ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu wa CHADEMA Bariadi na wengine 83 wajiunga na CCM

    Katibu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu Bwana Charles Nduhi Lyaganda amejiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM akiambatana na Wanachama wengine 83 wa Chama hicho. Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa Kadi ya CCM, Lyaganda amewaambia wananchi kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti UWT Njombe asema watailinda CCM kwa gharama yoyote ile kama Simba na Yanga

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Njombe, Dkt. Scholastika Kevela, amewataka wanawake kote mkoani humo kujiandaa kwa uchaguzi mkuu ujao, akisisitiza kuwa chini ya serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), hakuna atakayeweza kuvuruga mchakato wa uchaguzi. Dkt. Kevela...
  3. JamiiForums Tanzania Msomi Unapataje Muda wa Kulumbana na Wanasiasa? Heche Yuko Sahihi. Tunazalisha Mabingwa wa Kukariri

    Kauli ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche, kuhusu mfumo wa elimu wa Tanzania kuzalisha "mabingwa wa kukariri" badala ya wasomi halisi ni ukweli usiyo namashaka. Vijana machawa walijikusanya na kutoa majibu kwa kauli hiyo, wakidai kuwa amekosea na kuidhalilisha Elimu ya Tanganyika. Na...
  4. JamiiForums Tanzania Lissu Anaingia Kwa Moto – This Time CCM You Ain’t Ready for This Smoke!

    Hii game ya 2025 siyo ya kitoto tena. Lissu siyo tu mgombea, ni revolution on two legs. Jamaa amepitia risasi 16 na bado yuko kwenye ground anapigania haki – y’all can’t kill that kind of spirit! Kumkamata Lissu sio weakness, ni kumpa nguvu ya tsunami. Mnamsukuma moja kwa moja kwenye moyo wa...
  5. JamiiForums Tanzania Ni wazi sasa CCM mnajulikana kama wanavyo julikana nchi zilizoshindwa nchi kidemokrasia

    Ccm wanazani kuwa habari zao zipo ndani hapa TZ. Nchi nyingi zishajua kuwa hapa TZ hakuna la maana. Washatujua kuwa CCM ni genge la wahuni na wajinga. Tukicheka congo,sudani na kwengine basi na sisi tunachekwa kwa mengi
  6. JamiiForums Tanzania Majibu ya CHATGPT : Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inaipendelea CCM na kukihujumu CHADEMA?

    Swali lako linaelekea kwenye mada nyeti ya kisiasa nchini Tanzania, na linahitaji kutazamwa kwa umakini, kwa kuzingatia ukweli, muktadha wa kihistoria, na mitazamo tofauti. Kwa nini watu wengine wanasema Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inaipendelea CCM na kukihujumu CHADEMA? Hapa kuna sababu...
  7. JamiiForums Tanzania Watakaopitishwa na CCM ndio watakua Wabunge, Kura ya Mwananchi kiini macho!

    1. Ndugu Mgombea, pambana (kwa fedha na kijadi-UCHAWI) upitishwe kwenye Chama. 2. Mengine ni kukamilisha ratiba tu. 3. Kura za Wazalendo aka Wanyonge ni kiini macho tu. Asanteni.
  8. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Wassira?

    Sio kawaida yake Mzee Tyson kukaa kimya nyakati ngumu kama hizi, asingekubali Vijana akina Mnyika, Lema na Heche wasumbue Kiasi hiki, angejitokeza na kujibu mapigo. Je nini kimemsibu? Yupo kweli? Au "yupo"?? Jitokeze Mzeee uokoe jahazi Hali ni mbaya Sana
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 MwanaCCM: Mashoga wamezidi na ndani ya chama wapo. Tutasimama vipi kwenye majukwaa kuomba kura?

    Huyu bidada mwanaccm akilalamika uwepo wa Mashoga ndani ya Chama. Kuwa wamezidi kipimo kwa sasa ni wengi. Na haumi umi maneno. Anaongea kwa kujiamini kabisa suala hili ambalo kwa ccm ni la kawaida sana. Pia soma > Waitara ataka Wabunge wapimwe Ushoga kabla ya kuingia Bungeni
  10. JamiiForums Tanzania CCM na project mfu zilizochanganyikiwa

    Siku hizi kuna press conference karibia kila siku za mikoa mbalimbali za viongozi wa CHADEMA mikoani kukikimbia chama cha CHADEMA... Jamani hata kama chama hakipendwi mbona huu utaratibu umenyooka sana na uko so systimastically!? Yaani unaona kabisa ni script za kuandaliwa😂😂😂 Halafu sasa...
  11. JamiiForums Tanzania Fahamu kwa undani vita kati ya CHADEMA vs CCM

