Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma
Mvutano wa kisiasa umeibuka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Mbabala, jijini Dodoma, baada ya baadhi ya makada wa chama hicho kuandamana hadi ofisi za CCM Wilaya wakieleza kutokuwa na imani na diwani mteule wa kata hiyo, Pascazia Mayala, wakidai...