kutafsiri sheria (mahakama) mnajichukuria...
Kama msimamo utaendelea kuwa huu huu kwamba Uchaguzi utaendelea kama kawaida,hapana shaka Chama changu Ccm kitashika hatamu za Uongozi na kushika dola kwa miaka mingine mitano
Sina shaka kabisa kwamba pamoja na No Election No Reforms kampeni, bado hakuna anayeweza kuzuia uchaguzi usifanyike...
Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Lindi ikiongozwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa, Kuruthum Issa Runje, imefanya ziara maalum Wilayani Kilwa kwa ajili ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa chini ya Ilani ya CCM ya mwaka 2020–2025...
Ni kitendo cha Wanzanzibar kujazana Serikalini.
Niseme nimeshuhudia awamu zote za uongozi lakini hakuna awamu iliyojaza wazanzibar Serikalini kama hii, karibu kila ofisi kila idara utawakuta, na hawajifichi kutokana na lafuzi ya kiswahili Chao.
Sibagui mtu inauma maana wamechukua ajira za...