    Mambo yanayondelea CHADEMA inawezekana yakaonekana mageni machoni mwa watu wengi CHADEMA ina vita mbili, vita ya kwanza kati ya CDM ya sasa na iliyopita CDM ya sasa imeshindwa kuvaana na iliyopita nadhani sababu kubwa ni maslahi ya Chama na Nchi Vita hii ingeweza kuisha kwa njia tatu, ya...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuburudike kidogo: Kwa hakika CCM hawana Furaha, CHADEMA ni wanyonge ila wana furaha

    Tuburudike kidogo na Video hii, Kwa Hakika CCM hawana Furaha ,Licha ya CHADEMA Kuwa wanyonge ila wanafuraha.
  13. JamiiForums Tanzania Kipanya anawagutua CCM, ametukosea Sana CHADEMA

    Nimeangalia Katuni ya Masud Kipanya na nikastuka ni kwa nini anawatoa usingizini CCM. Ina maana Kipanya hajui kuwa Kuna msemo wa kiswahili usemao "aliyelala usimuamshe..."? Kwa kweli Kipanya katukosea wanachadema kwa kuchora katuni ambayo itawafanya CCM wabadili njia zao za kupambana na...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 NETO ilikuwa project ya CCM kuizima 'No Reforms No Election'? Siku 45 zilizotolewa na Simbachawene zimeisha, kimya!

    Wakuu, Hawa watu bana mi niliona toka mwanzoni walikuwa project tu ya mtu kuwatoa raia kwenye reli wajadili mambo mengine na kuacha jambo pressing lililokuwa mbele yetu. Mei 13, 2025 viongozi na baadhi ya wanachama wa NETO walifanya press, wanakushukuru 4R za Samia na Simbachewene kuwapokea...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nyie Vyama vingine Upinzani , Huu mwaka ni Wa kuwapa Tume huru, CCM hawakubaliki. unganeni

    Ombi langu kwenu, Huu mwaka msiuache , msiuache ukapita Huu mwaka, CCM imebanwa na Mlango, inapumlia Mashine . Hizo nafasi 35 za kupewa, hazilingani na Nafasi ambazo mngepata baada ya Tume huru. Ukweli ni kwamba ni Asilimia 2 tu ya wabunge wa CCM ambao wakigombea katika Tume huru Mpya...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Henry Kilewo: Viongozi wa sasa wa CHADEMA wanatumiwa na CCM kuhujumu harakati za mageuzi nchini

    Katika mahojiano maalum aliyoyafanya leo, Alhamisi Mei 15, 2025 kupitia kipindi cha Furaha Morning, Kilewo alifichua kwa uchungu kuwa baadhi ya viongozi wa CHADEMA kwa sasa wanatumiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhujumu harakati za mageuzi nchini. "Huenda wakawa wanatumika kwa kujua au...
  17. JamiiForums Tanzania CCM Tumethubutu, Tumeweza, Tunasonga mbele, Kazi na Utu 2025

  18. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM hapa JF mbona mnajifichaficha? Tuambieni kama hii hali ya kamata kamata na kupoteza watu mnaiunga mkono

    Mgambo wakiamrishwa nyuma geuka, yule aliyekuwa wa kwanza, huwa wa mwisho, na yule aliyekuwa wa mwisho huwa wa kwanza Kipindi cha awamu iliyopita, tuliungana wote kumpinga Magufuli hasa kwenye suala la kupotea kwa watu na kuonekana kwenye viloba, leo wana ccm mnataka kusema hamlioni hili? Ni...
  19. JamiiForums Tanzania CCM kushinda uchaguzi Mkuu kwa 98%

    1. Ilani imetekelezwa kwa 100%, 2. Uongozi thabiti, 3. Amani imetawala.
  20. K

    JamiiForums Tanzania Hashimu Spunda na mpango kazi wa Rais Samia na CCM kutengeneza upinzani FAKE. Je, Watanganyika watang'amua hili?

    Watanzania ni wajuzi wa mambo ila sio wenye kuchukua maamuzi kwa haraka Watanzania ni wanyonge mno sera Yao ni mwenye nguvu mpishe na hii ndiyo sababu ya CCM na serikali kufanya watakavyo na hawajawahi kukwama. CCM katika kampein yake ya kujibakiza madarakani ikiwezekana hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…